vizuri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Tuweka ushabiki pembeni: Staa gani anajua kuvaa na kupendeza hapa Bongo?

    Jux Ommy Ali Kiba Diamond Kamikaze
  2. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wakicheza karata zao vizuri watafufuka kabla ya na kurudi kwenye ubora.

    Nawaamuru wafuasi wa CHADEMA msome kwa makini sana huu uzi na muufanyie kazi. Hivi karibuni kama mmefuatilia mwenendo wa kisiasa hapa nchini inaonyesha CHADEMA (Chama cha Mbowe) hakina matatizo mengi sana na wala watu wengi hawana ubaya nacho. Na pia inaonekana CHADEMA hawana visasi na watu...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kama Kocha Mzawa mwenye Akili Tanzania nzima Mecky Mexime Kaichambua Simba SC vizuri hivi Wewe ni Kibushuti gani umpinge?

    "Nilishatabiri mapema tu kuwa Simba SC inacheza Fainali ya Shirikisho. Na hata hiyo Jumapili nakuhakikishia Simba SC anaenda Kumfunga Orlando Pirates FC na kwenda Nusu Fainali ya Shirikisho. Simba SC ina Wachezaji wakubwa, wazuri, wanaofika na wanaweza Kukimbizana. "Nimewaona Orlando Pirates FC...
  4. sky soldier

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ninaishi na mke ambae hatujaoana ila tuna watoto na tunaishi vizuri. Ndoa ni sheria ya kijinga inayoweza kunivuruga

    Kwangu naweza kusema ni kama mke maana kwetu wanamjua ma kwao wananijua, ila kuhusu ndoa hapo huwa nalikwepa sana hili jambo, huwa naona vile ndugu, jamaa ma marafiki baadhi yao wanavyoteseka. Kwa sasa tuna watoto wawili moja ana miaka 9 mwengine mitano, tunaishi vizuri tu, tunaheshimiana bila...
  5. Nsennah

    JamiiForums Tanzania Iko wapi kauli ya vizuri huwa havidumu?

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano, Nipo hapa kuwakumbusha kauli inayotawala miongoni mwa watu, VIZURI HUWA HAVIDUMI. Nimelileta kwenu kutokana na mijadala inayoendelea ya kumuattack hayati JPM. Wapo wanaoshangilia mpaka leo kuwa yule kuondoka ni kusudio la Mungu kuwaepusha na balaa...
  6. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Uganda Airlines, wameanza vizuri

    Hawa Majirani tuwaangalie kwa jicho makini. Tuweke mipango inayoeleweka tuache kulia lia. **Tayari wanatua OR Tambo, Dubai, Bujumbura, Juba, Dar, Kilimanjaro na Mogadishu.
  7. Ben Zen Tarot

    JamiiForums Tanzania Fahamu baadhi ya sheria za kijamii zitakazokusaidia kuishi na watu vizuri

    1. Usimpigie mtu simu zaidi ya mara mbili mfululizo. Ikiwa hapokea simu yako, chukulia kuwa ana jambo muhimu yuko analifanya. 2. Rudisha pesa ulizokopa hata kabla mtu aliyekukopa hajakukumbusha au kukuomba. Kufanya hivi kunaonyesha ni jinsi gani ulivyo mwaminifu, na kutakufanya uaminike zaidi...
  8. The unpaid Seller

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanakumbuka VIZURI agizo la Mungu kwamba mwanaume atakula kwa jasho ila wanapinga na hawataki agizo kua mwanamke atakua chini ya mwanaume.

    Hua nikiwatafakari akili za wanawake najiuliza aidha ni wanafiki au wajinga sana au vyote basi nakosa jibu. Wanakumbuka agizo la Mungu kwamba mwanaume atakula kwa jasho (Mwanzo:2) na kwamaana hyo ni jukumu la mwanaume kutafuta na wanashupalia andiko hilo mpaka mishipa inawatoka ila...
  9. KingJoh

    JamiiForums Tanzania Kuna watu humu wanajulikana kama mashabiki wa simba lakini hawaisemei vizuri timu yetu

    Watu hao waiuponda uongozi wa Simba in the name of mashabiki kindakindaki wa Simba. Nafkri wanajukwaa hasa ambao ni wanaSimba wenzangu, mtakuwa mashahidi kama nikisema mwenzetu GENTAMYCINE ana chuki binafsi na uongozi uliopo pale Simba, lila kukicha Uongozi wa Simba umefanya kosa hapa mara...
  10. L

    JamiiForums Tanzania China na Afrika zikishirikiana vizuri kwenye kilimo zinaweza kuondoa baa la njaa Afrika

    Pili Mwinyi Bara la Afrika, ambalo lina watu zaidi ya bilioni 1.3, hivi sasa linakabiliwa na mtihani mkubwa wa baa la njaa. Mbali na sababu nyingine nyingi zikiwemo ugaidi na vita vya wenyewe kwa wenyewe, baa la njaa pia linatokana na ukosefu wa mvua unaopelekea ukame na hatimaye kuwa na uhaba...
  11. Interest

    JamiiForums Tanzania Kama nidhamu ya uoga inasaidia mambo yaende vizuri, inafaa sana

