vizuri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Manara aondoa taharuki asema Yuko vizuri, haumwi

    Mkurugenzi Mtendaji wa Manara Tv na Mgombea Udiwani kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Kata ya Kariakoo Ndugu Haji Manara ameondoa taharuki kufuatia taarifa zilizosambaa kuhusu hali yake ya kiafya, akihakikisha kuwa yupo vizuri na wala haumwi. Akizungumza hii leo Oktoba Mosi, 2025 Ndugu Manara...
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Shikamoo kwa uliyenipa huu Mseto wa Kutukuka kwani kwa Siku 3 tu Wahusika wanakiona cha Moto, ila wanasema Wanafika vizuri sana Kilimanjaro

    Mchanganyiko wa Kitunguu Maji, Kitunguu Swaumu, Tangawizi, Limao, Asali kisha vyote unachanganyia Maji ya Moto.
  3. Magufuli 05

    JamiiForums Tanzania John Heche ana kitu, tukimtumia vizuri Nchi yetu itasonga mbele

    Bwana huyu nimekuwa nikimfuatiliia sana hotuba zake hasa wakati wa kampeni ya No Reforms no Election. Alikuwa akichambua vitu mpaka nasema yes this is the leader we want in our country na si Hawa wanaosema watanunua matrekta million 10. Heche anajua kueleza, anajua kujenga hoja . Anajua Tanzania...
  4. Magufuli 05

    JamiiForums Tanzania Siku tukimtumia Polepole vizuri, Nchi yetu itapiga hatua vizuri sana

    Kijana huyu anapoongea huchoki kumsikiliza. Hachoshi kama vile Mwalimu Nyerere Huwa hachoshi kumsikiliza hotuba zake. Polepole ana uwezo mzuri wa kujenga hoja na ana akili sana. Unajua mtu mwenye uwezo wa kuongoza na kutenda Huwa anapimwa kwa njia tofauti na moja wapo ni uwezo wa kujenga hoja...
  5. J

    JamiiForums Tanzania GE2025 David Kafulila: Ni vizuri aliyeiandaa dira ya 2050 apewe nafasi ya kuiwekea misingi walau hadi 2030

    KAULI HII YA KAFULILA INAFUNGA MJADALA Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam, Katika mahojiano ya moja kwa moja kupitia kipindi maarufu cha DK45 kinachorushwa na runinga ya ITV kila Jumatatu, Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia (PPP Centre), Bw. David Kafulila, ametoa taswira pana kuhusu ndoto ya...
  6. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kitu ambacho wanawake hawajui ni kuwa Wanaume tunawajua wanawake vizuri sana ila tunazuga hatuwajui kwa Maslahi yetu

    Hamjambo! Moja ya mambo ambayo Wanaume tumefanikiwa kuwarubuni na kuwashawishi wanawake ni ile dhana ya kusema hatuwaelewi wanawake wanataka nini. Na hatuwajui wanawake. Ila kimsingi hiyo ni trick tuu. Wanaume wengi tunajua wanawake wanataka nini. Na tunawaelewa vyema kabisa kuliko hata wao...
  7. H

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa rais na wabunge usiwe na muda maalumu akifanya vibaya apigwe chini hata ndani ya mwaka mmoja akifanya vizuri aendelee hata miaka mia

    Huu ujinga wa kumuhakikishia rais au mbunge kuwa atakaa madarakani kwa miaka mitano au kumi inawajengea kujiamini na kupiga hesabu za wizi kabisa wakijua wamefika. Ni bora katiba iseme rais na mbunge atadumu au atawajibishwa kulingangana na utendaji kazi wake iwapo anakubalika basi hata...
  8. F

    JamiiForums Tanzania Watanzania wepesi wa kusahau. Kuna ile kashfa ya Kikwete kununuliwa suti za jamaa wa Dubai, ile scandal iliisha kimya kimya. Mjueni Kikwete vizuri.

    Wakati wa hafla iliyofanyika Kempinski wakati wa utawala wa Kikwete, kuna mwekezaji mmoja kutoka Dubai alitamka kuwa wanamvisha Kikwete na walimpa zawadi ya suti ambazo zilimbamba vizuri. Habari ilipokuwa si siri tena, Kikwete kama kawaida akajitokeza na kudai anasingiziwa na magazeti...
  9. PendoLyimo

    JamiiForums Tanzania Makala ameiunganisha ccm vizuri

  10. VictoriaGreenHerbal

    JamiiForums Tanzania Kwanini Uume Unashindwa Kusimama Vizuri Baada ya kufikisha Miaka 30?

