viwanda

  1. F

    JamiiForums Tanzania Tanzania haiwezi kuendelea kwa sababu Makanisa na Misikiti ni Mingi sana kuliko idadi ya Viwanda, Hospital na Shule

    Huu ni ukweli mchungu. Hakuna Taifa lililoendelea kwa kuweka mbele dini kuliko viwanda. Hata Saudi arabia wanaendelea sababu dini kwao ni biashara inayochangia pato lao la taifa matrilioni ya hela. Wanafurahi sana kuona watu wengi wanaenda kuhijj kwao. Hela za visa, hela za hotel kule...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kahama na Makambako hii miji iandaliwe kuwa miji ya viwanda na biashara kwani imeanza kujipambanua kama Kwala Pwani

    Hii itasaidia kupunguza msongamano dsm kwa sababu mikoa husika imesha weka dhamira ya miji hii kuwa na bandari kavu. 2 miji hii imezungukwa na maeneo yenye uzalishaji wa mazao ya chakula ya kutosha ambayo pia ni malighafi viwandani, 3 Nimiji iliyo kaa kimkakati kutokana na Geographical position...
  3. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Waziri Dkt. Kijaji: Serikali Kuendelea Kulinda Viwanda Nchini

    Waziri Dkt. Kijaji: Serikali Kuendelea Kulinda Viwanda Nchini Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt. Ashatu Kijaji Mb), amesema Dhamira ya Serikali ni kuhakikisha viwanda vya wawekezaji wa ndani na nje vinalindwa ili viweze kuzalisha ajira kwa Watanzania. Dkt. Kijaji ameyasema hayo Desemba 23...
  4. Isiaka 98

    JamiiForums Tanzania Suluhisho Kubwa za Kemikali kwa Viwanda na Migodi

    Kuwezesha Ukuaji na Ufanisi: Suluhisho Bora za Kemikali na Huduma Zetu kutoka ISMANI COMPANY LTD! Tunatoa kemikali za hali ya juu kwa bei ya jumla na rejareja, zilizotengenezwa kwa viwango vya kimataifa. Tumejitolea kuleta ubora, usalama, na ufanisi katika shughuli zako za viwandani na...
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania From the Horse's Mouth: Mabwawa yote ya Umeme hayajajaa Maji na muda wowote Viwanda vifafunga Uzalishaji

    Leo hii GENTAMYCINE nimekutana na Mmoja wa Watu kutoka TANESCO na waliokuwa katika Team Maalum ya kwenda Kugagua Mabwawa yote ya Mtera, Kidatu na Kihansi ambao wamerejea Dar es Salaam Siku ya Juzi ( Alhamisi ) Alichoniambia Mtendaji huyo Mwandamizi kutoka TANESCO ni kwamba pamoja na Mvua...
  6. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Bashungwa Awapa Nguvu Wawekezaji wa Viwanda Karagwe

    BASHUNGWA AWAPA NGUVU WAWEKEZAJI WA VIWANDA KARAGWE. Waziri wa Ujenzi na Mbunge wa Jimbo la Karagwe, Innocent Bashungwa amewahakikishia Wawekezaji wa Viwanda katika Wilaya Karagwe mkoani Kagera kuwa Serikali itaendelea kuwaunga mkono kwa kuendelea kuweka mazingira wezeshi kwa Wawekezaji hao...
  7. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania IT, Jr. Lead at Natural Extracts Industries November, 2023

    Position: IT, Jr. Lead Reports to: Vice President of Operations (VPO) Line Reports: Contracted IT Team Natural Extracts Industries Ltd (NEI) is pioneering the sustainable, natural flavour manufacturing industry in Tanzania for global export, starting with vanilla and other flavour extracts...
  8. F

    JamiiForums Tanzania CHINA wana viwanda vya kumwaga, wanatengeneza kila kitu ila bado Graduates hawapati ajira. Elimu ya chuo kikuu ni SCAM, degree hazina dili

    habari wadau. nimeona BBC article kuhusu soko la ajira la china. nimejifunza zama hizi kumsomesha mtoto chuo kikuu tena digrii zisizo za skills based, kama ufundi ni kuchezea hela. kuna siku mwanao atakulaumu kwa mnaojua kiingereza ama kizungu. mjisomee na nyinyi With Graduate Jobs Scarce...
  9. L

    JamiiForums Tanzania China yaunga mkono mchakato wa maendeleo ya viwanda barani Afrika

    Tarehe 20 Novemba ni Siku ya Maendeleo ya Viwanda Barani Afrika. Ikiwa ni sehemu muhimu ya ushirikiano wa kirafiki kati yake na Afrika, China imewajibika kuzisaidia nchi za Afrika kuendeleza viwanda, na kuchukua hatua nyingi zinazolingana na hali halisi ya nchi hizo. Baada ya kuingia katika...
  10. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Waziri Dkt. Ashatu Kijaji Awahimiza Wawekezaji wa Ndani na Nje ya Nchi Kutumia Fursa Zilizopo katika Mkoa wa Tanga ikiwemo Biashara, Kilimo, Viwanda

    Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb.) alitoa rai kwa Watumishi wote wa Taasisi za Umma zinazohusika na utoaji wa leseni na vibali mbalimbali kwa Wafanyabiashara na Wawekezaji kutekeleza jukumu hilo kwa ufanisi bila kukwamisha biashara. Dkt. Kijaji ameyasema hayo Novemba...
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania NEMC imetoa mwezi mmoja kwa viwanda vinavyozalisha Chupa za plastiki zenye rangi kuweka utaratibu wa kukusanya na kuhifadhi chupa hizo

    Baraza la Usimamizi na Utunzaji Mazingira Nchini NEMC imetoa mwezi mmoja kwa viwanda vinavyozalisha chupa za plastiki zenye rangi kuweka utaratibu wa kukusanya na kuhifadhi chupa za rangi ambazo zimekuwa zinachafua mazingira kwa kuzagaa maeneo mbalimbali. Mkurugenzi wa Baraza la Taifa la...
  12. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Kigahe: Watanzania Tumieni Bidhaa Zilizotengenezwa Nchini Kuendeleza Viwanda

    Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Exaud Kigahe ametoa rai kwa Watanzania kupenda na kunununua bidhaa zinazotengenezwa na viwanda nchini ili kupanua wigo wa masoko ya bidhaa, kuongeza uzalishaji kukuza viwanda, kuongeza ajira na kipato cha mtu binafsi na pato la Taifa. Kigahe ameyasema...
  13. benzemah

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu avinadi vivutio vya uwekezaji Italia. Ataja msimamo wa Rais Samia wa kuhamasisha ujenzi wa viwanda nchini

    WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewakaribisha wawekezaji na wafanyabiashara wa nchini Italia kuja Tanzania kuwekeza katika ujenzi wa viwanda vya kuzalisha bidhaa mbalimbali kwa kuwa Tanzania ina malighafi za kutosha pamoja na uwepo wa masoko ya uhakika kutokana na eneo la kijiografia. “Msisitizo...
  14. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Je makanisa ya upako ni viwanda vya mapepo?

    kuna watu kama watatu baada ya kumbilia kwenye makanisa ya upako ya uamsho wa kisasa waliingia wazima ila baadae wanasumbuliwa na mapepo. Siku ya jumapili imegeuka kama siku ya leheso ya kutoa mapepo hayo kisha jumapili ijayo zoezi linajirudia tena. Wafanyamazingaombwe na waganga wengi...
  15. Mpinzire

    JamiiForums Tanzania Tanzania ya Viwanda bila Umeme wa bei nafuu ni ndoto ambayo hatutaacha kuiota

    Gharama nafuu za umeme ni sababu muhimu inayoweza kuwavutia wawekezaji wa viwanda. Gharama za umeme zina athari kubwa kwa uendeshaji wa viwanda, na viwanda vinavyotumia umeme kwa wingi vinaweza kuwa na gharama kubwa za nishati. Hivyo, gharama za umeme zinapokuwa chini, nchi inaweza kuwa marudio...
  16. President of China

    JamiiForums Tanzania Hii ndio Urusi, Ulaya na Marekani wanaiogopa (Miundombinu, Utamaduni, Viwanda, Uchumi na Maliasili)

    BWANA YESU ASIFIWE Nimekuwa nikifanya utafiti wangu wa mara kwa mara na kuleta taarifa sahii zenye uchunguzi wa kina kuhusu nchi mbalimbali na kisha watu waweze kuelewa undani wake. NImefanya utafiti wangu kwa miaka mitano kuhusu nchi ya Urusi. Leo hii nitawaletea hali halisi ya nchi hii...
  17. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Serikali Kuendelea Kuhamasisha Uwekezaji na Uendelezaji wa Viwanda Nchini - Mhe. Kigahe.

    Serikali kuendelea kuhamasisha uwekezaji na uendelezaji wa viwanda Nchini-Mhe.Kigahe. Naibu Waziri wa Wizara ya Viwanda na Biashara Mhe Exaud Kigahe amesema kuwa Serikali inaendelea na juhudi za kuhamasisha uwekezaji wa viwanda vipya na uendelezaji wa viwanda vilivyopo katika Sekta ya Mifugo na...
  18. I

    JamiiForums Tanzania Nigeria ni miongoni mwa mataifa 10 yanayoongoza kwa viwanda barani Afrika

    Hii ni orodha ya mataifa kumi yanayoongoza kwa viwanda barani Afrika. https://thenationonlineng.net/nigeria-among-10-most-industrialised-countries-in-africa/
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania SADC yajadili umuhimu wa rasilimali watu na fedha katika maendeleo ya viwanda

    Tamko la Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu uwekezaji katika Rasilimali Watu uliofanyika Jijini Dar es Salaam, Julai 2023, litakuwa sehemu ya utekelezaji wa kaulimbiu ya Mkutano wa 43 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) unaondelea Jijini Luanda...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Afrika tunapaswa kubadilisha makanisa na misikiti kuwa viwanda

    Kitu cha kwanza kinachofunga akili na kudumaza jitihada za maendeleo ya mtu mweusi ni imani( za dini na uchawi). Imani haiwezi jenga barabara, jenga hospital, tengeneza gari, Leta siasa safi wa haiwezi ondoa ufisadi n.k Na huu ugonjwa wa dini au imani unatumiwa sana na washindani wetu ili...
Back
Top Bottom