vumbi

  1. Faana

    Nini kifanyike kupunguza au kuondoa kero ya upepo mkali wenye vumbi Dodoma?

    Wataalamu wa mazingira wana mkakati gani au mapendekezo gani kwa serikali na wananchi kwa ujumla kujaribu kupunguza au kuondoa kabisa hii kero ya upepo mkali unaoambatana na vumbi hapa jijini ili paakisi status ya makao makuu ya nchi. Wengine wanasema hii ni balaa ya milele, wengine wanasema...
  2. muuza ubuyu

    Hali ya barabara ya Dumila - Handeni - Korogwe, Je ni barabara ya lami au vumbi?

    Habari wakuu, Mwezi wa kumi na moja nina safari ya kwenda Lushoto kwa kutumia usafiri binafsi. Kiufupi mimi ni mgeni katika mkoa wa Tanga na sijui hali ya barabara mkoani humo. Ninaishi kwenye moja ya mikoa ya kanda ya magharibi mwa Tanzania. Barabara ninayotaka kutumia ni ile ya kutoka...
  3. MamaSamia2025

    KARATU: Mji wenye vumbi kali na fursa nyingi za kiuchumi

    Majuzi nilileta uzi wa miji yenye vumbi jingi ambapo Karatu ilikuwa namba moja na hakuna aliyepinga. Baadhi ya comments zilizonekana kugusiagusia kuhusu huu mji ambao hauna mpinzani kwa kiwango cha vumbi jekundu kusini mwa jangwa la sahara. Lakini pamoja na vumbi bado Karatu ni mji mmoja uliokaa...
  4. MamaSamia2025

    Miji inayoongoza kwa vumbi Tanzania. Shati jeupe usiende nalo

    Hii ni miji kumi inayoongoza kwa vumbi nyakati za kiangazi nchini Tanzania. Ukienda huko achana na habari ya nguo nyeupe. Pendelea rangi nyeusi, brown au kijivu. 1. KARATU 2. KASULU 3. KIBONDO 4. BOMANG'OMBE, Hai 5. SONGEA 6. TUNDUMA 7. ORKESMET, Simanjiro. 8. DODOMA 9. MERERANI 10. MTO WA MBU
  5. Replica

    Rukwa yaongoza uwekezaji mwezi Julai, yazitimulia vumbi Dar na Mwanza. Uwekezaji wa wazawa waporomoka nchini

    Mwezi Julai, kituo cha uwekezaji nchini(TIC) kilitoa takwimu mbalimbali kuhusu hali ya uwekezaji nchini huku Rukwa ikishangaza kwa kuongoza kuwa na uwekezaji mkubwa zaidi. China imeendelea kuwa nchi ya kigeni inayowekeza zaidi nchini huku sekta ya kilimo ikitia fora kwa ukubwa wa mtaji...
  6. Stephano Mgendanyi

    Noah Cup 2023 Kuanza Kutimia Vumbi Uwanja wa Ilboru Arusha

    NOAH CUP 2023 KUANZA KUTIMUA VUMBI UWANJA WA ILBORU ARUSHA Mbunge wa Jimbo la Arumeru Magharibi Jijini Arusha, Mhe. Noah Lemburis Saputu Tarehe 12 Agosti, 2023 katika Uwanja wa Michezo wa Ilboru Jijini Arusha amefanya Uzinduzi wa Mashindano ya Michezo yaitwayo NOAH CUP 2023 Michuano ya Mpira...
  7. W

    Vumbi la dagaa chakula cha mifugo

    Habari wana jamii napenda kuwatangazia pia ,japo wengi mnanijuwa kwa kuuza dagaa, pia nimewaongezea kuwauzia vumbi la dagaa kama chakula cha mifugo. NAPATIKANA MWANZA-KIRUMBA-MWALONI. 0755213580. BEI INABADILIKA KUTOKANA NA SIKU HIVYO UNAWEZA NIPIGIA SIMU. Mkoani tunatuma haraka.
  8. Doctor Mama Amon

    Ushauri kwa UWT, UVCCM, Jumuiya ya Wazazi: Namna bora ya kumsafisha Rais Samia dhidi ya vumbi la mkataba wa Dubai hii hapa

    Mary Chatanda, Mwenyekiti wa Taifa wa UWT (Taifa) Leo mchana wa tarehe 03 Julai 2023, Mwenyekiti wa Taifa wa UWT (CCM), Mary Chatanda, amehutubua Taifa kupitia TBC, akiwa mkoani Njombe. Ameonyesha dhamira ya kupangusa “uchafu” unaotishia kuzima nyota ya Rais Samia. Lakini mbinu aliyoitumia ni...
  9. BARD AI

    Serikali yapiga Marufuku matumizi na biashara ya 'Vumbi la Kongo na Akayabagu'

    Dawa inayodaiwa kuongeza nguvu za kiume maarufu 'Akayabangu' pamoja na vumbi la Kongo zimepigwa marufuku kutumika nchini kwa kile kilichoelezwa kuwa hazijathibitishwa ubora wake. Hayo yamesemwa jana Ijumaa, Juni 23, 2023 na Mwenyekiti wa Baraza la Tiba Asili na Tiba Mbadala, Profesa Hamis...
  10. Nyendo

