Acha Maneno
Member
- Oct 6, 2018
- 54
- 112
Habari,
Kuna Chama Cha Watu wasiosikia vizuri Tanzania?
Mimi ninashinda ya masikio kupiga kelele kutokana na sikio la ndani kuwa na shida.
Nimehangaika sana mahospitalini lakini shida niliyonayo ni haitibiki (Tinnitus) ni ugonjwa wa kawaida na unawakumba watu wengine Duniani.
Naomba mwenye kujua kuhusu Chama Cha Watu wenye usikivu hafifu anisaidie.
Asante.