viwanja

  1. Ziroseventytwo

    JamiiForums Tanzania Kuna dalili kubwa sana za wagonjwa wengi wa Corona hapa Ifakara kata ya viwanja sitini kitongoji cha Minarani

    Hatua za haraka zichukuliwe na viongozi na mamlaka zinazohusika na afya. Kuna idadi kubwa ya watu wenye mafua makali na vikohozi vikali. Wengine wakidai kusikia maumivu maeneo ya koo. Hiyo hali mimi nilikutana nayo. Kichwa kuuma, maumivu kwenye koo ukimeza mate au chakula, mafua makali na...
  2. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania Wananchi tumeanza kumkumbuka Magufuli. Wananchi wanatapeliwa viwanja na maeneo yao kwa watu wanaojiita Wawekezaji

    Habari wadau! Hali sasa imekuwa mbaya sana, wananchi wamekuwa wakitapeliwa maeneo yao kupitia hawa wawekezaji ambao kipindi cha JK walisumbua sana lakini alipoingia madarakani Magufuli walijificha kama hawapo na wakatelekeza maeneo yao kama hawayajui. Ndio Rais Samia Hassan ameruhusu...
  3. Q

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Beach Plot Nunge Bagamoyo Mjini

    Beach plot inauzwa Nunge Beach Bagamoyo Mjini. Nunge Beach ni maeneo ya ilipokuwa Paradise Hotel and Resort. Ni eneo linalofaa kujenga Hotel za kitalii. Size ya kiwanja ni 11 acres. Bei ni $2M. Serious customers wawasiliane nami kupitia 0687320462.
  4. Ramon Abbas

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Nauza viwanja viwili, kimoja kipo Mkuranga Pwani na kingine kipo Madale Dar es Salaam

    Mkuranga: kiwanja square metre 908 kipo km 6 kutoka kongowe eneo lilishajengeka sana bei: 6 million Ramani yake hii hapa kiwanja namba 114
  5. chiembe

    JamiiForums Tanzania Viwanja vya maonyesho ya biashara sabasaba vya Mwalimu Nyerere, visiwekewe sanamu la Magufuli, ni kuchanganya Magufuli na Nyerere

    Viwanja vinaitwa vya mwalimu Nyerere, kwa nini unaweka sanamu Magufuli. Magufuli atafutiwe viwanja vingine huko Nanenane Mbeya au Dodoma. Hivyo viwanja vya sabasaba vibaki kwa jina la Kambarage. Viwanja hivyo ni vya wafanyabiashara, hawa watu wameumizwa sana na Magufuli , sanamu hili kuwekwa...
  6. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Watumishi wote wa Afya katika Mamlaka za viwanja vya ndege kujilinda wenyewe kwa kuchukua tahadhari dhidi ya maambukizi ya Corona

    Mganga Mkuu wa Serikali Dkt. Aifello Sichalwe amewaagiza Watumishi wote wa Afya katika Mamlaka za viwanja vya ndege kujilinda wenyewe kwa kuchukua tahadhari dhidi ya maambukizi ya ugonjwa wa Corona kwa kuvaa barakoa, kunawa mikono mara kwa mara kwa sabuni na maji safi tiririka. Dkt. Sichalwe...
  7. GiftedMan94

    JamiiForums Tanzania Tujuane viwanja ambavyo tupo sasa hivi

    Samakisamaki Masaki "Teach me how to dougie"
  8. Website Tanzania

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Tunauza Vitu mbalimbali (Magari, Nyumba, Mashamba na Viwanja)

    Toyota Rav4 Old Model Model 1998 Engine 3S Cc 1990 Kilometer 82095 Colour Silver New Tyres & Rims Price 14.5ML simu 0677 818283
  9. W

    JamiiForums Tanzania Safari yangu Jijini Arusha na niliyoyakuta

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania - Kazi iendelee. Ilikuwa ni furaha kutoka Nyanda za Juu Kusini na kuja Ukanda huu wa Kaskazini mwa Tanzania. Jiji maarufu kabisa kwa harakati za utalii. Yafuatayo ndiyo niliyoyaona na mengine yamenishangaza. 1. Covid 19 imeutesa sana huu...
  10. Lord OSAGYEFO

    JamiiForums Tanzania Manispaa Sumbawanga lipeni fidia wenye mashamba viwanja mliviuza msiwalazimishe wamiliki kulipa fidia

    Mh. Waziri wa ardhi nakuomba ufuatilie mgogoro wa ardhi Kizwite manispaa ya Sumbawanga unaosababishwa na maafisa ardhi wala rushwa kwa kushirikiana na matapeli wa viwanja mimi ni mmoja wa wamiliki wa hivyo viwanja nilikinunua manispaa katika mradi wao wa upimaji viwanja. Mwaka 2004 Manispaa...
  11. peterlvitalis92

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Viwanja vinauzwa Mbezi Luois

    Viwanja vinauzwa vipo Mbezi Luois Cha kwanza kinaukubwa wa square mitre 1,154 Bei milioni 37,000,000/= Cha pili square mitre 900 Bei milioni 25,000,000/= Cha tatu square mitre 850 Bei milioni 17,000,000/= Kwa Mawasiliano piga sim 0713660178
  12. Northern Lights

