vizuri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kwa mwaka mmoja nimeongoza Nchi vizuri

    Rais Samia Suluhu ametaja changamoto tatu ambazo amekutana nazo tangu awe Rais wa Tanzania lakini ameonyesha nguvu ya Mwanamke kwa kuongoza Nchi vizuri na katika hali fulani amezidi hata kile kilichofanywa na Wanaume ndani ya mwaka mmoja. Akizungumza wakati akishiriki Mdahalo wa Wakuu wa Nchi...
  2. goroko77

    JamiiForums Tanzania Mbuge Flatei Massay apiga sarakasi Bungeni kuonesha kulalamika kuhusu ahadi anazopewa kila mara bila kutekelezwa, afanya marejeo ya sauti za mawaziri

    Mbuge wa Mbulu ameoneshwa kukerwa hadi kuamua kupiga sarakasi bungeni bila kujali uwepo wa spika Ni sawa mmbuge kupiga sarakasi au mweleka kuonesha kukerwa na ahadi zizizo tekelezeka? === Kuruka sarakasi kwa mbunge Flatei ni jambo analotamani kulifanya mara nyingi, Mei 17, 2021 pia alipokuwa...
  3. luangalila

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Nishati imulikeni TANESCO vizuri

    Waziri wa hii wizara sijui kama ana tambua kwamba bado wale wateja waliolipia 27k NC mpaka leo baadhi / wengi wao wana sumbuliwa kwa maana bado hawajawekewa huduma ya umeme ... Awali ilisikika ya kuwa tareh 30 March w022 ndio ilikuwa mwisho kwa wateja hawa kuwekewa umeme ...lakini mpaka leo...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Iringa: TAKUKURU INAYOTEMBEA yapokelewa vizuri, yazuia rushwa katika minada

    Iringa: TAKUKURU INAYOTEMBEA yapokelewa vizuri, yazuia rushwa katika minada
  5. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Simu zimechangia kuupoteza umuhimu wa kujuana kabla ya mahusiano; siku hizi mapenzi mengi huanza ndani ya siku hiyohiyo bila kujuana vizuri

    Kwa kweli simu zinaweza kuonekana na umuhimu wake lakini kuna uharibifu pia zimeleeta katika suala zima la mahusiano. Zamani ile process ya kumsubiria binti chini ya mti kwa masaa ukiombea labda atapita, kujua watu anaoishi nao pale unaporusa jiwe batini na aje kufungua mlango mtu mwengine...
  6. britanicca

    JamiiForums Tanzania Wajue vizuri kuhusu wale jamaa wabishi wa Aziv Battalion, ambao wamemtia unyonge Putin pia Warusi wenzetu wa pale Tandale

    Habari ukisubiria kikao cha Kamati kuu CHADEMA tupitie hapa Nilisema nitakuja kuwaelezea vizuri kuhusu wale jamaa wabishi wa Aziv Battalion, ambao mpaka leo wamemtia unyonge Putin pia warusi wenzetu wa pale Tandika kaburi 1. Putin alisema lengo lake la kuivamia Ukraine ni kui demilitarize na...
  7. May Day

    JamiiForums Tanzania Mamlaka simamieni vizuri huduma za usafiri, kuna 'uhuni' mwingi sana kule

    Siku chache zilizopita nimetumia muda mwingi barabarani nikitumia usafiri wa Mabasi yanayofanya safari kati ya Dar Es Salaama na Arusha. Hakika kuna mengi nimeshuhudia yanayokera mpaka unajiuliza ziko wapi Mamlaka zinazotakiwa kusimamia na kutoa miongozo, ina mana hawaoni haya? Kati ya mambo...
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Serikali kusomesha chuo kikuu wanafunzi watakaofanya vizuri masomo ya sayansi

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda (Mb) amesema katika bajeti ya Mwaka wa Fedha 2022/23 Wizara imetenga fedha kwa ajili ya kutoa ufadhili wa elimu ya juu (scholarships) kwa wanafunzi watakaofanya vizuri katika masomo ya Sayansi. Waziri Mkenda amesema hayo Jijini Dodoma...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Wizara yaendelea kuifikia mikoa isiyofanya vizuri anuani za makazi

    WIZARA YAENDELEA KUIFIKIA MIKOA ISIYOFANYA VIZURI ANWANI ZA MAKAZI Mkoa Wa Singida Wapewa Siku Nane Kujinasua Kabla Ya Uhakiki SINGIDA Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mohammed Khamis Abdulla ametoa siku nane kuanzia tarehe 27/4/2022 hadi tarehe...
  10. sky soldier

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Majirani, na nyie mna hili tatizo la Wazungu kuhudumiwa vizuri na kunyenyekewa kuzidi natives (white privelege)

    Habari zenu Wakenya Kwa huku Tanzania waweza kwenda ofisi za serikali ukakuta mzungu anahudumiwa kwa umakini sana na very fast, kama ni documents ama vibali atavipata haraka sana. Kuhusu dating nako mzungu hatumii nguvu kubwa sana kupata partner, infact anaweza kuwa broke lakini akaikamua pisi...
  11. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Tuweka ushabiki pembeni: Staa gani anajua kuvaa na kupendeza hapa Bongo?

