viwanda

  1. FrankLutazamba

    JamiiForums Tanzania Nashauri viwanda vya bia vianze kutengeneza bia chupa moja yenye ujazo wa bia mbili ili kuwapunguzia wahudumu nenda rudi...

    Yaani kama bia ina ujazo wa ml 500 basi chupa moja iwe na ml 1000 (1lt) ili kwa anayekunywa bia mbili anaagiza chupa moja tu, au chupa moja iwekwe ujazo wa bia tano. Hii itawapunguzia mzigo wahudumu wa nenda rudi, pia mwaweza kunywa na marafiki
  2. CUF Habari

    JamiiForums Tanzania GE2020 Prof. Lipumba akiwa Kigoma Kaskazini: Nitasimamia kwa makini katika Sekta ya Kilimo na Maendeleo ya Viwanda

    NITASIMAMIA KWA MAKINI KATIKA SEKTA YA KILIMO NA MAENDELEO YA VIWANDA" PROF.LIPUMBA" KIGOMA KASKAZINI. Dira ya Mabadiliko ya CUF inakipa kilimo nafasi ya pekee katika mikakati ya kukuza uchumi na hivyo kuwaondolea umasikini wananchi wengi na hasa wa vijijini, na kuhakikisha Taifa linakuwa na...
  3. 911sep11

    JamiiForums Tanzania Msaada. Naomba picha za viwanda vilivyojengwa nchi nzima

    Hapo ulipo ndio panaitwa nchi nzima kwahiyo piga picha kiwanda kilichojengwa awamu hii uweke hapa. Msaada wadau naomba kuona picha za hivyo viwanda. Na bidhaa zake na zinako safirishwa johnthebaptist Maendeleo hayana uvyama ndani yake.
  4. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu anaahidi kufufua viwanda gani?

    Nimemsikia Tundu Lisu akiahidi mjini Morogoro kwamba endapo atachaguliwa kuwa Rais wa Tanzania atafufua viwanda vyote vilivyokufa. Ndio namuuliza hivyo viwanda vilivyokufa viko wapi? Atoe hata mifano 10 kama ana sema kwa utafiti na takwimu. Watanzania siyo wajinga. Maendeleo hayana vyama!
  5. Sami Omary Khamis

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya viwanda vilivyozinduliwa na Rais Magufuli kati ya mwaka 2017 na 2019

    Kiwanda cha Global Packing kilichopo Kibaha mkoani Pwani Viwanda vya mradi wa upanuzi wa mtambo wa maji wa Ruvu Juu na uzalishaji wa mabomba. Mradi wa Upanuzi wa mtambo wa kusafisha maji Ruvu juu Mlandizi Mkaoni Pwani Mradi mkubwa wa kusafisha na kuzalisha Maji kwa miji ya Pwani na Dar es...
  6. Q

    JamiiForums Tanzania GE2020 Rais Magufuli, ile Tanzania ya Viwanda uliyotuahidi ndiyo hii?

    Kila nikikumbuka slogan hii huwa nawatathimini watanzania nashindwa kuwaelewa kabisa, je tumerogwa? Mbona hatuhoji kama Tanzania hii ndiyo ya Viwanda tuliyoahidiwa au tungoje nyingine. Najua waliodanganywa 2015 ni wale wale wanaodanganywa leo 2020 kuwa anakwenda kuifanya Tanzania iwe kama...
  7. RUSTEM PASHA

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ushauri: Mgombea Urais kupitia CCM, zungumzia Tanzania ya Viwanda ulivyoifanikisha ili upate kura za kutosha

    Pombe Magufuli nakushauri usisahau kuwaeleza wananchi kuwa Tanzania ya viwanda kama umeifanikisha, maana 2015 ulipigiwa kura na watu wengi kwa namna ulivyonadi sera zako, hasa iliyonivutia mimi mpaka nikakupa kura ni Tanzania kuigeuza nchi ya viwanda. Sasa hivi sisikii ukinadi umeifanikisha...
  8. Richard

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Charles Kimei ana mawazo ya kuibadili Vunjo ifafane na mji wa Toronto Canada. Akishinda ubunge apewe Wizara ya Viwanda na Biashara

    Katika watu ambao wameingia katika kinyang'anyiro cha kugombea ubunge na ambao kama wakipata nafasi hiyo, watachangamsha sekta za uchumi, biashara na viwanda ni Dr Charles Kimei. Dkt. Charles Kimei ni mmoja wa watu ambao wana matamanio ya kufanya mabadiliko ya haraka yaani "quick...
  9. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Hatutaki viwanda vinavyotugeuza watumwa na mateka wa nchi yetu wenyewe

    Na, Robert Heriel Je, sisi ni watumwa? Je, sisi ni Mateka? Nauliza sisi ni misukule? Ukiambiwa viwanda vimejengwa, uliza swali hili je kimeajiri wafanyakazi au watumwa? Mada hii ni chungu, kama huna uvumilivu naomba uishie hapa. Lugha itakayotumika ni lugha ngumu, lugha isiyopendeza, kwani...
  10. Babu sea