    HIARI YASHINDA UTUMWA ni moja ya msemo wa Kiswahili wenye hekima kubwa sana unaoonesha umuhimu wa personal integrity. Ukiwa muadilifu, utakuwa na nidhamu ya kutekeleza wajibu wako bila kusukumwa wala kulazimishwa. Kwa bahati mbaya sana, Watanzania kwa asilimia kubwa hatujalelewa kuwa waadilifu...
  12. ommytk

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara fursa ya kupandisha vitu bei wameitumia vizuri. Naona wako fasta sana, kila kitu kimepanda

    Wafanyabiashara wetu kweli hamna huruma maana vitu vimepanda na mnashindana kupandisha bei kweli. Hata kama mafuta yamepanda ila mbona nauli za magari azijapanda? Na pia kuna bidhaa tu za humu ndani ambazo hata hazitoki nje nazo mmeoandisha maradufu. Ila sawa tu, tutaishi tu amtukomoi
  13. M

    JamiiForums Tanzania Chadema hii ndio fursa itumieni vizuri.

    Hii ni CcM isiyokubalika kwa wananchi na ilishachafuka huko nyuma na kuwapa nyie fursa ya kukubalika kama chama cha upinzani kinachopinga mafisadi. Hii ndoo fursa ya kunyanyuka tena na kupaa kisha kukamata dola. Changamkeni mtumie hii fursa.
  14. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Nani alikuwa mkali wa kuimba hapa?

    Kati ya hawa malegend nani alikuwa mkali wa sauti tamu? Celine Dion Whitney Houston ( Rip) Mariah Carey Mimi naondoka na Celine Dion huyu mwana mama alikuwa ni shida, moja kati ya nyimbo zake kali ninazozipenda. Love doesn't ask why A new day has come Tiririka hapa ni nani ulikuwa...
  15. Bonheur Travels Tanzania

    JamiiForums Tanzania Ukijipanga vizuri, mwaka huu unaweza kwenda Ulaya kufurahia maisha

    Tusijifungie sana ndani. Tuwe na kawaida ya kudunduliza pesa kwa ajili ya kusafiri nchi za mbali huko na kutazama maisha kwa upande mwingine. Kusema ukweli, ukiwa sio mtu wa kupangilia mambo yako hutafurahia maisha wala hutaifaidi dunia ipasavyo. Pesa tu ndio ikufanye usiende mataifa mengine...
  16. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania TCRA: Tumia simu vizuri, ukimdhalilisha mwanamke mtandaoni jela inakuhusu

    Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imewaonya watu wanaofanya vitendo vya udhalilishaji kwa wanawake mitandaoni, ikisema kufanya hivyo ni kosa la kihalifu kwa mujibu wa sheria za nchi na kunaweza kumpelekea mtu kutozwa faini, kufungwa jela au vyote kwa pamoja. Wito huo umetolewa hivi...
  17. Ngongo

    JamiiForums Tanzania Nikisema Jeshi la Polisi halifanyi kazi vizuri, najibiwa...

    Katika nchi ya Pueto rico Rais analalamika akilisema jeshi la Police halifanyi kazi vizuri anajibiwa na IGP / Mkuu wa Jeshi la Police wa Pueto rico. Naomba kunukuu maneno ya Rais wa Pueto rico ' Wewe uamini vyombo vyako ohooo ohoooo' alisikika Rais wa Pueto rico akilalamika kitendo cha utovu wa...
  18. V

    JamiiForums Tanzania Ni ipi biashara inayolipa vizuri kati ya zifuatazo?

    Kwa mtu mwenye mtaji wa Tsh. milioni 11 afanye biashara ipi kati ya zifuatavyo itakayomlipa maeneo ya Arusha? 1. Hardware(cement,white cement, gypsum biard+powder, mikanda ya gypsum+screw, paints, squire pipe,nondo) 2. Home appliances (Tv, fridge, radio, blender, rice cook) 3. Vifaa vya...
  19. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tabia ngumu ya mzazi, watoto mtaijua vizuri pale mzazi mmoja akifariki (wakiwa hivi pamoja hufichiana siri)

    Familia nyingi zina watu mizigo. Ninaposema tabia mizigo ninamaanisha watu wenye tabia ngumu kumeza. Watu ambao wanavumilika tu kwasababu ni ndugu au wazazi lakini kiuhalisia hawafai hawafai! (Yaani kama ni chakula basi hawafai kwa kulamba, kutafna au kulumangia). Na hizi tabia ngumu za wazazi...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Chato: Yaliyojiri katika Maadhimisho ya mwaka 1 wa kifo cha Hayati Magufuli. Kasala, tusimamie ukweli na haki. Samia kuendeleza Mema

    Leo ni Maadhimisho ya Mwaka mmoja tangu Rais wa awamu ya Tano Dkt John Pombe Joseph Magufuli atukote. Maadhimisho hayo yanafanyika mkoani Geita katika wilaya ya Chato. Maadhimisho hayo yatahudhuriwa na Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Mh. Samia suluhu, Makamu wa Rais Dkt. Isdori Mpango...
Back
Top Bottom