    Jux Ommy Ali Kiba Diamond Kamikaze
  12. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wakicheza karata zao vizuri watafufuka kabla ya na kurudi kwenye ubora.

    Nawaamuru wafuasi wa CHADEMA msome kwa makini sana huu uzi na muufanyie kazi. Hivi karibuni kama mmefuatilia mwenendo wa kisiasa hapa nchini inaonyesha CHADEMA (Chama cha Mbowe) hakina matatizo mengi sana na wala watu wengi hawana ubaya nacho. Na pia inaonekana CHADEMA hawana visasi na watu...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kama Kocha Mzawa mwenye Akili Tanzania nzima Mecky Mexime Kaichambua Simba SC vizuri hivi Wewe ni Kibushuti gani umpinge?

    "Nilishatabiri mapema tu kuwa Simba SC inacheza Fainali ya Shirikisho. Na hata hiyo Jumapili nakuhakikishia Simba SC anaenda Kumfunga Orlando Pirates FC na kwenda Nusu Fainali ya Shirikisho. Simba SC ina Wachezaji wakubwa, wazuri, wanaofika na wanaweza Kukimbizana. "Nimewaona Orlando Pirates FC...
  14. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Ninaishi na mke ambae hatujaoana ila tuna watoto na tunaishi vizuri. Ndoa ni sheria ya kijinga inayoweza kunivuruga

    Kwangu naweza kusema ni kama mke maana kwetu wanamjua ma kwao wananijua, ila kuhusu ndoa hapo huwa nalikwepa sana hili jambo, huwa naona vile ndugu, jamaa ma marafiki baadhi yao wanavyoteseka. Kwa sasa tuna watoto wawili moja ana miaka 9 mwengine mitano, tunaishi vizuri tu, tunaheshimiana bila...
  15. Nsennah

    JamiiForums Tanzania Iko wapi kauli ya vizuri huwa havidumu?

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano, Nipo hapa kuwakumbusha kauli inayotawala miongoni mwa watu, VIZURI HUWA HAVIDUMI. Nimelileta kwenu kutokana na mijadala inayoendelea ya kumuattack hayati JPM. Wapo wanaoshangilia mpaka leo kuwa yule kuondoka ni kusudio la Mungu kuwaepusha na balaa...
  16. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Uganda Airlines, wameanza vizuri

    Hawa Majirani tuwaangalie kwa jicho makini. Tuweke mipango inayoeleweka tuache kulia lia. **Tayari wanatua OR Tambo, Dubai, Bujumbura, Juba, Dar, Kilimanjaro na Mogadishu.
  17. Jitu la kienyeji

    JamiiForums Tanzania Fahamu baadhi ya sheria za kijamii zitakazokusaidia kuishi na watu vizuri

    1. Usimpigie mtu simu zaidi ya mara mbili mfululizo. Ikiwa hapokea simu yako, chukulia kuwa ana jambo muhimu yuko analifanya. 2. Rudisha pesa ulizokopa hata kabla mtu aliyekukopa hajakukumbusha au kukuomba. Kufanya hivi kunaonyesha ni jinsi gani ulivyo mwaminifu, na kutakufanya uaminike zaidi...
  18. The unpaid Seller

    JamiiForums Tanzania Wanakumbuka VIZURI agizo la Mungu kwamba mwanaume atakula kwa jasho ila wanapinga na hawataki agizo kua mwanamke atakua chini ya mwanaume.

    Hua nikiwatafakari akili za wanawake najiuliza aidha ni wanafiki au wajinga sana au vyote basi nakosa jibu. Wanakumbuka agizo la Mungu kwamba mwanaume atakula kwa jasho (Mwanzo:2) na kwamaana hyo ni jukumu la mwanaume kutafuta na wanashupalia andiko hilo mpaka mishipa inawatoka ila...
  19. KingJoh

    JamiiForums Tanzania Kuna watu humu wanajulikana kama mashabiki wa simba lakini hawaisemei vizuri timu yetu

    Watu hao waiuponda uongozi wa Simba in the name of mashabiki kindakindaki wa Simba. Nafkri wanajukwaa hasa ambao ni wanaSimba wenzangu, mtakuwa mashahidi kama nikisema mwenzetu GENTAMYCINE ana chuki binafsi na uongozi uliopo pale Simba, lila kukicha Uongozi wa Simba umefanya kosa hapa mara...
  20. L

    JamiiForums Tanzania China na Afrika zikishirikiana vizuri kwenye kilimo zinaweza kuondoa baa la njaa Afrika

    Pili Mwinyi Bara la Afrika, ambalo lina watu zaidi ya bilioni 1.3, hivi sasa linakabiliwa na mtihani mkubwa wa baa la njaa. Mbali na sababu nyingine nyingi zikiwemo ugaidi na vita vya wenyewe kwa wenyewe, baa la njaa pia linatokana na ukosefu wa mvua unaopelekea ukame na hatimaye kuwa na uhaba...
Back
Top Bottom