    Mkuu wa mkoa Kigoma: Kigoma siyo kama ya zamani kwa sasa hakuna vumbi

    Mkuu wa Mkoa wa Kigoma CGF (Mst.) Thobias Andengenye amekanusha taarifa zinazosambaa mitandaoni zikionesha Watu ambao wanatajwa kuwa ni Wafanyakazi wa ajira mpya za Serikali wakiwa wamechafuka baada ya kuwasili Mkoani humo kuanza kazi katika vituo walivyopangiwa. Andengenye amesema “Najua...
  11. Kaka yake shetani

    Sitosahau nilivyojilipua kutumia viagra pamoja na vumbi la Congo

    Kaka yenu shetani kabla sijaoa nikajilipua kwa binti mmoja alikuwa anapenda sana ngono ,basi ile tabia yake ukianza naye siku hiyo mpaka kesho yake. Nikawa na choka ikabidi nimfanyie ukatili ambao urusi na iran ujawai fanywa. Ujana sio mzuri bwana nikapata kibunda changu kipindi cha jakaya bado...
  12. Bushmamy

    Arusha: Wananchi watishia kugoma kudai lami, wachoshwa na ubovu wa barabara

    Wakazi wa kata ya Sinoni, na Ungalimited wanaotumia barabara kuu ya Engosengiu inayotokea mjini kuelekea katika Kata hizo mbili wamedai kuchoshwa na ubovu wa barabara hiyo kiasi cha kuwaletea usumbufu mkubwa hata katika vyombo vyao vya moto. Baadhi ya madereva wa Bajaji na Hiace wanaotumia...
  13. The Burning Spear

    Kauli ya vumbi la Congo kutoka kwa Mkuu wa Nchi inafikirisha sana

    Africans tunaswagwa Tu kama ng'ombe hatujui tunaelekea wapi. Ila anatuswaga ndo anajua anakotupeleka. Hoja ya msingi hivi ni kweli nguvu za kiume ndo tatizo kubwa kwa vijana wa kitanzania. Mkuu wa Nchi unaamka unauambia ulimwengu vijana wangu Wana upungufu wa nguvu za kiume kwamba nalo ni...
  14. Sildenafil Citrate

    Rais Samia: Vumbi la Mkongo na Supu ya pweza ni matokeo ya lishe duni

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesema kuwa changamoto inayowapata vijana wanapotaka kuongeza jamii inatonakana na uwepo wa lishe duni. Ametolea mfano wa matumizi makubwa ya vumbi la mkongo na supu ya pweza kwa vijana wa kiume, pamoja na matumizi makubwa ya chips...
  15. Kijakazi

    Mbowe awasha Moto mkali na kumwaga Vumbi!

    Pichani with a loser, …
  16. Jesus Mlokozi

    CAF Women’s Champions League Inaanza kutimua vumbi

    League hii kwa hapa Tanzania inawalishwa na simba. Tunaitakia Simba mafanikio mema.
  17. JanguKamaJangu

    Dawa ya Vumbi la Kongo 'hensha' yapigwa marufuku Tanzania

    Baraza la Tiba Asili na Tiba Mbadala Tanzania, limepiga marufuku matumizi ya dawa aina ya Hensha maarufu kama Mkongo kwa binadamu, na kwamba tayari limekwishaifutia usajili baada ya kubaini imechanganywa na dawa za kuongeza nguvu za kiume (Viagra). Mwenyekiti wa Baraza la Tiba Asili na Tiba...
  18. Protector

    Mbeya Jiji rekebisheni barabara yenu Kabwe-Mwanjelwa kupitia Airport

    Habari wanajukwaa, Nilifika Mbeya jana jioni hivyo nikatafuta Lodge karibu na stand ya nanenane nikalala. Asubuhi nikapanda daladala kuelekea mjini kufata kitu kilichonileta. Nilichoshangaa baada ya kufika Kabwe daladala ikaingia kushoto kupita njia ya Airport kwenda kutokea Mwanjelwa, huko...
  19. E

    Madhara niliyoyapata baada ya kutumia vumbi la Kongo

    Hello members Mimi ni kijana wa miaka 24. Week iliyopita Jumatano nilitumia vumbi la kongo ila cha ajabu kwenye show uume ulisimama legevu sana! Yani ulikuwa unasimama halafu nikitaka kuingiza unalala Hali kama hii sikuwa nayo before kabisa. Yani sahivi hata nikiamka asubuhi uume hausimami...
  20. P

    Jinsi ya kuondoa vumbi katika barabara zisizokuwa za lami

    Tuna wasomi wengi sana wa sayansi na uhandisi. Je hakuna namna ya kuchanganya udongo au changarawe na kitu fulani ili kuondoa kusagwa na magurudumu na kutoa vumbi ambalo linaathiri mazingira? Hapa msomi anaweza kupata PHD kwa kutupatia ufumbuzi wa tatizo hili.
Back
Top Bottom