vizuri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ertugrul Bey

    JamiiForums Tanzania Hii video inazungumzia vizuri kuhusu Serikali hii

    Ni hayo tu!
  2. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ubora wa hotuba ya Gwajima ya jana ni tofauti yetu Watu weusi na Wazungu katika kuwatumia vizuri watu wenye uwezo mkubwa wa kiakili

    Kwenye hotuba ya jana tarehe 15/08/2025 ya Gwajima, kwenye maneno yote aliyozungumza, neno bora kabisa ni lile kuhusu watu weusi tunavyotofautiana na Wazungu katika kuwatumia watu wenye uwezo mkubwa wa kiakili. Kila siku nikiona namna watu wenye akili na upeo tofauti wa kufikiri na kutenda...
  3. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Generali ‘Sani Abacha’ wa Tanzania anasafisha njia vizuri sana kwa ajili ya mwanae 2030. Mji wa Mombo Tanga umepotea

    Kete ya Mtendaji Mkuu wa MCC kuwa ajaye 2030 ilisukwa vizuri baada ya swahiba wake aliyekuwa nae kwa kina Gaucho kipindi akiwa balozi kuukwaa u DG wa Meno. Kwa kuwa huwezi kuwa Rais wa Nchi ya Kusadikika bila Meno kukupitisha Mtendaji Mkuu aliamini baada ya mama basi lazima atakuwa yeye...
  4. Davidmmarista

    JamiiForums Tanzania Hivi wadau hivi vitu used vya Chris Lukosi ni original na vipo vizuri?

    Mdau uliyewahi kununua vitu used kutoka kwa Chris Lukosi tupe ushuhuda
  5. Busu la Kenge

    JamiiForums Tanzania Ishi vizuri na watu ili usije ukazikwa hivi kama kwenye video.

  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Vipi tumemsikia vizuri kabisa Oscar Oscar kwa hiki alichokisema au arudie tena?

  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Polepole una uhakika ulijipanga na Karata zako nazo ulizipanga vizuri dhidi ya 'Muhuni' mwenye Nguvu na Taarifa za kila Kitu?

    Ngoja nijiandae Kusikitika tu kuanzia leo!!!!!
  8. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania GE2025 Uchaguzi wa CCM unaenda vizuri

    Uchaguzi wa ndani CCM unaenda vizuri. Bado tunasubiri kuona Uchaguzi ndani ya vyama vingine. Lakini tunasikitika kuhusu Chadema kwamba haitakuwa katika Uchaguzi Mkuu. Judges 21:6 Today Israel has lost one tribe.
  9. A

    JamiiForums Tanzania Wizara ya fedha iangalie Vizuri Bank ya NMB

    Inakata kiasi kikubwa wakati wa kuomba mkopo. Mfan: unakopa Mil 15 hadi kupatiwa huo mkopo unapokea Mil 11. Hiyo Mil 4 yote ni Processing fee ambayo inavipengele vyake. Tunaumia huku ngazi za chini.
  10. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Ukiwa huna hela mipango ya biashara ina click vizuri kichwani

    Ukiwa huna maisha umefulia balance haisomi kila idea unayoipenda ukiifikiria unaipangilia vizuri kabisa Kiasi cha mtaji,gharama za uendeshaji,faida,..imagine niliishiwa hela nikaanza kufikiria biashara ya uji,matunda,genge...na tena kisasa ma innovations kama yote.. Kosa waniingizie mkwanja Tu...
  11. Pdidy

    JamiiForums Tanzania MLIOCHAGULIWA KUGOMBANIA UBUNGE YAAN HAPA MCHEZO UNAANZA WAJUMBE HAMJAWAJUA VIZURI SUBIRINI...MSIJISIFU SANA WL..HELA ZENU TUTAKULA VIZURI TU

    NIMEONA JANA KUNA MAENEOO YA BANANA WAJUMBE KADHAA WANAPONGEZANA MGOMBEA WAO JINA LIMERUDI NAOMBA NIWAHAKIKISHIE YAANA ILE ILIOTOKEA N TRELA PICHA HALISI YA WAJUMBE SUBIRI NI KK YAAN PALE.MTAJUA HAMJUI USHAURIII HONGA TOA RUSHWA KWA KILE AMBACHO HAKITAKUUMIZA WAJUMBE WAKIKUTENGENEZA KAMA...
  12. blogger

    JamiiForums Tanzania Samson Charles wa EATV kitamkuta kitu. Sidhani kama misimamo yake inapendwa na watawala. Ni vizuri mumshauri.

