viwanda

  1. BAK

    JamiiForums Tanzania Ni sababu zipi ziliwafanya hawa washindwe kufufua Viwanda?

    Mwijage, Kakunda wakiri kushindwa kufufua viwanda WEDNESDAY JUNE 23 2021 Summary Mawaziri wa zamani wa viwanda na biashara leo Jumatano Juni 23, 2021 wamekiri bungeni mjini Dodoma kuwa walishindwa kufufua viwanda. By Habel Chidawali More by this Author Dodoma. Mawaziri wa zamani wa viwanda na...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Kutunza mazingira: Serikali ivilazimishe Viwanda vya Pombe kali kununua chupa zake zilizotumika

    Salam wakuu. Nimewaza sana kwanini viwanda vya pombe Kali (Distilled spirits) kama konyagi, kvant, vodka, dompo, wana design chupa nzuri sana tena zenye mionekano bomba. Lakini cha kushangaza chupa hizo baada ya matumizi hutelekezwa na kuwa kero kwa uchafuzi wa mazingira yetu. Sasa sijui...
  3. beth

    JamiiForums Tanzania Kassim Majaliwa: Serikali imechukua viwanda vyote visivyofanya vizuri

    Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa, amesema Viwanda vyote ambayo havifanyi kazi vimesharatibiwa na vitatolewa kwa watu wenye uwezo. Ameeleza, Serikali ilichukua Viwanda vyote ambavyo havifanyi vizuri na vinafanyiwa uchambuzi Amesema hayo Bungeni wakati akimjibu Mbunge wa Ndanda, Cecil...
  4. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Protectionism ni hatari kwa Maendeleo ya Viwanda

    Wakati Ujerumani imegawanyika magharibi na mashariki, Ujerumani Mashariki ilishikilia sana hii sera ya protectionism(kulinda viwanda vya ndani). Bidhaa nyingi hazikuruhusiwa kuagizwa toka nje ya nchi hivyo watu wakalazimika kununua kutoka ndani na viwanda vikaweza kuendelea. Siku ukuta wa...
  5. Dr Akili

    JamiiForums Tanzania Juice na unga wa ngano kutoka viwanda vya Kenya vitaingia Tanzania bila vikwazo na sementi kutoka viwanda vya Tanzania vitaingia Kenya bila vikwazo

    Viwanda vyetu hususani kama vya Azam vijiandae kwa maumivu kwani itakuwa ngumu kushindana na maviwanda ya Kenya. Pia na sisi tunaotaka kujenga tujumba twetu tujiandae maumivu kwani cementi ya kutoka viwanda vyetu ambayo ina ubora wa hali ya juu hususani ile ya Dangote, kiasi kikubwa kitakuwa...
  6. beth

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu: Jibu sahihi kupunguza changamoto ya ajira ni ujenzi wa viwanda

    Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema mkakati wa Ujenzi wa Viwanda ndio jibu sahihi la kupunguza changamoto ya Ajira Nchini kwa ngazi zote. Amesema, "Changamoto ya Ajira ipo duniani kote ikiwemo hapa kwetu Tanzania. Kila Serikali inaweka utaratibu mzuri wa kukabiliana nayo" Ameeleza...
  7. beth

    JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina: Mfumo mbaya wa kodi kikwazo sekta ya viwanda

    Mbunge Luhaga Mpina amesema sababu mojawapo ya kuwepo changamoto katika Viwanda vya Tanzania ni mfumo mbaya wa Kodi ambayo haufanyiwi tathmini mara kwa mara Ameeleza, "Wazalishaji wanapigwa Kodi lakini wanaoingiza wamesamehewa. Sasa nani atawekeza kwenye Viwanda katika Nchi yako? Tuna mfumo wa...
  8. beth

    JamiiForums Tanzania Musukuma aitaka Serikali kufungua viwanda ilivyofunga

    Mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Kasheku Musukuma ameitaka Serikali kufungua Viwanda ilivyofunga akisema wengine walionyang'anywa wana uwezo, na waliosababisha Viwanda vifungwe ni Serikali kushindwa kulinda Soko la Ndani Amesema, "Nikuombe Waziri, dhambi hii ya kupora vitu vya watu isikuangukie...
  9. beth

    JamiiForums Tanzania Mchungahela: Tanzania haiwezi kuendelea bila viwanda

    Mbunge Issa Mchungahela amesema Taifa haliwezi kuendelea bila kuendeleza Viwanda na vitu vyote vinavyozungumwa haviwezi kufanikiwa. Amesema hayo wakati wa majadiliano ya Bajeti ya Wizara ya Viwanda na Biashara Aidha, Mbunge huyo amesema Vipaumbele vya Bajeti za Serikali vimekuwa havizingatiwi...
  10. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania Nashauri Serikali kukagua viwanda ambavyo vinasuasua au ambavyo vimeshindwa kujiendesha na kuwapa wawekezaji wapya

    Habari wadau..! Hivi karibuni naona kama wizara ya viwanda imekuwa ipo kimya sana,haitupi mrejesho mpango wa kuwa na serikali ya viwanda umefia wapi..? Nashauri serikali iwe inafanya review ya viwanda vilivyopo kuangalia maendeleo ya viwanda hivyo na changamoto zilizopo ili kuwashauri. Viwanda...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Waliojenga katika maeneo ya viwanda Pugu Road na maeneo mengine ya nchi wajiandae

