Baraza la Tiba Asili na Tiba Mbadala Tanzania, limepiga marufuku matumizi ya dawa aina ya Hensha maarufu kama Mkongo kwa binadamu, na kwamba tayari limekwishaifutia usajili baada ya kubaini imechanganywa na dawa za kuongeza nguvu za kiume (Viagra).
Mwenyekiti wa Baraza la Tiba Asili na Tiba...
Habari wanajukwaa,
Nilifika Mbeya jana jioni hivyo nikatafuta Lodge karibu na stand ya nanenane nikalala. Asubuhi nikapanda daladala kuelekea mjini kufata kitu kilichonileta.
Nilichoshangaa baada ya kufika Kabwe daladala ikaingia kushoto kupita njia ya Airport kwenda kutokea Mwanjelwa, huko...
Hello members
Mimi ni kijana wa miaka 24. Week iliyopita Jumatano nilitumia vumbi la kongo ila cha ajabu kwenye show uume ulisimama legevu sana! Yani ulikuwa unasimama halafu nikitaka kuingiza unalala
Hali kama hii sikuwa nayo before kabisa. Yani sahivi hata nikiamka asubuhi uume hausimami...
Tuna wasomi wengi sana wa sayansi na uhandisi. Je hakuna namna ya kuchanganya udongo au changarawe na kitu fulani ili kuondoa kusagwa na magurudumu na kutoa vumbi ambalo linaathiri mazingira?
Hapa msomi anaweza kupata PHD kwa kutupatia ufumbuzi wa tatizo hili.
Hivi kwa wale wenye uhitay wa hivi vitu je mmewahi kutumia juisi ya tembele kwa ajili ya nguvu za kiume aisee ni hatari hiyo kitu kama ujajaribu ebu leo nenda kajaribu utakuja niambia pia madhara hakuna kabisa hiyo nichakula
Jana usiku Oktoba 09 mida ya saa 4 kasoro, jamaa yangu mmoja akiwa na mpenzie ndani ya gari, wakiendesha slow motion ndani ya barabara ya Kokoto.
Huku shemeji yangu akiongea na simu, GHAFLA BIN VUU, jamaa katokea kwenye kichaka na kumpora Shem simu. Wahusika: SOUTH BEACH HOTEL NA WANAUSALAMA...
Wakuu,
Huku hata iweje sitorudi tena pana funza za hatari, vumbi nikama linazaliwa huku yaani hapaeleweki kamwe naapa sitorudi tena huku hata iweje.
Huku hapafai kuishi maji ni tatizo sugu yaani palifaa watu wasikae kabisa maana pabaya sijawahi kuona.
Huku hapana hapana.
Hili vumbi linalotimka si la kitoto. Mradi wote huu wa mwendokasi huku Barabara ya Kilwa, tunaiomba serikali wambane sana huyu mkandarasi amwagie maji muda wote barabara ili kupunguza vumbi hili yaani tunateseka sana.
Pale chini mto Kizinga unatiririsha maji mengi hakukua na sababu sisi wakazi...
John alimwalika Sally kuja kula chakula. Waliwasiliana kwa simu kwa muda John akamweleza Sally pahali mkahawa iko. Sally alipofika alikuja na marafiki wake wa kike watatu. John alipoona hivi alikasirika kimoyo lakini alijifanya kufurahi. Aliuliza wasichana walichotaka wakamueleza mfanyikazi wa...
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano ya Tanzania.
Kumekuwa na tabia ya kuweka matuta kwenye barabara za vumbi za mitaa au vijijini kwa nia ya kupunguza ajali katika mitaa husika hasa ajali za watoto zinazohusisha pikipiki.
Kufanya juhudi za kupambana na ajali ni jambo jema isipokuwa...
Kiukweli Dar es Salaam kipindi hiki kuna joto na vumbi kali linalopulizwa na upepo wa hapa na pale.
Kwa kawaida vumbi hubeba vijidudu vya kila aina hasa ukizingatia wakazi wa Dar wana tabia ya kutema mate na kupenga kamasi hovyo hovyo tu.
Japokuwa ukivaa barakoa unaonekana " wakuja" lakini kwa...
Mambo vipi ndugu?
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 22 nimeanza mazoezi ya kegel kutokana na tatizo langu la kuwahi kufika kileleni.Kwa sasa hivi nina mwezi tangu nianze na nimeonai dalili Kwa mbali kuwa ninaanza kupona ila nikisex nawahi kufika kileleni.
Nina imani na zoezi hili...
Kwa kadri ya macho yangu Mkutano huu wa kata ya Machame waweza kuwa umevunja rekodi ya mikutano ya kisiasa iliyowahi kufanyika kwenye jimbo la Hai.
Hakika kumtoa mtu huyu kwenye jimbo hili kunahitajika wapiga kura wapya kabisa, ama labda wazaliwe watu wapya wengine Hai nzima .
Yaani namshangaa Mheshimiwa Magufuli amebaki na kuachwa akiangalia live band tu,anakula starehe, Sijui kama anazo taarifa au wahusika hawampi na kumwambia ukweli,kuwa Tundu Lissu ameshauteka umma wa walio wengi na anaendelea kukata mbuga kwa kasi ya ajabu.
Ukiangalia vizuri utaona Polepole...
Habari ya muda huu viongozi..
Poleni kwa mapambano yanayoendelea dhidi ya janga hili la ugonjwa hatari wa homa ya mapafu unaosababishwa na kirusi hatari cha corona. Tujitahdi kunawa mikono kwa maji tiririka na kutulia nyumbani.
Kwa miaka kadhaa kumeibuka dawa mbali mbali tukiachana na zile za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.