Nimefuatilia kwenye mitandao ya kijamii, kila mtandao nakutana na mwanayanga aka UTO akilalamika kwanini simba mpaka sasa haiongozi ligi.
Nimejaribu kifuatilia masuala ya kisaikolojia na mental illness nikagundua, mashabiki wengi wa yanga wanaipenda sana simba. Simba imekuwa national club...