Tumia vizuri muda na rasilimali ulizonazo,hujui kesho yako itakuwaje

Naja naja

JF-Expert Member
Sep 13, 2016
747
1,452
Iogope sana kesho yako maana huijui ikoje, Leo umeshaiona na madhaifu yake umeshayaona ,kesho huijui huenda ukaamka upo hoi kitandani au ukapata ajali ambayo itakupa ulemavu wa kudumu.
 
Iogope sana kesho yako maana huijui ikoje, Leo umeshaiona na madhaifu yake umeshayaona ,kesho huijui huenda ukaamka upo hoi kitandani au ukapata ajali ambayo itakupa ulemavu wa kudumu.
Upo sahihi ila ukiishi kwa mtindo huo no life any more
 
Mimi siogopi hiyo kesho japo naunga mkono matumizi mazuri ya muda na resources.

Kwann tunapenda kuishi kimashaka-mashaka;
kuhofia yajayo ni dalili za maisha ya bahatisha ndulute..kama ni kufa hayupo atakayeishi milele.

Kama ni kuugua.kata bima kubwa..
kama ni ulemavu utokanao na ajari basi ujue kwa asilimia nyingi ni uzembe wa wasimamizi wa sheria za mabarabarani au reckless ya yeye victim.

Hatupaswi kuogopa kesho.bali kuifurahia hiyo kesho.fanya nafasi yako, mamlaka nazo zifanye nafasi yake.

Your future is not a miracle or mystery..it's the harvest of choice you make today.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom