vyama

  1. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania CCM ikishirikiana na vyama vibaraka wameunda umoja wao

    Baada ya Chadema kurudi kwenye siasa CCM imeanzisha umoja wa vyama vilivyoshiriki uchaguzi, umoja huo umepewa jina la "VYAMA RAFIKI". Lengo la umoja huo ni kuisaidia CCM kupambana na CHADEMA. Kazi ya kupambana na Chadema ilianza jana huko kanda ya ziwa ambako walianza kwa kumsifu Rais Samia...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kwanini Watumishi tunaungwa katika Vyama vya Wafanyakazi TUGHE na TALGWU bila kuchagua?

    Kwanini Watumishi tunaungwa katika Vyama vya Wafanyakazi, Chama Cha Wafanyakazi Wa Serikali Na Afya Tanzania (TUGHE)na Chama cha Wafanyakazi wa Serikali za Mitaa Tanzania (TALGWU) bila kuchagua? Kuna hivi vyama vya Wafanyakazi TUGHE na TALGWU wanakuunga kilazima bila mfanyakazi kujua, hawakupi...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ado: Tanzania kuna mfumo ambapo dola ina mkono mrefu kuamua mwelekeo wa kisiasa

    Mbunge wa Tunduru Kaskazini, Ado Shaibu akizungumza na Wasafi TV amesema demokrasia yetu nchini, mgombea pekee hatoshi kujipanga kushinda ubunge, bali dola ndio inaamua nani atangazwe mshindi.
  4. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Lucy Mwakyembe: Wafanyakazi washauriwe kujiunga kwenye vyama vya wafanyakazi wanavyotaka, wasiungwe bila ridhaa yao

    Mbunge wa Viti Maalumu, Lucy Mwakyembe amesema kuwa Kujiunga na vyama vya wafanyakazi ni hiari, na ibara ya 20 ya katiba ya Tanzania inatoa haki hiyo na sheria ya ajira na mahusiano kazini inathibitisha haki hiyo. Baadhi ya taasisi za kazi imekuwa ikiwalazimisha wafanyakazi kwenye vyama vya...
  5. Alloyce PR

    JamiiForums Tanzania NGOs na vyama vya siasa vya upinzani Afrika ni watengeneza maudhui katika karne hii

    "Mashirika yasiyo ya kiserikali (NGOs) na vyama vya siasa vya upinzani barani Afrika katika karne hii, vinaendeshwa kwa ushabiki na kiki nyingi kupita kiasi. Kuna mambo wanayoyafanya hadi unajiuliza iwapo watu hawa wamepoteza uwezo wa kufikiri, au tatizo ni kukosa ajenda madhubuti za maendeleo...
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Halmashauri ya Busega, ajira mpya tunakatwa vyama viwili

    Tunaomba mtusaidie huku halmashauri ya Busega ajira mpya wanakata vyama viwili (Tuge na Twalbu) kwa pamoja bila kutoa maelekezo yoyote, mimi nipo Kada ya Afya. Na pesa za kujikimu pia changamoto toka Mwezi wa 9, 2025 wakati halmashauri zingine wamepata.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mwananchi: Tofauti za vyama ziachwe, viongozi wanaponadi sera waachane na kauli za kutugawa

  8. K

    JamiiForums Tanzania CCM haiwezi kukubaliwa na watanzania kwa kuzuia vyama wengine!

    CCM haiwezi kukubaliwa na watanzania kwa kuzuia vyama wengine!. Yaani kuzuia Chadema kufanya mikutano yao haina maana hao watu na wanachama wao kesho watashangilia au kuhamia CCM. Huwezi kufanikiwa kwa lolote kwa kumzuia mwenzako badala yake fanya mazuri yako. Sasa sera ya CCM ni kuzuia...
  9. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Padri Kitima akitambulisha uwepo wa vyama vya siasa mbalimbali kwenye msiba Kardinali Pengo. Umegundua nini?

    Wakuu, Hii ni leo wakati Padri Kitima anatambulisho uwepo wa vyama vya siasa mbalimbali kwenye msiba wa Kardinali Pengo Hapo kuna sehemu kataja kuna vyama 17
  10. Kijukuu cha Tanzania

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Uchaguzi Mkuu wa 2025 ulivyoonesha vazi la Demokrasi la Tanzania linavyochakaa kupitia INEC, Vyama vya Upinzani

    Tangu kurejeshwa kwa mfumo wa vyamavingi Mwaka 1992, Tanzania imejengwajuu ya msingi wa kikatiba unaotambuademokrasia, utawala wa sheria na heshimakwa haki za binadamu. Katiba ya Jamhuri ya Muungano inawekawazi haki za msingi, ikiwemo uhuru wakukusanyika na kujiunga na vyama vyasiasa, uhuru wa...
  11. E

    JamiiForums Tanzania Baraza la Vyama vya Siasa lakutana Morogoro, CHADEMA hawakuhudhuria

