Wizara ya fedha iangalie Vizuri Bank ya NMB

Wizara ya fedha iangalie Vizuri Bank ya NMB

A

Anonymous

Guest
Inakata kiasi kikubwa wakati wa kuomba mkopo.
Mfan: unakopa Mil 15 hadi kupatiwa huo mkopo unapokea Mil 11.
Hiyo Mil 4 yote ni Processing fee ambayo inavipengele vyake. Tunaumia huku ngazi za chini.
 
Mmmmhmn yaani ukope milioni 15 halafu milioni 4 iishie kwenye makato? Sasa huo si ni ukichaa mzee.
 
Mleta mada iweke vizuri ili tuelewe. Hapa umeandika kama hearsay. Ukope 15m upate 11m, mmmm!!
 
Back
Top Bottom