Tumetoka kujaza Ile form ya Tume ya uchunguzi wa matukio ya tar. 29
Tumeijaza kabla hatujatawanyika kwenda kwenye majukumu ya kujitafutia riziki hii form siyo ngumu inaeleweka watanzania tujaze. Unaweza ukajaza hata ukiwa kwenye boda
Wana CCM na watu wa vyama vyote tujaze Ile form inaeleweka...
Pamoja na mchango wake mkubwa katika kuunganisha jamii, bado kumekuwepo na baadhi ya viongozi ambao hawajatambua kikamilifu umuhimu wa mitandao ya kijamii kama chombo cha kuwasogeza karibu na wananchi wanaowaongoza.
Mitandao ya kijamii imeondoa mipaka kati ya kiongozi na mwananchi, dunia sio...
kutokana na projection za IMF uchumi wa tanzania ulikadiriwa kukua kwa 7-8% wakati mwaka unaanza: Mwaka wa 2023 kwenda 2024 GDP ilikua $70-$75B lakini mpaka mwisho wa mwaka huu GDP yetu ni ~$90B, ukuaji mzuri sana huu, maaana yake mpaka mwisho wa mwaka 2026 kama ukuaji utakua huu huu basi...
"Tungeweza kusema ujio wa Yesu Kristo umeondoa kila aina ya dhuluma, uwe umeondoa kabisa hali ya uonevu, uwe umeondoa kabisa hali ya kutojali utu, uwe umeondoa mauwaji au kuuawa kusipokuwa na hatia, uwe umeondoa kabisa unyanyasaji wa aina mbalimbali , tulidhani imengekuwa hivyo miaka yote...
Wakuuu asalam asifiweee
Moja kwa moja to the point, nimekuwa natumia windows 10 pro, imekuwa ikinidai kuactivate windows mara kwa mara
Mara ya kwanza nilitoa hela kusaidiwa kuactivate sasa jamaaa akaweka external yake akafanya anavovijua chap chaoa huku akinificha akawa anatumia commands...
Wazazi Huu msimu wa sikuku usitulevye tukavuja Hela za Ada za watoto wetu.
Ndiyo elimu ni Bure bila ada basi changia hata chakula ili mwanao ale shule hapohapo. Kama shule ya mwanao Haina food program basi pendekeza kwa ustawi wa mwanao na shule kwa ujumla.
Baadhi ya wazazi wakishakula Hela...
Hapa naongelea Tanzania nzima, sio tu Tanganyika
Yani naongelea hii nchi yetu yote (Tanganyika+Zanzibar) ambayo imebakiza miezi minne kusherehekea miaka 62 ya Muungano
Katika vitu vifuatavyo, ndani ya hii miaka yote 62 tuliyoungana nataka niulize Tanzania tupo vizuri kwenye nini kati ya vitu...
Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam(UDSM) ambaye ni Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amempongeza Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba Mwigulu Lameck Nchemba kwa kazi anayofanya akieleza kuwa chuo hicho kinajivunia nafasi aliyonayo kwani naye ni mhitimu wa chuo hicho.
Dkt...
Kwa kipindi cha mwaka wa fedha 2024/2025, iGrowth Fund umeonekana kuwa miongoni mwa mifuko iliyofanya vizuri zaidi sokoni.
Ukuaji wa Thamani ya Kipande (NAV)
✓ Tarehe ya kuanzishwa: 03 Desemba 2024
✓ Thamani ya kipande ilipoanza: TZS 100
✓ Thamani ya sasa ya kipande: TZS 138.1709
✓ Ongezeko la...
Habari wakuu
Nimekuja kwenu kuomba yeyote mwenye kazi au connection ya kazi anisaidie.
Sifa zangu
Jinsia: Me
Umri: 28
Eneo: Dar es salaam
Elimu: Bachelor’s Degree in Procurement and Logistics Management
Naonngea kiingereza vizuri sana
Kazi ninazoweza kufanya kutokana na taaluma yangu ni idara...
Unajua JKT ilikuwa nini kabla haijageuzwa kuwa kambi ya kukimbiza vijana kama kuku?
JKT ilikuwa shule kubwa kuliko zote, hospitali kubwa kuliko zote, shamba kubwa kuliko yote,
chuo kikuu kikubwa kuliko vyote- lakini si kwa majina. Kwa DAMU na KAZI.
Mtoto, fikiria hivi:
Kijana aliyesoma Ualimu...
Aliyeniuliza ni mtu wa Australia yeye anachojua kwamba hata sisi watanzania tunafanya vizuri kwenye riadha ila ina reality ninachojua ni wa kenya ndo wanaoshinda Sana marathon..kiufupi nikamjibu kwamba kenya kuna watu wenye asili ya wembamba na miguu mirefu ni jamii za wafugaji ila sidhani kama...
CCM imeifikisha nchi sehemu mbaya sana, kwa sasa raia unawindwa kama paka na ukipatikana unapigwa kama mbwa mwizi na kuteswa ikiwezekana uuwawe kabisa.
Why ? Ni hawa matajiri wanafanya haya? Au vigogo wanaopora haki za raia wa kawaida ? Inahitaji kuandamana hadi viongozi watusikie?
Mwanzo sikujua kama muislam.
Baada ya kuachiwa akasoma
Surat-Tin yaani sura ya 95
"Alaisallahu bi ahkamil hakimin" (أَلَيْسَ اللَّهُ بِأَحْكَمِ الْحَاكِمِينَ)
Mafundisho wa aya hii
1. Allah ndiye Mwamuzi wa haki zaidi
Hakuna mwanadamu au kiongozi duniani anayeweza kulinganisha uadilifu...
Kila mtu anashangaaa.
Wachambuzi wa Afrika wanashangaa.
Wachambuzi wa Dunia wanashangaa.
Inakuwaje Jeshi linakuwa kimya wakati mtu mmoja anaua maelfu ya Wananchi? Anafanya hayo huku akijilimbikizia mali yeye na familia yake. Mbaya zaidi anateka, kuwapoteza na kuwafungulia mashtaka ya uongo...
Katika siasa za Tanzania, hakuna chama kilicho na historia, falsafa, na muundo uliojengeka kwa muda mrefu kama Chama Cha Mapinduzi (CCM). Ni chama kilichozaliwa mwaka 1977 kutokana na muungano wa vyama viwili vikubwa TANU kutoka Tanganyika na ASP kutoka Zanzibar. Lakini pamoja na ukubwa wake...
Mnapambana sana yani huku ground bila kujali mnalipwa buku7 au laaa! Lengo lenu hua ni boss wenu na familia yake wote waingie ikulu na maisha yao yawe ya kifalme, hakika hii imetimia!
Kinachotakiwa muongeze kasi familia na ukoo mzima wa boss wenu uwe serikalini pambaneni wazee bila kujali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.