Watu wengi hudhani huduma ya kwanza ni kazi ya madaktari pekee. Lakini ukweli ni kwamba dakika za kwanza kabla ya hospitali kufika zinaweza kuamua maisha ya mtu.
Fikiria hali hizi:
🔥 Mtoto ameungua maji moto
😮💨 Mtu amekabwa na chakula
🩸 Ajali imesababisha kutokwa damu
⚡ Mtu amepigwa na umeme
🧠...
Hapa Afrika Mashariki watu wengi uangalia skendo na vitu visivyokuwa na umuhimu hili kumuweka mtu pale kileleni.
Diamond Platinumz ni msanii mkubwa tu Afrika Mashariki, lakini soko la dunia la muziki limekuwa likimsumbua sana na ujikuta akitumia nguvu sana kufanya collaboration na A-list wa...
Najua huku kuna watu wengi, wanapenda kunukia vizuri..
Sasa hapa tutofautishe brand names na manukato mazuri ya bei ya kiTanzania..
Kama unataka brand kubwa kubwa wewe inbox unapata mzigo wako saafi kamili..
Lakini wale ndugu zangu mnaopenda uturi kama mimi
Njpe jina nikupe bei.. nauza Namba...
Pamoja na wote wanasiasa wanajaribu kufuata trend ya wananchi. Kwasasa tred ipo kwenye kudai haki, kupinga sheria mbovu, kupinga utekaji, undugu, u bara na u zanzibari, kupinga rushwa na kutaka haki kwa kila mtu bila kujali chama. Sasa kwa misingi hiyo hata ndani ya CCM kuna wengi hawapendi...
Moja ya sifa kubwa ya mwanaume ni kunyandua vizuri.
Hivyo wanaume wenzangu jitahidini kujifunza kunyandua vizuri,upatapo mwanamke.Kwenye kunyandua usiwe na huruma, tumia nguvu,staili na ufundi
Walimu wengi wanaishi maisha magumu sana.
Nyumba za shida na mazingira ya kufundishia ya shida na tabu tupu.
Inakuwaje chama kupewa uraia imekuwa kipaumbele kuliko maendeleo ya walimu?
Mbunge wa Kigoma mjini akifanya mahojiano na Chief Odemba amesema “Bado kuna baadhi ya Sehemu hatujafanya Vizuri, Viongozi na wanachama wa CCM tukubali pale ambapo hatujafanya Vizuri ili tutibu huo ugonjwa, Lakini kukataa tu kwamba tumeshatisha sana, tumetisha kwenye nini?”
Shikamoon wakubwa
Wadogo zangu hamjambo!
Jamani si kila mtu ana njaa,au ana shida,si kila mwanamke anajiuza,kuuza mwili ni Aina na hulka ya mtu tu Marry Mimi siwezi ,napenda kuwa na mwanaume mmoja na kutulia naye, bahati mbaya hawapo pia unaishia kuumizwa na kuchukia mahusiano.
Tuachane na...
Zamani ilikuwa ngumu sana kusikia habari za sisi wanaume kuitwa viba100. Kwa nini? Sababu wanawake wengi walitunza Jagina zao. Kwa sasa unakuta mwanamke humo ndani anaingiza tango, anaingiza mhogo n.k
Bado hajaweka vipipi utamu, hajaweka magadi n.k hapo Jagina itakuwa the same kweli? Unakuta...
Kuna huyu kijana anaitwa Gasper Comic kwa kweli yuko vizuri sana lakini ni kama jamii haimuoni hivi
Most of the times anazungumzia masuala Tanzania kwa kutumia jina la Malawi
Mwamba yuko vizuri sana lakini jamii bado haijamzingatia
KESHO SAA 10 JIONI HAKIKISHA UNAFIKA KWENYE SHEREHE / KIKAO CHA xxxxxx. USIKOSE !
Ni message ambayo huwa inapokelewa vizuri sana na watu wa kawaida wakiwaza kukutana na watu wengi pamoja na vyakula lakini kwa Introvert huwa wanachukia sana 😂😂
Wadau leo niko very stressed.
Nimeamua nianze kula konyagi mapema tu maana kazi siipendi tena.
Naenda kazini nikiwa sina raha. Mkuu wa shule anafuatilia maisha yangu.
Kijibiashara cha kuuza kangala hakilipi zaidi ya kupata hela ya kula.
Rafiki zangu wengi wana maisha mazuri na wametoboa...
Mimi ni kijana ninayeomba ajira zilitolewa TAKUKURU lakini kuna sharti la Cheti cha Darasa la Saba, ukweli mtupu kuwa tuliohitimu Mwaka 2015 Darasa la Saba hatukupata vyeti hadi sasa havipo.
Hii inatia ugumu kupata nafasi kwa kigezo hiki kwani miaka mingine wana vyeti, hii itatukosesha nafasi...
Anonymous (c258)
Thread
ajira
cheti
darasa
darasa la 7
kigezo
takukuru
vizuri
Daa vita vinaitaji akiri, kwenye any combat operation ata kama una nguvu utaumia tu although utashinda
Haina mashaka kwamba America ni dude kubwa, mataifa ya NATO yalikuwa yanakuja haraka yakiitwa ila Kwa Iran yameogopa kuungana na marekani.
Mwaka 2011, NATO Hawa Hawa walivamia Libya na...
Serikali hasa TAMISEMI watoe tu uhamisho hata kama hajamaliza miaka mitatu, haswa kwa hawa watumishi wapya!
Kuna baadhi ya wilaya za pembezoni kama mkoa halmashauri zao, watumishi wapya wanapokuja hawapokelewi vizuri vituo vyao vya kazi.
Watumishi wapya wanapoleta chachu nzuri ya maendeleo...
Anonymous
Thread
ajira
ajira mpya
kazi
mpya
tamisemi
vituo
vituo vya kazi
vizuri
waajiriwa
Taarifa zinazosambaa kwamba Marekani imekubali kuilipa Iran dola bilioni 6 ni propaganda za zinazorejelea tukio la zamani lililotokea Septemba 2023 kipindi Biden akiwa Rais wa Marekani.
Dola Bilioni 6 zilikuwa sehemu ya makubaliano ya kubadilishana na wafungwa, ambapo Marekani ilitoa ruhusa...
Ktk akili zao wanaamini nchi za magharibi zitakuwa na nguvu mpaka dunia inaisha.
Wamelishwa aina flani ya msimamo na propaganda
Hawajui historia vizuri. Wamezaliwa wameona basi akili zao zinaishia hapo
Hivi wakuu mnaionaje Marekani
Achana na maisha expensive, gharama kubwa za matibabu, mauaji mengi, school shootings, extreme sprawling cities and everything
Ukifikiria kiundani Marekani ina success nyingi sana kwa kweli
Mfano kwenye
1. Entertainment
Marekani mziki wao ni always Global hits...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.