vizuri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mandonga ni fursa ya kufufua boxing, aangaliwe kwa jicho la kibiashara, anapromoti vizuri sana

    Binafsi niliacha kufuatilia ngumi baada ya checka na Rashid matumla kustaafu, lakini ni hivi karibuni naanza kufuatilia mchezo wa boxing kutokana na Tambo za mandonga. Kuna vitu kidoogo anavikosa, sponsors wakimuona, atakuwa vizuri. Huyu jamaa ni fursa ya kuunyanyua mchezo wa ngumi
  2. S

    JamiiForums Tanzania Polisi chunguzeni vizuri hivi vifo vya wanaume kwenye magesti. Mbona wanawake hawafi?

    Visa vya wanaume kufia guest wakiwa na "*viruka njia" wao vimekuwa vingi sana siku hizi. Wengi wanahusisha vifo hivi na kuzidiwa kwa mwanaume na dozi bab kubwa ya 6 kwa 6 anayopewa na mdada. Inaweza kuwa kweli lkn siyo mara zote. Nimewahi kupewa stori kuwa kuna mbinu inafanywa na wadada wahuni...
  3. JamiiForums Tanzania Kuna siku huwa zinaflow vizuri hadi unapenda mwenyewe

    Yani kuna ile siku hukua na kazi nyingi, mfukoni pako vizuri, jioni bia mbili hivi uhakika.. by saa moja umeisha ingia bafuni, unaweka mwili safi, then unatupia unyama flani hivi ambao huwa unauaminia sana.. unawakaaaa yani. simu ina bando hadi la hakiba.. Unamaliza kula msosi mzuri by saa 2...
  4. JamiiForums Tanzania Homa ya mgunda: ‘Msile vibudu, kuleni nyama iliyopikwa vizuri’

    Mkurugenzi wa Huduma za Mifugo wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi, Prof. Hezron Nonga, akizungumza jana na waandishi wa habari jijini hapo, alisema panya sio mnyama anayetakiwa kuliwa na binadamu kwa kuwa ni benki ya vimelea vya ugonjwa huo. Aidha, wamesisitizwa kununua nyama iliyochinjwa kwenye...
  5. JamiiForums Tanzania Kala vizuri na Lodge nimelipia ila Kagoma kunipa Mbususu

    Jamani ama kweli Wanaume tumeumbwa mateso. Demu kala vizuri na lodge nimelipia lakini mbususu yake amegoma kunipatia anadai hakuwa tayari na yuko kwenye siku zake. Nimejiuliza kama hakuwa tayari kwanini anipe ruhusa ya kuandaa mazingira ya kwenda kupumzika kwa pamoja au alitaka kunikomoa...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Kiatu cha sakho kama vile ni madini kweli, kina reflect vizuri

    Kina reflect vizuri sana kwenye jua vile vya kwetu sijui huwa vinakuwa polished na kiwi?au mbao za mninga? anyway sakho karudi leo kambini lakini jana pia alicheza vs pyramids ambapo simba ilipigwa magoli 12-0
  7. JamiiForums Tanzania Ambao hawakumtaka kwenye chama chake huenda walimjua vizuri kuliko sisi

    Kuna tetesi nyingi baada ya msiba wa baba, baba wadogo na marafiki wa baba waliweka vikao vya siri. Wakipinga katakata mama asiwe msimamizi wa mirathi. Wakisisitiza uwezo wake ni mdogo kuongoza nyumba kubwa yenye watoto watukutu. Ila wajomba wakongwe walimkingia kifua. Wakiamini kuwa baba...
  8. JamiiForums Tanzania Kama hujaridhika na nyongeza ya mshahara, Acha kazi uende wanapolipa vizuri!

    Ifike hatua tuache kubembelezana, Serikali ilisema kabisa imeongeza mshahara ikiwemo kima cha chini kwa 23%, hamkuelewa nini? Hawa watu wa kima cha chini wa TGS A walikuwa wanapata hadi 280, 000/= Hawa ndio wamepewa 23% Sasa wewe una mshahara wa milioni na wewe unataka 23% unaumwa eti...
  9. JamiiForums Tanzania IGP Wambura ameteuliwa ili Viongozi waishi vizuri?

    Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Camillus Wambura, ameahidi kushughulika na yeyote ambaye atakuwa na vitendo vyovyote ambavyo ni kinyume na maadili na kinyume na matendo mema ya Watanzania. “Nitoe rai kwa mtu yeyote ambaye anadhani anaweza akaleta aina yeyote ya vitendo vya uvunjifu wa...
  10. JamiiForums Tanzania Frenkie de Jong hataki kwenda Man United kwa madai klabu hiyo haiendeshwi vizuri

    Imedaiwa kuwa kiungo wa Barcelona, Frenkie de Jong hataki kuhamia Manchester United kwa kuwa haupendi Mji wa Manchester na anaamini klabu hiyo haiendeshwi vizuri. Ilielezwa kuwa Man United ilikubali kuwa tayari kutoa Paundi Milioni 71.5 ili kumsajili lakini mchakato umekuwa mgumu kwa kuwa kuna...
  11. JamiiForums Tanzania Sababu za kisayansi kwanini Mwanaume anayevaa vizuri hung'oa wanawake wengi wakali kuliko mwenye gari