    Kupiga punyeto (kujichua) mara nyingi huchukuliwa kama kitu cha kawaida, lakini ukweli ni kwamba ni tatizo linalosababisha madhara makubwa kiafya na kisaikolojia. Watu wengi wanaozoea kufanya hivi hawaoni dalili mapema, lakini baada ya muda hujikuta wakipoteza nguvu za kiume wakifika miaka 30...
  11. Pdidy

    JamiiForums Tanzania KWANIABA YA WANA YANGA NA WANASIMBA WOTE TUNAKUTAKIA KILA LA KHERI LEO UCHEZESHE VIZURI...

    MPENSWA KTK BWANA REFR DAHANE KWA NIABA YA WAPENDA MPIRA WOTE NCHII HUU TUNAKUTAKIA KILA LA KHERI UNAPOENDA KUCHWZESHA MPIRA WA LEOO TAIFA LINAKUTEGEMEAA HUNA UBAYA NDUGUU WANAYANGA NA SIMBA WOTE TUKO NYUMA YAKOO  AMEN
  12. R

    JamiiForums Tanzania The morphing of dictators: why dictators get worse over time

    KUTOKA MTANDAONI "The morphing of dictators" refers to the concept that authoritarian leaders, even those starting with good intentions, often evolve into more ruthless tyrants over time due to the decisions they make to maintain power. A model proposed in an Oxford Academic article suggests...
  13. ERTUGRUL BEY

    JamiiForums Tanzania Hii video inazungumzia vizuri kuhusu Serikali hii

    Ni hayo tu!
  14. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ubora wa hotuba ya Gwajima ya jana ni tofauti yetu Watu weusi na Wazungu katika kuwatumia vizuri watu wenye uwezo mkubwa wa kiakili

    Kwenye hotuba ya jana tarehe 15/08/2025 ya Gwajima, kwenye maneno yote aliyozungumza, neno bora kabisa ni lile kuhusu watu weusi tunavyotofautiana na Wazungu katika kuwatumia watu wenye uwezo mkubwa wa kiakili. Kila siku nikiona namna watu wenye akili na upeo tofauti wa kufikiri na kutenda...
  15. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Generali ‘Sani Abacha’ wa Tanzania anasafisha njia vizuri sana kwa ajili ya mwanae 2030. Mji wa Mombo Tanga umepotea

    Kete ya Mtendaji Mkuu wa MCC kuwa ajaye 2030 ilisukwa vizuri baada ya swahiba wake aliyekuwa nae kwa kina Gaucho kipindi akiwa balozi kuukwaa u DG wa Meno. Kwa kuwa huwezi kuwa Rais wa Nchi ya Kusadikika bila Meno kukupitisha Mtendaji Mkuu aliamini baada ya mama basi lazima atakuwa yeye...
  16. Davidmmarista

    JamiiForums Tanzania Hivi wadau hivi vitu used vya Chris Lukosi ni original na vipo vizuri?

    Mdau uliyewahi kununua vitu used kutoka kwa Chris Lukosi tupe ushuhuda
  17. Busu la Kenge

    JamiiForums Tanzania Ishi vizuri na watu ili usije ukazikwa hivi kama kwenye video.

  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Vipi tumemsikia vizuri kabisa Oscar Oscar kwa hiki alichokisema au arudie tena?

  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Polepole una uhakika ulijipanga na Karata zako nazo ulizipanga vizuri dhidi ya 'Muhuni' mwenye Nguvu na Taarifa za kila Kitu?

    Ngoja nijiandae Kusikitika tu kuanzia leo!!!!!
  20. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania GE2025 Uchaguzi wa CCM unaenda vizuri

    Uchaguzi wa ndani CCM unaenda vizuri. Bado tunasubiri kuona Uchaguzi ndani ya vyama vingine. Lakini tunasikitika kuhusu Chadema kwamba haitakuwa katika Uchaguzi Mkuu. Judges 21:6 Today Israel has lost one tribe.
Back
Top Bottom