Echolima1
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 9,000
- 7,618
Waziri wa Mambo ya Nje wa Lebanon katika mahojiano na waandishi wa habari:
"Tuliweka wazi kuwa msaada na ujenzi mpya utakuja mara tu silaha zote nchini Lebanon zitakapokuwa mikononi mwa serikali."
Kimsingi anasema kwamba ujenzi upya wa kusini mwa Lebanon na Dahiya utaanza tu baada ya Hezbollah kupokonywa silaha. Hapo ndipo wataanza kujenga upya maeneo yaliyoharibiwa na majeshi ya Israel kipindi cha vita.