vizuri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania Karma ni ukweli na karma hulipa kwa haki jifunze kuishi vizuri na watu

    swala la karma ni kwamba Kila tendo tunalofanya lina matokeo yake. Ukimuumiza mtu leo, huenda ukasahau, lakini ulimwengu hautasahau. Maumivu uliyosababisha yanaweza kurudi kwako kwa njia usiyoitarajia—labda kupitia mtu mwingine au wakati usioutarajia. aise Maisha ni duara, na unachoweka...
  2. Uwesutanzania

    JamiiForums Tanzania Ukiiangalia vizuri dunia ni kama imesimama

    Ni mimi wako UWESUTANZANIA ✍️ Naam imesimama, Namaanisha imesimama kiteknolojia na ugunduzi na utatuzi wa changamoto za binaadam za kila siku. Ukisoma vitabu Dunia wakati inaumbwa haikuwa na (magari, pikipiki, saa, simu, radio, tv, engine, cherehani, nk. Bali aliumbwa adam na hakupewa...
  3. Technophilic Pool

    JamiiForums Tanzania Blog /Website 10 Bora zinazolipwa vizuri Tanzania

    Hizi ni Blog/Website zinazolipwa vizuri tanzania 1.Mabumbe .com -Milion 100 /mwezi 2.Millard Ayo-million 88/mwezi 3.The citizen-Million 75/mwezi 4.Ajira yako- Milion 43/mwezi 5.Kupatana -Milion 39/Mwezi 6. 7. 8. 9. 10. Itaendelea
  4. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania FT: Simba SC 2-2 Azam FC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa | 24 Februari, 2025

    Simba SC VS Azam FC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa | 24 Februari, 2025 | Saa 1:00 Usiku. Wafungaji wa magoli Simba > Elie Mpanzu dakika, 25 Abdulrazak Hamza dakika, 76 Azam FC > Gibril Sillah. Dakika, 1 Zidane Sereri. Dakika,88
  5. Pdidy

    JamiiForums Tanzania BAADA YA MAKELELE TFF /KAMATI YA WAAMUZI KUMBE MNA MAREFA WENYE KUCHEZESHA VIZURI SHIDA ILIKUWA NINI;;;;???

    HII NA AIBU KWA MPIRA WA TANZANIA YAAN MPAKA WANANCHI NA WAANDISHI WA HABARI WAPIGE KELELE WAAMUZI WABOVU WANAPOKEA RUSHWA NDIO MNAWEKA REFA MWENYE KIWANGO CHA JUU KWANI ALIKUWA WAPI?? SITASHANGAA DECEMBER NIKISIKIA LIGI YENU IMEFIKIA NAMBA 1 5. MSIPOBADILIKA..MSISUBIRI KILA SIKU IWE AIBU...
  6. Upekuzi101

    JamiiForums Tanzania Professor Kabudi hujafanya home work yako vizuri, singeli kweli?

    Ni kweli Tanzania tunahaja ya kujitanabaisha kimuziki na kuwafanya watu wajue utambulisho wa muziki wa Tanzania. Kuna mirindimo inapaswa kuwa utambulisho wa muziki wetu ila kiukweli hapa kwa singeli haujawaza sawa sawa. Mziki inapaswa kutambuliwa ni muziki wenye mirindimo na midundo yenye...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Taasisi Zenye Idadi Kubwa ya Wanawake Zinafanya Vizuri sana na Kufanikiwa.

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge. Amesema ya Kuwa...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Kwa singeli Kabudi unatukosea Watanzania huujui vizuri huo mziki. Bongo Fleva ndio mziki rasmi unaoitambulisha Tanzania

    Nimeona video clip ambayo muheshimiwa waziri Kabudi anazungumza nia ya wizara yake kusimamia mchakato wa kuufanya mziki wa SINGELI kuwa mziki rasmi wa kuitambulisha Tanzania jambo ambalo sio sahihi kwa sababu zifuatazo: Kwanza kabisa tayari Tanzania ina mziki unaoitwa Bongo fleva...
  9. kipara kipya

    JamiiForums Tanzania Ukiliangalia vizuri na umakini goli walilofunga KMC utagundua Diarra ni shati!

