Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara, Prof. Riziki Shemdoe ameitaka kampuni ya Tanelec – Arusha kuharakisha utengenezaji wa vifaa vya umeme ikiwemo (switch gears ) ambazo zinasubiriwa kufungwa kwenye kiwanda cha kuzalisha bidhaa za ngozi cha Karanga kilichopo Mkoani Kilimanjaro. Prof...
Habari waungwana!
Ni dhahiri shahiri kuwa siasa za Afrika zina utofauti na mataifa mengine nje ya Afrika.
Kuna dhihaka na kebehi moja inafanywa na viongozi wa CCM juu ya wananchi. Dar es salaam ndio mji wa kibiashara lakini kila nikizunguka sioni hivyo viwanda vipya. Ukikaa pale Mbezi Mwisho...
Habari wanaJF,
Sina shaka na weledi wa wanaJF wengi humu jamvini, ndio maana nina ujasiri wa kuleta thread hii njema kabisa kwa mustakabali wa taifa letu.
Tukiondoa tofauti zetu za kiitikadi na kuja pamoja kama taifa tutatambua kuwa kwakweli bajeti hii ya 20/21, imelenga moja kwa moja...
Ni muda umefika tarehe itangazwe kuanza maonyesho ya kimataifa ya biashara sabasaba
Wizara itoe mialiko kwa wafanyabiashara ndani na nje ya nchi kwa haraka
#hapakazitu
#MATEGE
Anaandika John Sm Mgejwa
Kuna kipindi nchini Kenya hasa mwaka 2009/10 kwenye mapato yaliyokuwa yanakusanywa kwa mwaka, 47.3% ya Fedha zilizokusanywa zilikuwa zinatumika kulipa mishahara ya watumishi, kiwango hiki lilikuwa juu ya kile Cha kimataifa ambacho ni 35% ya makusanyo yote. Hii ina...
Ndugu habari,
Nimemaliza chuo mwaka jana sasa nina shahada ya kwanza ya Ualimu katika masomo ya Hisabati na Kompyuta. niliporudi nyumbani mwaka huu niligundua kuna fursa ya kuzoa taka katika mitaa ya kata yetu. Hivyo sikuchelewa nikachapa barua fasta na kuipeleka kwa mtendaji wa kata nikiomba...
Wandugu nimeona nilete uzi huu ili tupate kujuzana viwanda mbalimbali tunakoweza kununua vifaa/ bidhaa mbalimbali kwa bei za jumla.
Bidhaa mfano:
Vifaa vya ujenzi
Vyombo
Vifaa vya simu
Vifaa vya usafi
Pembejeo za kilimo
Furniture
Nguo
Simu
Spair parts
Nk
Nawakaribisha wenye viwanda na...
Hii pesa inayotumika kuwanunua wapinzani na inayotumika kisiasa kuwatesa wapinzani Je, haiwezi kusaidia viwanda vya sukari kuzalisha kukidhi mahitaji ya ndani na kuzalisha ziada?
Nchi kama Uganda ndio ya kuisaidia Tanzania Sukari na hawajawahi kuwa na uhaba wa sukari, je wao ndio wanayo...
Kama nilivoahidi toka mwanzo kipindi hiki ambacho nipo lock-down nitakuwa na-share hapa taarifa mbalimbali za baadhi ya nchi nilizowahi kuishi na kufanya kazi ili kwa wale walio na ndoto za kufika wapate japo ufahamu kidogo kuhusu hizo nchi na fursa mbalimbali zinazopatikana katika mataifa hayo...
Moja kati ya kitu cha kuangalia ili kujua kama tuna uchumi wa viwanda ni kuangalia kiwango ambacho tunazalisha ndani ya nchi, ambacho kwa kupitia viwanda tunaweza kuwa na uuzaji mkubwa wa vitu hivyo nje ya nchi na kufanya uchumi kukua kwa kasi.
Awamu hii ilikuja na kauli ya Tanzania ya viwanda...
Deregulation of sugar industry will see the economies of scale and market competitiveness transfer relief that results into lower prices to final consumers.
In order to protect local industries, govt have been placing quotas or embargoes to the importation of sugar something that has resulted...
Wassalam wana-JF,
Mwezi Machi mwaka 2019, waziri Mkuu wa JMT Mh. Majaliwa Kassim Majaliwa alizindua kikubwa na inawezekana cha pekee Mkoani Lindi maeneo ya Mbalala jimboni Mtama kinachojulikana kwa jina la CASSAVA STARCH OF TANZANIA CORPORATION. Kiwanda ambacho kinajishughulisha na uzalishaji...
Mojawapo ya changamoto kubwa zilizoletwa na baa la virusi vya Corona ni ukosefu au upungufu wa vifaa vya kujikinga binafsi. Glovu, kofia, barakoa, gauni kinga ni baadhi tu ya vifaa hivi.
Mahitaji ya vifaa hivi duniani yameongezeka sana. Katika hali ya kufa kufaana ni viwanda gani Tanzania...
Ni muhimu sekta ya viwanda nchini hasa vile vya nguo vikaja na mpango kazi maalumu wa kuzalisha PPEs haswa masks za N95 ,COVERALL GOWNS ,BOOTS,GOGGLES,N.K
Wachumi na wanahistoria naomba mnisaidie Serikali za Nyerere, Mwinyi, Mkapa na Jakaya hazikufanya udanganyifu wa takwimu za uwepo wa viwanda vipya Tanzania.
Naamini hata Serikali ya awamu ya tano haiwezi fanya kosa Kama Hilo la kupika data za kiuchumi.
Hivyo wanavyosema ndani ya miaka minne...
Wiki jana tumeona ufunguzi wa maonyesho katika Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya. Tukio hilo muhimu lilileta pamoja wanafunzi na waalimu wa vyuo na taasisi mbalimbali za mkoa wa Mbeya kuonyesha na kujadili fursa zitokanazo na ubunifu wa kiteknolojia.
Katika hotuba yake, Mkuu wa Kitivo...
Mh. Raisi J.P. Magufuli nakusalimu na kukupongeza kwa wazo au ushauri wako kwa Mfuko wa Taifa wa bima ya Afya (NHIF) wa kuwekeza makusanyo yao ya michango ya wateja kwenye sekta ya afya hasa kwenye viwanda vya madawa n.k.
Mimi nilikuwa na ombi moja ktk kuboresha wazo lako. Naomba NHIF itangaze...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.