Kuweka record sawa!
Vile viwanja vilivyokuwa haviuziki kwa sababu ya migogoro utawala wa jpm, sasa vimeanza kuwa dili tena awamu ya sita!.
Double allocation imeanza kurudi tena!
Nashauri Inchi yetu ipitishe sheria ya kunyonga watumishi wa umma/hususani Ardhi wanaosaini na kuidhisha hati Mara...
Kiwanja cha kwanza kipo mnada mpya barabara ya Singida Road kina ukubwa wa 39*36 hiki kinataka milioni 22mil kimepimwa hati bado.
______
Update
Njoo ulipie 15mil badala ya 22mil
Picha yake
Kiwanja cha pili kipo Vikonje baada ya kutoka Ihumwa barabara ya Chamwino kina ukubwa wa 40*40 hiki...
Hatua za haraka zichukuliwe na viongozi na mamlaka zinazohusika na afya. Kuna idadi kubwa ya watu wenye mafua makali na vikohozi vikali. Wengine wakidai kusikia maumivu maeneo ya koo.
Hiyo hali mimi nilikutana nayo. Kichwa kuuma, maumivu kwenye koo ukimeza mate au chakula, mafua makali na...
Habari wadau!
Hali sasa imekuwa mbaya sana, wananchi wamekuwa wakitapeliwa maeneo yao kupitia hawa wawekezaji ambao kipindi cha JK walisumbua sana lakini alipoingia madarakani Magufuli walijificha kama hawapo na wakatelekeza maeneo yao kama hawayajui.
Ndio Rais Samia Hassan ameruhusu...
Beach plot inauzwa Nunge Beach Bagamoyo Mjini. Nunge Beach ni maeneo ya ilipokuwa Paradise Hotel and Resort. Ni eneo linalofaa kujenga Hotel za kitalii. Size ya kiwanja ni 11 acres. Bei ni $2M. Serious customers wawasiliane nami kupitia 0687320462.
Viwanja vinaitwa vya mwalimu Nyerere, kwa nini unaweka sanamu Magufuli. Magufuli atafutiwe viwanja vingine huko Nanenane Mbeya au Dodoma.
Hivyo viwanja vya sabasaba vibaki kwa jina la Kambarage.
Viwanja hivyo ni vya wafanyabiashara, hawa watu wameumizwa sana na Magufuli , sanamu hili kuwekwa...
Mganga Mkuu wa Serikali Dkt. Aifello Sichalwe amewaagiza Watumishi wote wa Afya katika Mamlaka za viwanja vya ndege kujilinda wenyewe kwa kuchukua tahadhari dhidi ya maambukizi ya ugonjwa wa Corona kwa kuvaa barakoa, kunawa mikono mara kwa mara kwa sabuni na maji safi tiririka.
Dkt. Sichalwe...
apartment
bagamoyo
bei
biashara
eneo
fuso
gari
heka
inauzwa
ist
kawawa
kibamba
kibiashara
kilimanjaro
kinauzwa
kiwanja
kiwanja kinauzwa
kuagiza
kuagiza gari
madale
magari
mbezi
mbezi beach
mkopo
n.k
nauza
nyumba
nyumba kali
nyumba ya kupangisha
plot
shamba
subaru
toyota
uwekezaji
viwanja
yanauzwa
zinauzwa
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania - Kazi iendelee.
Ilikuwa ni furaha kutoka Nyanda za Juu Kusini na kuja Ukanda huu wa Kaskazini mwa Tanzania.
Jiji maarufu kabisa kwa harakati za utalii.
Yafuatayo ndiyo niliyoyaona na mengine yamenishangaza.
1. Covid 19 imeutesa sana huu...
Mh. Waziri wa ardhi nakuomba ufuatilie mgogoro wa ardhi Kizwite manispaa ya Sumbawanga unaosababishwa na maafisa ardhi wala rushwa kwa kushirikiana na matapeli wa viwanja mimi ni mmoja wa wamiliki wa hivyo viwanja nilikinunua manispaa katika mradi wao wa upimaji viwanja.
Mwaka 2004 Manispaa...
Viwanja vinauzwa vipo Mbezi Luois
Cha kwanza kinaukubwa wa square mitre 1,154
Bei milioni 37,000,000/=
Cha pili square mitre 900
Bei milioni 25,000,000/=
Cha tatu square mitre 850
Bei milioni 17,000,000/=
Kwa Mawasiliano piga sim 0713660178
Wenyeji na wakazi wa jiji la DSM, kwa mtu mwenye kipato cha kati ni maeneo gani kwa Dsm ambayo yametulia (siyo uswahili sana) naweza kupata kiwanja walau cha sqm 800 kwa bei kati ya 10m-15m.
Natafuta kiwanja lakini sio mwenyeji sana na gharama za kupanga kwenye hili jiji zipo juu mno
Viwanja vyetu vingi vya michezo hapa Nchini ni vibovu sana labda ukiacha tu Majaliwa Stadium iliyoko kule Ruangwa na ubovu wa viwanjwa hivyo unasababisha Timu bora kama Yanga inashindwa kupata matokeo inapokwenda mikoani kule”
“Napendekeza kusamehe kodi ya ongezeko la thamani kwenye nyasi...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. George Simbachawene, amesema kuwa wizara hiyo kwa kushirikiana na Wizara ya Ardhi watajadiliana na kuangalia namna nzuri ya kuweza kuwapatia viwanja askari polisi ili kuwaepusha na fedheha wale wanaostaafu na kujikuta hawana kiwanja wala nyumba.
Waziri wa...
MBUNGE MAVUNDE AANZA KUBORESHA MIUNDOMBINU YA VIWANJA VYA MICHEZO VYA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI DODOMA JIJI.
Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini Mhe. Anthony Mavunde ameanza kuboresha miundombinu ya viwanja vya michezo katika shule za Msingi na Sekondari za Jiji la Dodoma kwa kulenga la kukuza...
Huu ni mradi wa urasimishaji wa mashamba na viwanja katika Wilaya ya Muheza. Mkandarasi niMakazi Solutions. Ni katika yaliyokuwa mashamba ya Geiglizi na wawekezaji wengine wa Kizungu tanga ukoloni.
Kero baadhi
1. Mradi kutokamilika
2. Ahadi za kutoa hati zisizotekelewa
3. Malipo yasiyo na...
Habari zenu ndugu jamaa na marafiki.
Huu ni wakati sahihi wa kumiliki kiwanja chako kwa bei nafuu pia ulipaji wake ni wa awamu yaani kidogo kidogo.
Viwanja vipo karibu na barabarani na vishapimwa kabisa.
Kampuni yetu ipo tayari kukuhufumia ndugu mteja. Karibu tukuhudumie.
Kwa mawasiliano...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.