vizuri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    Tanzania kufanya vizuri kwenye Para-olympics Tokyo

    Ninaamini nchi yetu itafanya vizuri sana kwenye paraolympics. Tuna wabunge, wanasiasa wakiongozwa na honorable Ndungai, Polepole, Gwajima, Tarimba, Mwigulu, Zungu etc hakuna hata haja ya kuwapima maana wana akili ya kuku wote hao. Mheshimiwa Tarmba atasindikizwa na na vigogo wa Yanga, huyu jamaa...
  2. Rais Samia tunasikitika kuona unaiumiza legacy yako uliyoanza kuijenga vizuri

    Siyi siri, matukio ya hivi karibuni dhidi ya vyama vya upinzani hayajafurahisha Kitaifa wala Kimataifa. Hatua za kuvichukulia hatua vyama hivyo kwa kutumia nguvu ya dola na si nguvu ya hoja, imezua wingu zito juu ya dhamira ya Rais kiuchumi. Wengi tunajiuliza, je Mama anahujumiwa? Hata hivyo...
  3. Hassan Abass na Gerson Msigwa wameshindwa kufafanua maamuzi ya Serikali kuhusu tozo. Je, Serikali iendelee kuwaamini?

    Ilitarajiwa Wizara ya habari kupitia taasisi zake na wasemaji wake wahakikishe ujumbe wa serikali unafika na unaeleweka kwa Watanzania. Mtihani mkubwa kwa wizara hii ni kuelezea bajeti ya nchi kwa lugha rahisi ieleweke, sio bajeti tu, bali maamuzi mbalimbali ya serikali. Lakini kitu nilichoona...
  4. Ni muda wa kumpa sifa zake Mugalu

    Leo nyie mikia mnielewe vizuri, kama kigezo cha kumpima straika ni magoli, Chris Kope Mutshimba Mugalu ni bonge la straika na mpeni muda atafanya vizuri zaidi. Amefunga goli 15 za ligi, mnahitaji nini zaidi? Ni muda sasa wa Mugalu kupewa heshima yake anayostahili!
  5. Tatizo ni matumizi mabaya ya kodi zetu. Kama zingetumika vizuri hakuna mtanzania angelalamika.

    Kodi ni mchango wa lazima kwa ajili ya serikali. Pamoja na kuwa ni mchango wa lazima lazima itumiwe vizuri. Lazima sisi tunaolipa kodi kwa kulipa Direct tax or indirect lazima tuone matokeo chanya namna kodi inavyotumika. Kama mpaka sasa hivi baada ya miaka 60 bado baaadhi miji na vijiji...
  6. Tanzania na Kenya zabadilishana wafungwa, kila mtu akafungiwe kwao. Tunaendelea vizuri ila sijui kama Watanzania wanamsoma Rais Samia

    Mpaka hapo shughuli inakwenda vizuri, uhusiano unazidi kuboreka, mama kaonyesha mfano mwema badala ya kulia lia kuhusu Kenya na Wakenya, atafute namna ya kuwekana sawa. Japo namuelewa, yeye ana asili ya Zanzibar, Wazenji na Wakenya hatujawahi kuzinguana, hutupokea vizuri kwenye visiwa vyao vile...
  7. Shule za Serikali kufanya vizuri kuliko za Binafsi: Je, ni mkakati wa kuzifuta shule binafsi, kama walivyokuwa upinzani?

    Sioni sababu ya shule za Sekondari za Serikali kufanya vizuri kuliko za watu au mashirika binafsi. Ila naamini kuna mkakati wa kuzifuta shule za binafsi kwa njia ile ile iliyotumika kuvidhoofisha vyama vya upinzani. Wenye povu au hoja tofauti mnakaribishwa.
  8. Kati ya AISHA na ZUCHU yupi yupo vizuri kwenye vokoz?

    Habari za Leo wadau, Binafsi mimi nimetokea kumkubali sana mwanamuziki AISHA. Namwona mbali sana, katika vokozi. Pengine naweza kusema anakuja kuwa malkia wa Muziki Tanzania. Hivi tukiwalinganisha na ZUCHU unadhani yupi ni mkali kwenye vokozi. Hili ni song jipya la AISHA linaitwa Tamutamu...
  9. Upo vizuri kwenye kitu gani hasa?

    Wakuu. Upo vizuri kwenye kitu gani hasa? I mean kila mtu anakuwa na professional yake, lakini pia kuna ile unakuwa upo vizuri kwenye sekta au kitu fulani. Mapenzi, ngumi, umbea, uchawi, Udangaji,ujambazi, wizi, soka, pombe, technology, siasa, kwa mpalange, elimu, riadha, kuongea sana, muziki...
  10. Tumejipanga vizuri. Kupitia Corona tutaanza pata Misaada kama Uganda wafanyavyo

    Msema kweli mpenzi wa Mungu. Kwa sasa tunaanza kutengeneza hofu ya Corona ambayo haikuwepo. Muda mrefu sasa hatujapata tena taarifa kuwa watu wanakufa kwa Corona. Labda sababu Dr. Magufuli alifariki na watu wamesahau tena habari za vifo vyote kuhusishwa na Corona. Leo hii yanatoka matangazo ya...
  11. Kumbe DPP kutenda haki kunawezekana! Hongera sana, kazi umeianza vizuri. Sasa haki sio tu inatendeka, inaonekana! Kazi Iendelee…

