Matumizi ya teknolojia yanapochukua nafasi kila mtu anategemea ufanisi kuongezeka!
Hii imekuwa kinyume kabisa kwa BRELA, inaumiza, kuleta hasira na hasara sana kwa Wafanyabiashara.
Mwaka jana mwezi wa nne 2020 nilianza mchakato wa kuhuisha taarifa za kampuni yangu ili kuomba leseni za...
Baada ya vita ya Korea, Korea kaskazini ikaanza kuhangaika kujenga uchumi wake. Ikagundua kuwa ili iwe na uchumi imara inahitaji viwanda. Ikagundua pia, kuwa viwanda haviwezekani bila kuwa na chuma.
Ikasema ngoja iende Japan ikanunue kinu cha kufulia chuma. Marekani aliposikia habari hiyo...
Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari imeanza mchakato wa uanzishwaji wa viwanda vya utengenezaji wa simu janja ndani ya nchi vitakavyowezesha upatikanaji rahisi wa vifaa hiyo.
Waziri Dk Faustine Ndugulile alisema hayo jana wakati wa kikao kazi na wenyeviti wa bodi na wakuu wa taasisi...
Habarini za Leo wapendwa.
Kama kichwa kinavyo someka hapo juu. Ni juu ya makanisa yetu mbalimbali yaliyopo Tanzania.
Sote tunajua jinsi makanisa yetu yanavyo toa mchango katika sekta ya elimu na afya. Kuna shule nyingi sana zinazotoa elimu bora kwa wototo wetu zilizojengwa na makanisa. Lakini...
Habari za leo wakuu,
Uzii huu utakuwa maalum kuijadili sera yetu ya viwanda.
Bila kutukana wala kumnyoshea mtu yeyote kidole, naomba kila mmoja atoe maoni yake.
Mada: Wewe unahisi sera yetu ya viwanda ina mapungufu gani?
Zingatia ili taifa letu liweze kuendelea linahitaji kuwa na sera bora...
Vijana wenzangu kwema?
Hiki kipindi napenda kukibatiza jina kutoka MITANO TENA mpaka SHIKA ULICHONACHO.
Kama una ajira shikia hiyo ajira yako, kama huna kazi basi shikia papo hapo. Una biashara shikia(chunga) biashara yako.
Huna biashara basi shikia papo hapo.
Rafiki yangu ana vichekechea 3...
Itoshe tu kusema nafasi ya waziri wa viwanda na biashara ingemfaa sana Mh Freeman Mbowe.
Sisemi kwamba aliyopo hafai bali ninachosema Mbowe ana kila sifa ya kuweza kushika nafasi hiyo katika dunia ya sasa yenye ushindani wa " kuviziana".
Nawatakia Sabato yenye baraka.
Maendeleo hayana vyama!
Waziri wa viwanda na biashara Mhe. Mwambe ametembelea maonesho ya bidhaa za wajasiriamali katika viwanja vya saba saba jijini Dar es Salaam.
Mwambe amekagua bidhaa za wajasiriamali hao na kuwataka waendelee kujikita kwenye ubora na viwango ili waweze kupata masoko ya uhakika.
Maonesho hayo...
Japo kwa miaka mingi Tanzania tunajisema kilimo ni uti wa mgongo, ukweli ni kwamba wakulima katika nchi hii ndio kundi la mwisho kukumbukwa na serikali. Tunafanya maendeleo ya mijini, kununua ndege, kujenga flyover nk, vitu ambavyo havimgusi sana mkulima wa kule kijijini.
Wakulima wanaishi...
Wakuu amani iwe nanyi,
Jana Mh Rais ameteua Baraza la Mawaziri na miongoni wa Mawaziri walioteuliwa ni aliyekuwa Mkurugenzi wa kituo cha uwekezaji Tanzania Mr Geoffrey Mwambe.
Geofrey Mwambe amekuwa mkutugenzi wa TIC kwa kipindi cha miaka mitatu na katika kipindi hicho Mr Mwambe alichemka...
Ifahamike swala la Elimu ya msingi kwa sasa lipo vizuri sana naipongeza serikali.