    Wenzie kimeshawakuta kitu. Uanfishi wa habari wa kiuwanaharakati hauwavutii wenye mamlaka. Ni vizuri achague moja. Uwanaharakati kamili au kuendelea na utangazaji. Ni wazi anaipinga serikali.
  13. haszu

    JamiiForums Tanzania Kama huna muonekano mzuri jitahidi uvae na unukie vizuri

    Kuna wengine tunapendeza kwa jitihada ndogo mana muonekano unatubeba, sasa kama wewe huna muonekano, jitahidi uvae vizuri na unukie vizuri. Mtu anaenda jumuia kama anaenda shamba, halafu watu waki “pay attention “ kwetu mnaanza kushangaa. Kama unajua una sura personal na irregular shape, then...
  14. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Ni position gani usipoifanya wakati wa tendo unahisi kabisa mchezo haujakamilika vizuri?

    18+
  15. W

    JamiiForums Tanzania Maliki Marupu amememjibu Dkt Malisa amemwambia akasome Katiba vizuri

    Aliyekuwa mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi CCM mwaka 2015, Maliki Marupu licha ya kumjibu mwanachama mwenzake Humphrey Polepole kufuatia kauli yake kuhusu mchakato wa uchaguzi wa urais ndani ya chama hicho pia amemvaa Dkt Godfrey Malisa . Marupu ameyasema hayo kufuatia hoja alizoziibua Dkt...
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Israel Mwenda pole sana kumbe ulikuwa huwajui Yanga SC vizuri pamoja na Kufurahia Kwako kwenda Kwao kwa Kutuzodoa wana Simba SC?

    Nilipoona tu Siku ile Yanga SC inarejea na Kombe kutoka Zanzibar huku ukijifanya Wewe ni Dj na ukawa Unatuzodoa wana Simba SC hasa pale Msimbazi Street mlikopita nilijua tu baada ya hapo kuna Maumivu utayapata kwani Wazee wa Simba SC nawajua huwa hawana Masihara katika kutuma Makombora ya...
  17. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Baba Mdogo wenzie wote wamefariki, badala ya kutusimamia vizuri yeye anatuuza

    Baba yetu alishatangulia mbele za haki. Baba wadogo walishafariki pia. Amebaki mama na baba mdogo. Sasa baba mdogo badala ya kuwa mshauri mkuu kuhakikisha familia inabaki salama yeye anamsaidia mama kutuuza. Baadhi ya kina kaka wamechachamaa lakini baba mdogo kaziba masikio. Ndugu kina mzee...
  18. S

    JamiiForums Tanzania E FM sio vizuri kumtumia Maestro kumshambulia Mo Dewji

    Ibrahim Masoud Maetsro amewahi kuwa mjumbe wa kamati ya utendaji ya Simba, hivyo hakuna shaka anapata habari nyingi za Simba kutoka kwa viongozi wenzake wa zamani, Maestro anapozungumza anaongea vitu ndani ya Simba vinavyoendelea. Viongozi wa zamani wa Simba wanamtumia yeye kutumia redio...
  19. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Ili kuku wa mayai watage vizuri wanatakiwa wapewe dawa gani na dawa zipi haziwafai nipo najifunza wakuu

    Wakuu nipo hapa kupokea nondo zenu sijawahi fuga kuku wa mayai. Najua kuna dawa wakipewa huwa zinawazuia kuku kutaga sio dawa tu hata booster pia nyingi huwafanya wanenepeane na kuwa na mafuta na mwisho kuwafanya kuku wasitage Nakaribisha Elimu zenu tujifunze
  20. A

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kuna Chama Cha Watu wasiosikia vizuri Tanzania?

    Habari, Kuna Chama Cha Watu wasiosikia vizuri Tanzania? Mimi ninashinda ya masikio kupiga kelele kutokana na sikio la ndani kuwa na shida. Nimehangaika sana mahospitalini lakini shida niliyonayo ni haitibiki (Tinnitus) ni ugonjwa wa kawaida na unawakumba watu wengine Duniani. Naomba mwenye...
Back
Top Bottom