    JamiiForums Tanzania Natafuta kiwanja/ Sehem nzuri ya kuishi/ Kujenga Dar es Salaam

    Wenyeji na wakazi wa jiji la DSM, kwa mtu mwenye kipato cha kati ni maeneo gani kwa Dsm ambayo yametulia (siyo uswahili sana) naweza kupata kiwanja walau cha sqm 800 kwa bei kati ya 10m-15m. Natafuta kiwanja lakini sio mwenyeji sana na gharama za kupanga kwenye hili jiji zipo juu mno
  13. IBRA wa PILI

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba: Timu bora Yanga haipati matokeo kwenye viwanja vibovu

    Viwanja vyetu vingi vya michezo hapa Nchini ni vibovu sana labda ukiacha tu Majaliwa Stadium iliyoko kule Ruangwa na ubovu wa viwanjwa hivyo unasababisha Timu bora kama Yanga inashindwa kupata matokeo inapokwenda mikoani kule” “Napendekeza kusamehe kodi ya ongezeko la thamani kwenye nyasi...
  14. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Serikali kuwapatia viwanja Polisi ili wasifedheheke wakistaafu

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. George Simbachawene, amesema kuwa wizara hiyo kwa kushirikiana na Wizara ya Ardhi watajadiliana na kuangalia namna nzuri ya kuweza kuwapatia viwanja askari polisi ili kuwaepusha na fedheha wale wanaostaafu na kujikuta hawana kiwanja wala nyumba. Waziri wa...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Mbunge Mavunde aanza kuboresha miundombinu ya Viwanja vya Michezo vya Shule za Msingi na Sekondari Dodoma Jiji

    MBUNGE MAVUNDE AANZA KUBORESHA MIUNDOMBINU YA VIWANJA VYA MICHEZO VYA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI DODOMA JIJI. Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini Mhe. Anthony Mavunde ameanza kuboresha miundombinu ya viwanja vya michezo katika shule za Msingi na Sekondari za Jiji la Dodoma kwa kulenga la kukuza...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Waziri Lukuvi njoo Tanga utatue kero za Urasimishaji mashamba na viwanja unaofanywa na H/ya wilaya ya Muheza na Mkandarasi aitwaye MAKAZI SOLUTIONS

    Huu ni mradi wa urasimishaji wa mashamba na viwanja katika Wilaya ya Muheza. Mkandarasi niMakazi Solutions. Ni katika yaliyokuwa mashamba ya Geiglizi na wawekezaji wengine wa Kizungu tanga ukoloni. Kero baadhi 1. Mradi kutokamilika 2. Ahadi za kutoa hati zisizotekelewa 3. Malipo yasiyo na...
  17. Latifasaid

    JamiiForums Tanzania Kwa mahitaji ya viwanja maeneo ya kigamboni, Bagamoyo, Dodoma unapata kwa bei poa. Malipo ni kwa awamu ndani ya mwaka na ukitaka kulipa kwa mkupuo pia

    Habari zenu ndugu jamaa na marafiki. Huu ni wakati sahihi wa kumiliki kiwanja chako kwa bei nafuu pia ulipaji wake ni wa awamu yaani kidogo kidogo. Viwanja vipo karibu na barabarani na vishapimwa kabisa. Kampuni yetu ipo tayari kukuhufumia ndugu mteja. Karibu tukuhudumie. Kwa mawasiliano...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Tunauza Viwanja na Mashamba sehemu mbalimbali

    Property investors company inautangazia umma juu ya uuzaji wa viwanja kwa bei ya offa maeneo ya 1. Madale - 28,000/= kwa sqm 2. Bunju - 20,000/= kwa sqm 3. Vikawe - 8000/= kwa sqm 4. Mwasonga - 8000/= kwa sqm 5. Vigwaza (mashamba) - 2.5M/= kwa sqm >Viwanja vinaanzia 500sqm na kuendelea >Maeneo...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Nataka kununua kiwanja, ila kwanini viwanja vya Chanika ni bei rahisi hivyo?

    Wakuu nimejipanga na bajeti ya milioni 5 hadi 8 kwa ajili ya kununua kiwanja, maeneo ya DSM au Pwani kulingana na upatikanaji utakavyokuwa, bahati nzuri mimi nafanyia kazi nyumbani so hata eneo likiwa nje ya mji halitaniletea shida endapo litakuwa na intaneti Baada ya kufanya utafiti wangu...
  20. Fatma-Zehra

    JamiiForums Tanzania Hili la Viwanja na NIDA lisisubiri hadi Julai 2021

    Kama nilichokisikia ni kweli, naipongeza serikali kwa kubuni njia nzuri ya kupambana na ufisadi kwenye sector ya ardhi. Lukuvi anasema ataunganisha namba ya mmiliki ya NIDA na taarifa za kiwanja/viwanja anavyomiliki. Niliwahi kushauri kwenye thread moja iliyohusu kuondoa na ku-descourage...
Back
Top Bottom