    Kuna clip iko kwenye mitandao ikimuonyesha Waziri wa Ardhi, Bwana Lukuvi akitaka maeno ya yaliyotengwa kwa akili ya viwanda huko barabara ya Pugu na sasa yanatumika kwa shughuli nyingine yachunguzwe na hatua zichukuliwe. Ameagiza vibali vichunguzwe na waliobadili matumizi ya viwanja hivyo kwa...
  12. Daisy Llilies

    JamiiForums Tanzania Maisha ya Wazungu kutoka Zama za Kilimo kwenda Zama za Viwanda

    Wenye viwanda walitangaza kazi na watu kutoka vijijini walihamia katika miji yenye viwanda. Nyumba zilikua na umeme lakini vyoo na bomba la maji vilikua nje. Kulikua na mabafu ya kulipia na watu wengi wa hali ya chini walimudu kuoga mara moja kwa wiki. Hizi ni enzi za The Poor Law...
  13. konda msafi

    JamiiForums Tanzania Gesi mnayopiga kelele kuuzwa Kenya haitatumika kwenye Viwanda vya Tanzania?

    Kwani hii gesi haitumiki au haitatumika kwenye viwanda vya Tanzania? Kama inatumika au itatumika kwenye viwanda vya Tanzania tatizo lipo wapi? Kwani kuna ubaya gani kama una chakula cha kutosha nyumbani kwako ukaamua kumuuzia jirani yako ili kupata pesa ya ziada kufanya mambo yako mengine? Kama...
  14. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu usisahau kuvutia wawekezaji kujenga viwanda vinavyozalisha kemikali kutokana na gesi

    Mama yetu gesi asilia kwa jina jingine inaitwa METHANE (CH4), kama unavyoiona hapo in kaboni moja. Gesi hii inamatumizi mengi kama vile KUPIKIA, KUWASHIA, KUZALISHIA UMEME, KAMA NISHATI VIWANDANI LAKINI PIA GESI HII INATUMIKA KUZALISHA KEMIKALI MBALIMBALI ZENYE THAMANI KUBWA KULIKO GESI...
  15. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Tanzania ya viwanda inaendelezwa. Magari mia moja yaundwa Tanzania

    Kazi inaendelea sasa ni kazi ya kuendeleza viwanda. Msiotaka maendeleo kunyweni sumu.
  16. Kimbakuli

    JamiiForums Tanzania Hivyo viwanda 4000 vilivyojengwa awamu ya 5 mbona sivijui, nafahamu kiwanda cha Dangote tu cha awamu ya 4

    Kelele nyingi sana zilipigwa kwamba kuna viwanda vingi vilijengwa awamu iliyopita lakini hivyo viwanda mbona hutuvifahamu au ilikuwa ni habari ya guantity sio quality! Kiwanda kimoja tu cha kuzalisha saruji cha tajiri Dangote kilichojengwa awamu ya mkwere kule umakondeni si tu kinajulikana Tz...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Combination ya Dr Kimei Waziri wa Fedha na Tarimba Abbas Waziri wa Viwanda na Biashara naikubali sana!

    Unajua dunia ya sasa inakwenda kasi sana ndio maana Tanzania japo tuna Bandari lakini wafanyabiashara wetu wanaenda kununua mzigo Uganda ambao unapita hapa hapa Dar es salaam. Unapokuwa na viongozi wenye elimu ya kutosha ya vitabuni lakini wanaoijua dunia katika uhalisia wake linakuwa jambo...
  18. mgt software

    JamiiForums Tanzania Mbinu chafu za Matajiri wa viwanda wanavyoturudisha kwenye umaskini baada ya kulindwa Na sera za biashara kukosa ushindani

    Wana jf Wengi mnaweza msilione hili lakini mbinu chafu zinazotumiwa Hawa wafanyabiashara kuhakikisha wanapata faida kubwa huku mdoro wa Kasi ya maendeleo ikikwamishwa makusudi. Umoja wa wafanyabiashara wenye viwanda vinavyozalisha vifaa au vitu vya matumizi ya lazima wamekuwa wakipanga Kwa...
  19. kagoshima

    JamiiForums Tanzania Swali fikirishi. Kwanini Rais Magufuli hakugusia viwanda cha tumbaku na cha Hezi Mazava vilivyofungwa kwenye utawala wake?

    Niliwahi andika humu nikionya kwamba Sera mbovu za kodi na viwanda inaenda kusababisha kufungwa kiwanda cha Tumbaku Moro na hivyo kupelekea kupoteza zaidi ya ajira 1000 za moja kwa moja. Wapiga pambio humu walinishambulia. Kiwanda kikafungwa mwaka Jana na wale jamaa kuondoka. Baadaye kidogo...
  20. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania kuweka vituo vya kufundisha Kiswahili kwenye Balozi zake

    Serikali nchini imeagiza uwepo wa vituo rasmi ya kujifunzia lugha ya Kiswahili katika nchi zenye balozi lengo likiwa ni kupanua matumizi ya lugha hiyo kimataifa. Akizungumza leo bungeni jijini Dodoma, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema hatua hiyo itasaidia kufungua fursa za kiuchumi ikiwemo...
Back
Top Bottom