    Diarra ni tapeli wa mpira mjanja mjanja anakwenda kuaibika mwisho wake umefika...ndio maana yule chikola alikuwa anachungulia mbali goli walilofunga KMC FC hata mtu mwenye chongo au aliyefungwa kitambaa cha macho hafungwi jamaa ni tapeli sana tuanze kumuhesabia siku jamaa wameweka shati golini...
  10. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Ajali za Barabarani zinaweza kuwa chanzo kizuri sana cha Mapato Serikalini (Sheria ya Ajali itungwe vizuri)

    Naomba serikali ifanye jambo hapa. Ajali huwa hazitokei bahati mbaya. Ajali zinatokana na uzembe wa madereva na kutofuata sheria za usalama barabarani. REJEA ANDIKO HILI...
  11. F

    JamiiForums Tanzania Kanisa Katoliki halipaswi kufanya mambo ambayo wengine wanaweza kuyafanya vizuri

    Ni wakati sasa wa Kanisa Katoliki kwenda level nyingine na kuachana na kufanya mambo ambayo kila mtu anaweza kuyafanya vizuri. Kanisa linapaswa kujikita kutoa special education na sio tena universal education ambayo sasa inatolewa na taasisi nyingi tu nchini. Kwa kuwa Kanisa lengo lake sio...
  12. Sister Abigail

    JamiiForums Tanzania Hivi tatizo la kutosikia vizuri ni tatizo kubwa zaidi duniani?

    Salaam, Imenibidi niulize Kwa maana Hali Halisi niionavyo na nikiwa kama mhanga mmojawapo inanifkirisha sana. Nasema hivi sababu Kuna baadhi ya watu jinsi wanavyotendea wenye matatizo ya usikivu ni kama kuwafanya vituko. Hugeuza tatizo lao kuwa utambulisho badala ya kumsaidia.unakuta uko eneo...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Kusitisha kwa USAID tuamke na kutumia rasilimali za nchi vizuri

    Wakati Trump amesitisha kugharamia shughuli nyingi ambazo zilikuwa zinafanywa na USAID ni wakati wa kujiuliza kwa umakini kitu gani ni muhimu. Hii pesa ilikuwa inasaidia kutoa dawa wa wagojwa wa ukimwi na elimu huko kusini na kusaidia lishe kwa zile kaya ambazo watoto wana dalili za mtapia mlo...
  14. CARIFONIA

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume hamuwafahamu vizuri wanawake

    Wanaume 🥴 Kumwingilia mwanamke siyo tu kuweka uume wako...✍🏾 Kuingiliana ni zaidi ya ngono na kumaliza. Kwa hakika, hata mbwa wanafanya vizuri zaidi. Kuingiliana ni kuhusu kumiliki nafsi yake. Ili kumiliki nafsi yake, lazima ushinde tabaka lake la KISIA. Tabaka la kisia ni lango la...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kuna shule za serikali zinaperform vizuri sana, hebu cheki hii

    Hello JF, Hi shule ya government, wamefanya vizuri sana na huwa wanafanya vizuri Sana Imagine mwanao amepangiwa shule hii
  16. Mpui Lyazumbi

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hilo limekamilika, jipangeni vizuri 2030

    Ni Rai yangu. Maana utamaduni umekuwa hivyo kwa muda mrefu na taratibu taratibu inatakiwa kuuelewa na nadhani ni vema tukazoea. Heka heka zipo na zitakuwepo lakini hiyo ndiyo hali halisi. So, kwa ujumla tukiwa wazima wa afya, basi tukutane 2030.
  17. Gabeji

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 January Makamba mipango yako ya urais Samia kaivuruga leo, jipange vizuri pamoja na timu yako 2030

    Wewe una watu wengi sana nyuma yako, kaa vizuri Na kikwete, kinana, samia, husein, wasira, Rostam I'li uweze kutimiza ndoto zako 2030.
  18. Fufua Tumaini Jipya

    JamiiForums Tanzania Binti anatafuta kazi , Elimu yake form four na anajua kutumia computer vizuri sana.

    Habari ya uzima. Yupo binti anatafuta kazi , Elimu yake kidato cha nne, Ila anajua kutumia computer vizuri. Kazi yoyote anaweza kufanya mfano dukani , kwenye taasisi Kama office attendant, n.k Angependa alipwe 200-250K Sifa zake. Umri 24 Mchapaka Kazi Anafundishika. Mtu wa kujituma na kutoa...
  19. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Asante Mbowe, umeongea hoja ambayo nilii-post hapa JF siku kadhaa zilizopita. Wewe umeiweka vizuri zaidi kuliko mimi

    Niliandika juzi nikisema wanaosema Mbowe aachie uongozi Kwa sababu eti ameongoza Kwa miaka 21 wana hoja ya kitoto Sana ila ninewasamehe Kwa sababu najua wasomi wengi wa Tanzania huenda shuleni kukariri madesa na wakisha graduate hawasomi Tena vitabu. Wakati wasomi wa kitanzania wanamuona MH...
  20. Now and then

    JamiiForums Tanzania Tiba ya mkojo (urine therapy) hii tiba inafanya kazi vizuri na kwa ufanisi

    Habari wakuu . Mimi nimekuwa nikusumbuliwa na matatizo ya kuumwa na kichwa aina ya kipanda uso. Nimetumia Dawa za kutuliza maumivu Kwa muda mrefu Sana , Ila nimekuja kupona Kwa kutumia tiba moja inaitwa "Urine therapy). Tiba hii nimetumia siku tano Kwa kufanya hivi. Kunywa mkojo robo...
Back
Top Bottom