    When I was a lil bow wow (a very young boy) I was thinking just like you. Nilikuwa nafikiri kwamba ukitaka kung'oa mademu wakali lazima umiliki gari. So tangu enzi hizo dream yangu kuu ilikuwaga nikija kupata mkwanja basi kitu cha KWANZA kununua nitanunua gari ili niwa vutie mademu. But...
  12. JamiiForums Tanzania Ushauri wa biashara: Duka la rasta, stationery na duka la dawa muhimu

    Naomba kunishauri, biashara gani kati ya hizo haina complication Nahitaji kufungua biashara, akili yangu inawaza biashara tatu lakini moja tu ndo inabidi nichague kati ya hizo.
  13. L

    JamiiForums Tanzania China kujenga rada ya ubora wa juu duniani ili kulinda vizuri sayari ya Dunia

    China imeanza ujenzi wa mfumo mpya wa rada utakaokuwa na uwezo wa kufuatilia kwa kina masuala ya anga za juu kwa lengo la kulinda vizuri Dunia. Mfumo huo mpya pia utaongeza uwezo wa ulinzi wa nchi hiyo dhidi ya sayari ndogo zilizo karibu na Dunia, na uwezo wake wa kutathmini mfumo wa Dunia na...
  14. JamiiForums Tanzania Somo la historia liwe linatumika na kusomwa vizuri. Hakuna kukariri hapa

    Historia ya Dunia haijajificha kamwe na mwalimu mzuri ataamsha ari Kwa mwanafunzi wa historia. Ukimsikiliza huyu ndg Kwa makini na uka base katika historia ya Dunia Ile na hii mambo yanakwenda kubadilika na hata kuelekea kuumizana.
  15. JamiiForums Tanzania Je, afya ya mapafu yako ipo vizuri? Jipime mwenyewe kwa zoezi hili

    Bana pumzi kuanzia point A mpaka ufikie point B bila kuachia. Ukiweza zoezi hili basi jua mapafu yako yako vizuri
  16. JamiiForums Tanzania Wanawake; wafanyeni wanaume zenu wanukie vizuri

    Siku moja nilikuwa nimeuzuri kikao cha kiutendaji na wanachama wa taasisi A. Karibu yangu nilikuwa nimekaa na mbaba mmoja, ana kama miaka 45 hivi. Ni mtu mwenye nafasi nzuri tu, na kipato si kibaya, kwa sababu anaweza kuwa na 'net' ya m. 5 kwa mwezi; achilia mbali mambo mengine...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Vigezo vya kuchagua walimu kwenye ajira ni VIZURI MNO lakini havifuatwi KIKAMILIFU

    Ajira za walimu ndo vizo zimeshatoka tayari na tunaipongeza serikali kwa kutoa ajira hizo. Vigezo vilivyotumika NAKUBALIANA NAVYO ila kwa bahati mbaya sana HAVIFUATWI kwa ukamilifu wake na nitatoa mifano. Vigezo hivyo ni: 1. Mwaka wa kuhitimu ni kigezo cha kwanza. 2. Waliohitimu mwaka mmoja...
  18. JamiiForums Tanzania Sakata la Ngorongoro; Tusioelewa vizuri tueleweshwe

    Uelewa wangu mpaka sasa ni kwamba Ngorongoro ni hifadhi na eneo la urithi wa dunia. Ni eneo lililotengwa kwa sababu ya upekee wa binadamu ambao ni Masai wanaishi na wanyamapori uku wakifanya shughuli zao in a traditional way. Serikali inataka kuwaondoa Wamasai wote Ngorongoro kwa sababu ya...
  19. JamiiForums Tanzania Badala ya Vyeti kutofanya vizuri mtaani nimeanza na hii business (Party and rental Items )

    Habari ndugu zangu. Badala kukaa kipindi kirefu benchi na pirika kutafuta ajira Nimekuja na hii Idea (Party and rental Items ) maswala ya upambaji .Hii business nzuri sana na yenye faida nzuri kwa mwenye kukodisha vitu na yule mpambaji . Tuanze na mkodishaji vitu - huyu mtu mtaji wake ni...
  20. JamiiForums Tanzania Mwana JF, Binti Mdada Mzuri Mrembo, Juliana Shonza, leo ametokelezea sana na amechangia vizuri!. Mshuhudie kupitia Bunge Live!

    Wanabodi Baadhi ya wabunge wa Bunge la JMT ni active members wa JF, mmoja wao ni Mhe. Juliana Shonza Baada ya kuchangia hotuba ya bajeti ya TAMISEMI, leo tena Mhe. Juliana Shonza anachangia mjadala wa Bajeti Kuu ya Serikali. Kiukweli mwana JF huyu binti mdada ambaye pia ni mzuri na mrembo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…