Kiongozi yeyote atakae weza kutatua tatizo la ajira kwa kujenga viwanda kisha kuwaajili watu pasipo upendeleo.
Nasema Hivi huyo atashinda hata urais kwa chaguzi zijazo.
Kwa nini? Ikiwa rundo kubwa ni la vijana...
Mkuu wa mkoa wa Mbeya Mh. Albert Chalamila amemtaka Katibu mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara kuandaa kikao cha wadau wa Cement kujadili bei ya bidhaa hiyo.
Chalamila amesema Mbeya wamefanikiwa na bei ya Cement haijapanda hivyo anataka ubunifu wake utumike katika level ya taifa ambapo...
Baada ya uchaguzi kuisha na uteuzi wa Waziri Mkuu na uundwaji wa Baraza la Mawaziri kukamilika, ninaishauri SERIKALI kupitia kwa Waziri wa VIWANDA, biashara na uwekezaji akimulike kiwanda cha NGUO cha urafiki kinachojulikana Kama (TANZANIA-CHINA FRIENDSHIP TEXTILES CO) kilichopo Ubungo jijini...
Habarini wakuu na raia wenzangu wa taifa la chama kimoja, japo nna uchungu mkubwa, lakini kamwe siwezi kuwa mvivu wa kutumia kalamu yangu kuihabarisha jamii na taifa langu, nimeteseka sana kwenye hii nchi, na nimekuwa nikitamani kuona hii nchi siku moja inapiga hatua moja ama nyingine -...
Ni mapendekezo tu kutokana na viwango vyao vya elimu na uzoefu wao katika kutumikia watanzania.
1. Askofu Dr Gwajima........ Waziri wa mambo ya ndani
2. Dr Kimei........Waziri wa Fedha
3. Mh Abbas Tarimba.......Waziri viwanda na biashara
4. Mh Babu Tale........Waziri wa Habari, Sanaa na...
Serikali ya awamu ya Tano chini ya usimamizi wa Rais Magufuli inaendesha miradi mikubwa ya kimkakati ambayo matunda yake hayaonekani leo au kesho ni ya muda mrefu na ndio namna ya kuongozaNchi llazima kuwe na mipango ya muda mrefu na mifupi.
Huwezi kuwa na viwanda vikubwa vinavyofanya...
SERIKALI IMEUA VIWANDA VYOTE HAPA TANGA,NIKIWA RAIS NTASIMAMIA KWA MAKINI KATIKA SEKTA YA KILIMO NA MAENDELEO YA VIWANDA" PROF.LIPUMBA"
TANGA
Dira ya Mabadiliko ya CUF inakipa kilimo nafasi ya pekee katika mikakati ya kukuza uchumi na hivyo kuwaondolea umasikini wananchi wengi na hasa wa...
Uchumi wa Viwanda ilikuwa ni Sera Kuu ya kiuchumi iliyojinasibu JPM Mwaka 2015!
Tumesoma katika mafanikio ya Awamu ya Tano kuwa vimejengwa Viwanda vingi Sana katika Awamu hii.
Kongole kwa CCM!
Binafsi napenda kujua kwa upande wa Mkoa wa Singida hivi Viwanda vimejengwa Vingapi na wapi!?
Ni...
Yaani kama bia ina ujazo wa ml 500 basi chupa moja iwe na ml 1000 (1lt) ili kwa anayekunywa bia mbili anaagiza chupa moja tu, au chupa moja iwekwe ujazo wa bia tano. Hii itawapunguzia mzigo wahudumu wa nenda rudi, pia mwaweza kunywa na marafiki
NITASIMAMIA KWA MAKINI KATIKA SEKTA YA KILIMO NA MAENDELEO YA VIWANDA" PROF.LIPUMBA"
KIGOMA KASKAZINI.
Dira ya Mabadiliko ya CUF inakipa kilimo nafasi ya pekee katika mikakati ya kukuza uchumi na hivyo kuwaondolea umasikini wananchi wengi na hasa wa vijijini, na kuhakikisha Taifa linakuwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.