    Vyama vya Siasa 18 vyenye usajili wa kudumu vimeshiriki mkutano wa Baraza la Vyama vya Siasa ulioandaliwa na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa na kufanyika mjini Morogoro, huku CHADEMA ikiwa haijashiriki mkutano huo. Akizungumzia mkutano huo leo Februari 11, Msajili Msaidizi wa Vyama vya...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Kihongosi: Kuna watu wameishiwa hoja wamegeuka kuwa vyama vya vurugu, wamepoteza mvuto

    Kuna watu wameishiwa hoja wamegeuka kuwa vyama vya vurugu, nchi yetu inaongozwa kwa misingi ya demokrasia na katiba yetu inatutaka hivyo na chama cha mapinduzi tunaheshimu demokrasia ya vyama vingi sasa kunawatu wameishiwa hoja, hawaaminiki na watanzania, hawana ushawishi wamepoteza mvuto...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Kihongosi: Hatuwezi kushindana na vyama vidogo tunavyovilea, CHADEMA, ACT, CUF wote tunawalea

    Akizungumza na wananchi wa Ikungi mkoani Singida, katika mkutano unaofanyika Kata ya Puma leo Januari 22, 2026, Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Kenani Kihongosi, amesema kuwa Chama cha mapinduzi ni chama kikubwa hakiwezi kushindana na vyama vidogo ambavyo wanavilea akitaja...
  14. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Kihongosi: Kuna vyama wapo tayari kuumiza watu ili wawe viongozi

    Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Kenani Kihongosi amesema kuwa licha ya Tanzania kukubali mfumo wa vyama vingi mwaka 1992, bado wapo watu na baadhi ya vyama vinavyotumia demokrasia hiyo kama kichaka cha kufanya vurugu na kuchochea uasi ndani ya Taifa...
  15. funaku

    JamiiForums Tanzania Bunge lijadili na kuja na muundo wa vyama vya siasa nchini

    Ili kuepuka kuundwa kwa vyama mamluki venye kutumikia mataifa ya nje na kuzalisha vibaraka wa mabeberu ni vyema bunge likajadili na kuweka muundo rasmi wa vyama vya siasa nchini ambapo ndani yake kutaruhusu na kurasimisha uwepo wa vyombo vya serikali ndani yake. Hili litaepusha uwepo wa vyama...
  16. fimboyaukwaju

    JamiiForums Tanzania Ushirikiano baina ya wakristo na waislamu ni muhimu kuliko hata vyama vya siasa

    Ni bora pasiwepo na vyama vya siasa lakini ukawapo ushirikiano wa dhati baina ya waislamu na wakristo kwani kila siku,tunashirikiana kwenye mambo mengi mno.Angalia baadhi ya mambo tunayoshirikiana japo kwa uchache: 1.Kuzikana 2.Kusafiri pamoja 3.Kufanya biashara 4.Kufanya ngono 5.Kucheza michezo...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Hivi Tanzania ya Nyerere baada ya Vyama vyingi ilikuwa ndiyo hii au yalifanyika mabadiliko baada ya kifo chake?

    Hii kitu mimi najiulizaga sana kama yeye ni baba wa Taifa ndiyo alituachia inchi ikiwa chini ya Vyama vingi na katiba mbovu hivi? Basi Huko aliko afutiwe sifa zake zote tulizodanganywa kumuhusu yeye
  18. Fbn

    JamiiForums Tanzania Zamani ilikuwa hivi CCM wakishirikiana na polisi kuzimisha mikutano ya vyama pinzani

    Miaka ya nyuma watu wengi walikuwa wajashtuka kuwa hiki chama kilianza michezo ya uhalifu tokea zamani. Kipindi cha kampeni kulikuwa kuna matokeo ya fujo na kuweka hofu watu wasiende kwenye mikutano ya vyama pinzani. Ilikuwa hivi CCM ilikuwa ikiandaa vijana wenye silahaa za kawaida na...
  19. Q

    JamiiForums Tanzania Wameua Uhuru wa Vyombo vya Habari, wameua Vyama vya Siasa, wanataka kuua Madhehebu ya Dini na taasisi za Elimu.Tukatae

    Serikali haitaki ikosolewe wanachotaka ni kusifiwa hata pasipostahili. Wanataka ku paralyze taasisi zote za kiraia kama walivyofanya kwenye taasisi za umma. Hakuna chombo cha habari kilicho huru main stream zote zina censorship hadi kwenye mitandao ya kijamii, Tik Talk, IG, Facebook...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa vyama vingi Tanzania na Afrika ni mfumo kwa kuwaibia Mabeberu

    Wandugu Nimewaza na kuona kuwa mfumo wa vyama vingi afrika hasa Tanzania ni mfumo unaotumika kuwaibia wazungu pesa. Janja ya kupata pesa za bure za misaada nk. Kwa nini nasema hivi nchi nyingi mfano Tanzania ki uwazi hakuna Uchaguzi huru. Watu wanafanya kiiini macho kuwaaminisha wazungu kuna...
Back
Top Bottom