viwanda

  1. Ndagullachrles

    JamiiForums Tanzania Profesa Ndakidemi aitaka serikali kununua bidhaa kutoka viwanda vya ndani

    MBUNGE wa Jimbo la Moshi Vijijini(ccm),Profesa Patrick Ndakidemi ameitaka serikali kutotumia mamilioni ya fedha kuagiza bidhaa kutoka nje ya nchi na badala yake wanunue bidhaa hizo kutoka kwenye vowanda vya hapa nchini. Profesa Ndakidemi alikuwa akichangia kwenye bajeti ya wizara ya viwanda na...
  2. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Kwanini wastaafu wa Tanzania hawawekezi kwenye sekta ya viwanda?

    Wastaafu wa Tanzania wanaoonekana wana akili na maono wengi wanawekeza kwenye nyumba za kupangisha, kujenga fremu za biashara na kuzipamgisha, wengine wananunua bodaboda 10-20 kwa mkupuo na kusubiri hesabu ingawa baada ya muda wanapigwa na kitu kizito kichwani. Wengine wanawekeza kwenye kilimo...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Bajeti ya Wizara ya Viwanda ieleze itakavyosaidia wazawa na wazalishaji wa ndani wanaoteseka kwa kodi

    Bajeti ya wizara ya viwanda ieleze itakavyosaidia wazawa na wazalishaji wa ndani, kuna wanasiasa wanaingiza baadhi ya bidhaa hazinakodi na zile zinazozarisha ndani ya nchi wanatozwa kodi kubwa kupelekea bidhaa zao kushindwa kushindana sokoni na kisha viwanda kufungwa na kukosa ajira kwa watu...
  4. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Waziri Kijaji: Tanzania ina viwanda 13 vya kuunganisha Magari

    Taarifa hii iwafikie wabishi wote popote walipo, kwamba, ndani ya Tanzania kuna viwanda vya magari 13 Waziri wa Viwanda Dkt Kijaji amethibitisha --- Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt. Ashatu Kijaji amesema kuwa Tanzania ina jumla ya viwanda 13 vya magari, kati ya viwanda hivyo, viwanda...
  5. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Bajeti Wizara ya Viwanda na Biashara 2024/2025

    Jumla Kuu - Tsh. 110,899,722,000 Matumizi ya kawaida - Tsh. 81,115,206,000 1. Mishahara - Tsh. 68,352,946,000 2. Mengineyo - Tsh. 12,762,260,000 Matumizi ya Maendeleo - Tsh. 29,784,516,000 Katika mwaka 2024/2025, vipaumbele vikuu vya Wizara ni sita (6). Aidha, vipaumbele hivyo vitatekelezwa...
  6. I

    JamiiForums Tanzania Marekani yapiga marufuku bidhaa za nguo za viwanda 26 vya China.

    Marekani ilisema Alhamisi inazuia uagizaji kutoka kwa kampuni kadha za nguo za China, ikitaja wasiwasi wa China kutumia nguvu kazi ya kulazimishwa katika utengenezaji bidhaa. Kati ya nyongeza 26 mpya kwenye orodha ya taasisi ya Sheria ya Kuzuia Kazi ya Kulazimishwa ya Uyghur, 21 zilichukuliwa...
  7. J

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mabadiliko kwenye nyanja ya Siasa Elimu kwa wananchi

    Tanzaniani tuitakayo ya miaka 5 hadi 25 ni ile ambayo kwanza tukubali kuanda kizazi Bora kutoka chini ambacho kitakuwa kimeandaliwa katika Mfumo mzuri wa elimu, Siasa , uzalendo, na teknoljia ambayo itaendana mahitaji ya Dunia ya sasa kivipi? Katika Mfumo wa elimu tunahitaji kuona mabadiliko...
  8. mwanamichakato

    JamiiForums Tanzania Viwanda vingi nchini vinakufa kutokana na vikwazo vya Sheria na tozo

    Maono na kiu ya watanzania wengi kuona viwanda vikishamiri ktk nchi yetu.Na pia Ni Maono na kiu ya Mh Rais wetu kuendelea kuzindua viwanda vikubwa vya kimkakati hivyo kuchochea ukuaji wa uchumi, Uzalishaji, Unafuu wa bidhaa na kuokoa fedha nyingi za kigeni zinazotumika katika uagizaji toka nje...
  9. Edson Eagle

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania ya Viwanda tuitakayo

    Mambo yakutekerezwa katika miaka ijayo ndani ya sekta ya viwanda. 1. Kuboresha miundombinu (barabara, umeme, usafiri na maji) pamoja nakufufua viwanda vyote vilivyokufa katika maeneo mbalimbali. 2. Kuwa na sera inayosimamiwa kikamilifu ili kuhakikisha waajiriwa katika viwanda wanapata ujira...
  10. J

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania ifanye hivi kuboresha sekta za Madini, Utalii na Viwanda

    Tanzania, nchi yenye utajiri mkubwa wa rasilimali za asili, inaangalia mbele kwa matumaini katika kuleta mabadiliko makubwa katika sekta muhimu za uchumi wake: madini, utalii, na viwanda. Kwa miongo kadhaa, madini yamekuwa sehemu muhimu ya uchumi wa Tanzania, na jitihada za hivi karibuni...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Bei ya luku ishuke, viwanda vifufuliwe, wananchi wapikie majiko ya umeme kuzuia uharibifu wa mazingira

