Salaam wapendwa baada ya kipindi kirefu, bila kupost uzi leo imebidi tu nipost maana mambo yamenifika hapa.
Ni huyu mwanamana niliyezaa nae, baada ya kukaa kipindi kirefu katika uchumba tulibahatika kupata mtoto mmoja nikaona isiwe kesi wacha niweke ndani mali ila toka hapo imekua ni mapicha...
Nikiwa Rais watoto watafundishwa mashuleni kwamba solar system ina sayari nne na sio vinginevyo na itakuwa ndo mwisho wa nadharia kwamba solar system ina sayari tisa
Dunia haijawahi kuwa sehemu nzuri sana kwa Watawala Madhalimu.
Wote waliofanya vitendo vya kuua, kuteka, kuwalawiti na kupoteza raia walikuja kukutana na mkono wa Sheria. Wengine kwa Mahakama za ndani ya Nchi zao na Wengine kwa Mahakama za Nje za Kimataifa.
Hali iliyopo nchini Tanzania kwa...
Naangalia hapa Clouds TV mubashara wanaonesha birthday ya mtoto wa Omari na Paula (Amarah) naona dogo Paten anatumbuiza na kutunzwa minoti ya kwenda.
Kimasihara sana dogo naona ametoboa, atumie sasa upepo huu vizuri kutengeneza future vinginevyo atabaki kua story tu before hajamake chapaa ya...
Hili limenishtua sana. Tarehe ya fainali ya pili ya Simba vs RS Berkane ambayo timu inakabidhiwa kombe ni tarehe 25-05-2025.
Mimi siyo mnajimu ila hizi namba kama zinakujakuja hivi. Embu ngoja nizichimbe zaidi nione zina nini ndani yake. Kwa kuanzia, code ya Tanzania ni 255.
Utabiri wangu wa...
Sina mengi ya kusema ila sisi wakataa ndoa na kuoa wanaume ambao Age yetu ni level ya Mubabazi basi huku mtaani patashika ukiwa mtu wa gusa achia tumepachikwa Cheo Cha Ubahili.
Wewe huyo bahili ndiomana anatabia ya kumalizana yaani Gusa Achia, hataki kugandana huyo yeye anakupa chako usepe...
✅ Tanga Cement (TCCL) – Faida ya 93%
Hisa ya Tanga Cement iliongoza kwa ongezeko kubwa la thamani, ikipanda kwa asilimia 93 mwaka 2024.
✅ KCB Bank (KCB) – Faida ya 108.57%
Hisa ya KCB Bank, ambayo ni kampuni iliyoorodheshwa pia katika masoko mengine, iliongezeka kutoka TZS 350 hadi TZS 730...
Hili ni baada ya kuwafahamu kina amosi wengi sana nilio kutana nao katika maisha yangu ya kawaida , nadhan ndugu msomaji hebu na wewe wakumbuke kina amosi ulio kutana nao kwenye maisha yako kisha toa ushuhuda.
usinunue kipindi cha kiangazi kama unataka kiwanja tafuta msimu wa mvua eneo unaliona vizuri kama lina asili ya matope au kuna maji yanapita chini kwa chini ili kuepuka changamoto.Na bora matope kuliko ununue kiwanja sehemu ambayo ni wetland.kiangazi hutagundua .
KUTAKA KILA MTU AKUONGELEE VIZURI NI KUTAFUTA MSONGO WA MAWAZO KUWA MWEMA ILA USIJALI WATAVYOKUONGELEA
Zama zinaenda kasi na vifo vitokanavyo na matokeo ya msongo wa mawazo vikiongezeka ikiwemo kujiua au shinikizo la juu la damu hata magonjwa ya moyo.
Msongo wa mawazo hautoki mbinguni bali ni...
Ujenzi wa choo kizuri na salama kwa matumizi sio jambo linalozingatiwa sana hasa kwenye nyumba za kupanga hasa hizi za bei za kawaida (10K-150K). Unakuta nyumba nzuri na mazingira n mazuri ila chooni utadhani kulisahaulika wakafosi kujenga ili choo kiwepo.
Vyoo vingi ni vidogo sana, na namna...
Hamisa Mobetto ajitabiria kuwa baada ya miaka mitano atakuwa mwanamke wa ndoto yake, atakua kiuchumi, mwenye furaha na aliyefanikiwa
Baada ya kutoa kauli hiyo walimwengu wameenda mbali na kusema kuwa wanaelewa anachomaanisha, wanasema kuwa anamaanisha hivi sasa yupo kwenye shamba la AK baada ya...
Ni mzalendo wa kweli
Ni mpenda haki
Ni mcha Mungu wa kweli... Lakini ni mzee wa rula.. Hapendi konakona
Hangaikeni naye vizuri, atawafaeni huko mbeleni.. Nyie na wana wenu na vizazi vyenu
Ni mtu mwema mwenye kibali machoni pa Muumba wetu.. Hangaikeni naye vizuri ni kizalia cha Ibrahim Troule...
Waziri wa Mambo ya Nje wa Lebanon katika mahojiano na waandishi wa habari:
"Tuliweka wazi kuwa msaada na ujenzi mpya utakuja mara tu silaha zote nchini Lebanon zitakapokuwa mikononi mwa serikali."
Kimsingi anasema kwamba ujenzi upya wa kusini mwa Lebanon na Dahiya utaanza tu baada ya Hezbollah...
Wakuu hapa mtaani Kuna jamaa tunashindwa kumuelewa aisee kiufupi kama mnavyojua Ili mtu uishi vizuri ni lazima ufanye kazi Sasa huyu mshikaji yeye anashinda ndani asubuhi mpaka usiku akitoka kutembea siku Moja Moja na hapo ni misele tu kijiweni sio kwamba labda anaingia kazini ila anakula...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.