Kwa nini makondakta wengine wanashindwa kuvaa vizuri?

Kwa nini makondakta wengine wanashindwa kuvaa vizuri?

Mawele

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2023
Posts
925
Reaction score
3,226
Eti wakuu, mnamuona huyu konda? Kumbe inawezekana tu wakavaa vizuri ila huwa wanavaa kama vile hawajitaki, unakuta hata wakivaa zile sare zao wanavaa ilmradi tu.


 
Wengi ni "deiwaka". Unakuta sare zio zake. Zimeshavaliwa na watu hamsini. So anaona ni balaa na yeye kuzivaa vizuri
 
Back
Top Bottom