    Salaam, Shalom. Samahani Kwa waliozaliwa 2000+, Miaka ya 90 kurudi nyuma, yalikuwepo majiko( Meko) ya umeme katika nyumba nyingi za watumishi wa umma, mapolisi, mahakimu, bankers, watoza ushauri, matajiri nk nk. Matumizi ya majiko ya kutumia umeme, yalisaidia kupunguza matumizi ya mkaa, hivyo...
  12. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Wadau wa Uongezaji Thamani Madini Waitikia Wito wa Serikali Kuwekeza Kwenye Viwanda vya Uchenjuaji Madini Nchini

    WADAU WA UONGEZAJI THAMANI MADINI WAITIKIA WITO WA SERIKALI KUWEKEZA KWENYE VIWANDA VYA UCHENJUAJI MADINI NCHINI -Waziri Mavunde akutana na Kampuni ya MAST na AKMENITE -_Viwanda vya Uchenjuaji madini kujengwa Ruvuma,Dodoma,Katavi na Lindi _ -Ujenzi wa viwanda kuanza mapema mwaka huu Waziri...
  13. Masokotz

    JamiiForums Tanzania Fahamu Kuhusu Taarifa za Fedha za Biashara

    Angalizo: Andiko Hili sio ushauri wa kitaalamu na wala sio mbadala wa ushauri wa kitaalam.Maudhui yaliyomo yanatokana na uelewa binafsi wa mwandishi.Ukihitaji ushauri kuhusu wa kitaalamu unaweza onana na muhasibu au mshauri wa kodi aliyesajiliwa na mamlaka husika. Utangulizi. Katika biashara...
  14. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Serikali inataka Mo asifunge viwanda vyake vya chai vilivyokufa, mantiki iko wapi?

    Kuna mambo yananishangaza sana kuhusu serikali ya Tanzania. Hili la serikali kumzua Mo asifunge viwanda vyake vya chai vilivyojifia limenishangaza sana. Bado sijapata mantiki kabisa. Kama lengo ni kuwalinda wakulima wa chai, kwanini serikali kwa miaka yoyote imeshindwa kujenga viwanda vya chai...
  15. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Kwanini MO Dewji anataka kufunga kiwanda chake cha chai Nchini Tanzania? Bashe amgomea!

    Zipo taarifa kwamba Serikali ya Tanzania imekataa ombi la Mohamed Dewji la kutaka kufunga kiwanda chake cha chai. Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amemuomba Bwana Dewji kufanya majadiliano na Serikali kwanza kabla hajachukua uamuzi huo, ambao unatarajiwa kuathiri watu wengi wanaofanya kazi kwenye...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Maslahi duni kwenye viwanda

    Sera mbovu za uwekezaji na viwanda nchini hili huchangia mtu kusaka vibali kwa gharama kubwa akipata anajitajirisha mwenyewe na fedha nyingi wanazochuma kwetu wanazipeleka kwao kwetu maslahi yanabaki duni Ni bora sera za viwanda zibadilishwe na Serikali itoe support kwa viwanda vya ndani, kuna...
  17. Hidden Diamond

    JamiiForums Tanzania Jamani Mbeya hakuna mtu anayejua viwanda au kampuni ijayotafuta wafanyakazi

    Niko Mbeya jamani mimi ni kijana nauliza kama kuna Kiwanda chochote au kampuni yoyote inayotafuta wafanyakazi.kwa Maana nimezunguka mkia sehemu Lakini wapi
  18. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Fursa ya Kuanzisha Viwanda vya Kuchakata Mazao ya Karanga, Ufuta na Alizeti - Kata ya Likokona, Nanyumbu

    Fursa ya Kuanzisha Viwanda vya Kuchakata Mazao ya Karanga, Ufuta na Alizeti - Kata ya Likokona, Nanyumbu Serikali kupitia Kituo cha Uwekezaji (TIC) inaendelea kutangaza fursa za uanzishwaji wa viwanda vya kuchakata mazao ikiwemo mazao ya karanga, ufuta na alizeti. Haya yamebainishwa bungeni...
  19. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Watanzania wahimizwa kuwekeza kwenye viwanda vya maziwa kulingana na malighafi zilizopo katika maeneo yao

    Serikali imetoa wito kwa Watanzania kuwekeza zaidi katika viwanda vya maziwa nchini kutokana na kutolewa kwa kodi nyingi katika viwanda vya bidhaa hiyo pamoja na kuwepo kwa soko la ndani na nje ya nchi. Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Exaud Kigahe Februari 7, 2024...
  20. H

    JamiiForums Tanzania Kuna shida gani kwenye viwanda vya karatasi, bei ya ream iko juu sana, tsh 15,000/=

    Wadau salaam. Serikali ijaribu kutupa jicho huko kwenye viwanda hivi. Karatasi zinatumika sana mashuleni na hasa mwanzo wa mwaka.Wanafunzi wanaagiziwa kupeleka karatasi shuleni kwa ajili ya kuchapisha mitihani yao. Miaka ya nyuma kidogo bei ya ream ilikuwa tsh 3500 hadi 5000,lkn ghafla...
Back
Top Bottom