    JamiiForums Tanzania Viwanda kipindi cha Mkapa havikua na maana lakini hivi sasa ni vya msingi

    Kama mada inavyo jieleza hapo juu ni nitaanzia awamu ya tatu kipindi mkapa anabinafsisha viwanda. Sababu za Ben kubinafsisha viwanda zilikua kweli kwa wakati ule lakini sasa hivi wakati umebadilika sasa ni wakati wa sr ya awamu ya 5 hata mkapa alisema kila zama na kitabu chake kwasasa ni kitabu...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Msaada jamani mwenye connection na Ma HR wa viwanda anisaidie kuniunganisha

    Nawasalimu sana mim ni kijana mwenyeji wa mikoa ya kanda ya ziwa nlizaliwa miaka ya 90's baba yangu alikuwa ni mfanyakazi wa idara ya maji miaka hiyo ila tulivoambiwa na mama yetu kuwa aliachaga kazi yey mwenyew baada ya kuacha kazi...
  12. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Serikali: Ni wakati sasa ya kuviweka hadharani Viwanda 4,000 tulivyojenga Wapinzani waone haya

    Najua wapinzani walipiga sana kelele kuwa serikali haijafanya kitu. Na Waziri akajikuta anatoa siri ya kujenga viwanda 4000 na ajira zaidi ya milion 3. Sasa nadhani tunapoenda kwenye uchaguzi Serikali iviweke wazi viwanda hivyo watu wajionee.hawa wapinzani wana ujinga wa kupinga kila kitu...
  13. Kennedy

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Magufuli achukua fomu ya kuwania nafasi ya Urais wa Tanzania Ofisi za NEC

    Kumekucha salama, Leo tarehe 06.08.2020 mgombea nafasi ya kazi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kwa Chama cha Mapinduzi, atachukua fomu kwenye ofisi ya NEC makao makuu ya Dodoma. Baada ya kuchukua fomu ataongea na wananchi pia wanachama wa CCM kwenye ukumbi wa White House...
  14. kimsboy

    JamiiForums Tanzania Je, Tanzania ya Viwanda imeshakamilika?

    Ni muda sasa Rais akihutubia bila kusikia neno "viwanda" kama ilivyokua kawaida yake Na pia hakuna update yoyote ya viwanda vinavyojengwa Labda niwaambie kitu tu nchi kuwa ya kiviwanda mnatakiwa muwe na viwanda kama utitiri yaani vya kutosha mfano kwa ukubwa wa Tanzania na watu wake ili...
  15. mkiluvya

    JamiiForums Tanzania Miradi ya Uwekezaji katika Viwanda Unaangazia Sera ya Tanzania ya Uchumi wa Viwanda - Mwambe

    Mkurugenzi wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania(TIC), Geoffrey Mwambe amesema kuwa Miundombinu iliyojengwa na Serikali imewezesha kituo hicho kupiga hatua kubwa na kulete wawekezaji wengi katika Sekta ya uwekezaji hasa kwenye sekta ya Viwanda. Akizungumza katika mkutano na Waandishi wa Habari Jijini...
  16. mkiluvya

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda Ataka Ujenzi Wa Kiwanda Kipya Cha Viatu Cha Karanga Kukamilika Kwa Wakati

    Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara, Prof. Riziki Shemdoe ameitaka kampuni ya Tanelec – Arusha kuharakisha utengenezaji wa vifaa vya umeme ikiwemo (switch gears ) ambazo zinasubiriwa kufungwa kwenye kiwanda cha kuzalisha bidhaa za ngozi cha Karanga kilichopo Mkoani Kilimanjaro. Prof...
  17. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania GE2020 CCM mkituonyesha hivyo viwanda 8477 kura zote zenu

    Habari waungwana! Ni dhahiri shahiri kuwa siasa za Afrika zina utofauti na mataifa mengine nje ya Afrika. Kuna dhihaka na kebehi moja inafanywa na viongozi wa CCM juu ya wananchi. Dar es salaam ndio mji wa kibiashara lakini kila nikizunguka sioni hivyo viwanda vipya. Ukikaa pale Mbezi Mwisho...
  18. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Tanzania ya viwanda katika picha

  19. Environmental Security

    JamiiForums Tanzania Bajeti inayothibitisha azma ya kuwa na Tanzania ya viwanda na taifa linalojitegemea

    Habari wanaJF, Sina shaka na weledi wa wanaJF wengi humu jamvini, ndio maana nina ujasiri wa kuleta thread hii njema kabisa kwa mustakabali wa taifa letu. Tukiondoa tofauti zetu za kiitikadi na kuja pamoja kama taifa tutatambua kuwa kwakweli bajeti hii ya 20/21, imelenga moja kwa moja...
  20. chiembe

    JamiiForums Tanzania Wizara ya viwanda na Biashara itangaze tarehe ya kuanza kwa maonyesho ya kimataifa ya biashara-sabasaba 2020

    Ni muda umefika tarehe itangazwe kuanza maonyesho ya kimataifa ya biashara sabasaba Wizara itoe mialiko kwa wafanyabiashara ndani na nje ya nchi kwa haraka #hapakazitu #MATEGE
Back
Top Bottom