Salimu Kikeke kiukweli maisha hayakumuendea vizuri

Salimu Kikeke kiukweli maisha hayakumuendea vizuri

Now and then

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2024
Posts
613
Reaction score
1,727
Huyu jamaa anajiita Salum Kikeke.

Nafasi aliyokuwa nayo BBC
Uzoefu wa Kazi
Exposure n.k

Nilitegemea akirudi Tanzania awe Kama Diamond au Samatha au Kama Msuva .

Yaani aanzishe Project itakayomtofautisha yeye na waswahili .

Ila yupo anapambia siasa za Ccm zilizojaa utapeli ,wizi ,majungu na ffitina.
 
Ameshazama kwenyw mfumo wa wenye nguvu.
 
Wewe umefanya nini mpaka Sasa 🤔🤔, Au umevua shart upo kibarazani umelala??
Mimi ninacho fanya ni hiki

Quoted

""Kaka nina safari ya Tanga saa tisa
Izo zinahitajika hospitali kuna mtoto yupo ICU anahitaji ventilation tulikosa size sahihi ya kumsaidia

saa 2 usiku nikifike nazo Tanga mtoto asaidiwe""

Baada ya kuto pokea simu ZAKE kama Saba hapo nilikua naongea na simu nyingine kwa muda mrefu kidogo ndipo huo ujumbe ukaingia nika shuhurikia fasta fasta nikamsaidia akapata HUDUMA

Huo ndio utu na ubunge wa kweli na kuokoa uhai wa watu.
Huo ndio ubunge wangu Mimi.

Asante.

CNDD-FDD
 
Alikuwa anabebwa na taasisi aliyokuwepo .

Ila yupo average (Kawaida)

Kwa jinsi navyomsoma Kikeke hana ile kitu inaitwa Entrepreneur mindset (Akili mtazamo wa kijasiriamali )

Ila ni mzuri akiwa chini ya MTU kuwa kibarua mfanyakazi.

Kuhusu kupambania Fursa kuwa Mbunge binafsi sioni tatizo Ila ili atoboe hapo Vunjo kwa wajumbe lazima pesa itumike.

Ningependa kumuona anafanikiwa Kikeke Ila kwa kuwa independent zaidi yaani angepambania platform ya yeye kuweka mawazo yake then serikali ikawa inamsapoti Kama alivyokuwa Ruge mtahaba .

Ila tuheshimu maamuzi yake maana ukiona mpaka amefikia huko ujue Ada za watoto , maisha n.k vyote vinamsubiri.

So why not
 
Huyu jamaa anajiita Salum Kikeke.

Nafasi aliyokuwa nayo BBC
Uzoefu wa Kazi
Exposure n.k

Nilitegemea akirudi Tanzania awe Kama Diamond au Samatha au Kama Msuva .

Yaani aanzishe Project itakayomtofautisha yeye na waswahili .

Ila yupo anapambia siasa za Ccm zilizojaa utapeli ,wizi ,majungu na ffitina.
Mkuu kila binadamu ana ndoto na matamanio yake katika mipango yake hili lipo hivyo tumkosoe kwa namna nyingine na huwezi jua anawaza nn mkuu. Japo tupo kwa
NO REFORMS NO ELECTION
 
Mimi ninacho fanya ni hiki

Quoted

""Kaka nina safari ya Tanga saa tisa
Izo zinahitajika hospitali kuna mtoto yupo ICU anahitaji ventilation tulikosa size sahihi ya kumsaidia

saa 2 usiku nikifike nazo Tanga mtoto asaidiwe""

Baada ya kuto pokea simu ZAKE kama Saba hapo nilikua naongea na simu nyingine kwa muda mrefu kidogo ndipo huo ujumbe ukaingia nika shuhurikia fasta fasta nikamsaidia akapata HUDUMA

Huo ndio utu na ubunge wa kweli na kuokoa uhai wa watu.
Huo ndio ubunge wangu Mimi.

Asante.

CNDD-FDD
Jambo jema mkuu
 
Huyu jamaa anajiita Salum Kikeke.

Nafasi aliyokuwa nayo BBC
Uzoefu wa Kazi
Exposure n.k

Nilitegemea akirudi Tanzania awe Kama Diamond au Samatha au Kama Msuva .

Yaani aanzishe Project itakayomtofautisha yeye na waswahili .

Ila yupo anapambia siasa za Ccm zilizojaa utapeli ,wizi ,majungu na ffitina.
😎 inawezekana labda hata akina Tuntemeke Sanga, Njelu Kasaka, Selilii, Samwel Sitta nk nao walikuwa tu kama akina Dotto Magari, Mwijaku, Shilole, Bashite nk.
Sema tu labda kwa ile tulikuwa wadogo hatukujua undani wao, na ndio akina Kikeke wanatembelea humohumo.

....nikiandika hii si nawashawishi kwamba hadhi ya Bunge letu iko sawa na inaendelea kupanda!
 
Mwacheni ajaribu bahati yake! Huenda alifikiri akirudi Tanzania atapata neema kama akina Tido,Charles Hilary,Zuhura Yunusu!
Mkuu maisha ni popote tu.
 
Back
Top Bottom