    Wanabodi, Naendelea na zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa", nikiangazia suala zima za utoaji haki nchini, ambapo makala hii ni muendelezo wa ushauri kwa DPP, ulioanza wiki iliyopita. Wanasheria wana vimisemo vyao vingi vingi vya kisheria, vingi viko kwenye lugha ya Kilatini, na...
  12. Mnaoshindana na Diamond na ninyi basi anzeni kukata viuno ili mshindane vizuri

    Nimekua nikishangaa sana baadhi ya wanasiasa badala ya kufanya kazi ambayo Watanzania wamewatuma kufanya sasa wamegeuka kushindana na Diamond. Kijana wa watu anajituma kwa akili na uwezo wake sasa kuna wanasiasa wameibuka mitandaoni na kuanza kumsemasema kijana wa watu. Sasa mimi naona ili...
  13. Unataka kujua Plugins zenye vinanda vizuri? Tembelea video hii

    Najua kuna watu wanapenda kutengeneza beat za muziki zenye viwango vya juu kwa kutumia FL Studio. Hunabudi kuzijua plugins zitakazokusaidia katika hilo. Basi kama unataka kujua Plugins zenye vinanda vizuri tembelea video hii.
  14. M

    Wakenya kuletewa passport mlangoni baada ya kufanya maombi mtandaoni

    Majirani zetu wameanza sisi Passport unahojiwa kama unataka kuingia Vaults ya BOT ======= PostMaster General Dan Kagwe and Immigration Director General Alexander Muteshi during the signing of an MoU on May 3, 2021. PHOTO / COURTESY By Vincent Anguche Kenyans will now have their passports...
  15. Chamwino, Dodoma: Rais Samia Suluhu awaapisha Makatibu Tawala

    Jana Rais Samia Suluhu aliwasili mjini Dodoma na leo atawaapisha makatibu tawala aliowateua Mei 29, 2021. Pia Rais Samia aliwateua William Erio kuwa Afisa mtendaji mkuu wa FCC na Dkt. John Mduma kuwa mkurugenzi mkuu wa WCF. Kuwa nami. ========== Tulia Ackson: Wanawake hamkuteuliwa kwakuwa ni...
  16. Mkuu wa mkoa wa Dar unayafahamu vizuri maisha ya wananchi wako? Ushauri uliotoa ni pumba tupu

    Kwa kuwa ndugu Amos Makalla wewe ni pedeshee ndio unajifanya hujui maisha ya Dar yalivyo? Hijui kuwa alismia 90 ya wakazi wa Dar wanaishi kwa kubanana na wengi wanaishi mitaa ya madongo poromoka. Hujui kuwa wengi wa wakazi wa Dar wanaishi nyumba moja familia zaidi ya mbili? Huku wengi wakikaa...
  17. Kwanini Rais Mstaafu Kikwete akiongea Kiingereza hatetemeki?

    Popote pale ulipo Rais wangu Mstaafu wa Awamu ya Nne Mzee Jakaya Mrisho Kikwete Shikamoo kwa Kuzungumza Kwako vizuri na kiufasaha kabisa Lugha ya Kiingereza jana ulipokuwa umealikwa. Na ulichonifurahisha zaidi GENTAMYCINE ulikuwa unakiongea huku ukiwa hutetemeki, unajiamini na unatiririka nacho...
  18. Ufisadi Nchini Tanzania. "Tujishikilie Vizuri Wameanza Tena"

    Ni hadithi ya wazazi ambao walikuwa wanalala na watoto wao wadogo wawili katika kitanda kimoja. Ilipokuwa inafika usiku na wazazi wakiamini watoto wamelala wakawa wanafanya tendo la ndoa. Bahati mbaya katika kufurahia jambo lao wakamwangusha yule mdogo chini. Akalia...akabembelezwa na kurudi...
  19. S

    Tafakuri yangu wakati tunalalamika viburi vya watawala

    Wakati tunalalamikia viburi vya watawala, naomba niwakumbushe ukweli huu: Mwenyezi Mungu alietuumba, hakumpa mtu mmoja kila kitu kwani alijua hatari ya kufanya hivyo. Lakini sisi wanadamu, kwa udhaifu wetu, tumewapa watu/watawala mamlaka ya kuamua na kutenda karibu kila jambo linalotuhusu...
  20. Ni vizuri Bunge likajikita kwenye mjadala wa Bima ya Afya kwa wote

    Inavyoelekea ile ahadi ya CCM na CHADEMA katika chaguzi mbili zilizopita inayohusu bima ya afya kwa wote ikapigwa danadana nyingine baada ya mjadala wa sasa kuibuka kwenye chanjo ya corona na msimamo wa Gwajima. MY TAKE; 1- Wizara ya Afya iharakishe kuleta muswada bungeni utakaopelekea Sekta ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…