viungo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. excel

    JamiiForums Tanzania Mnatumia viungo gani kulainisha hii mboga wazee?

    Mimi huwa napendelea karanga.. sijui nyie😅😅
  2. A

    JamiiForums Tanzania Nataka kuanza biashara ya viungo (spices)

    Nataka nianze kufanya biashara ya viungo kwa kuvifunga kisasa kwenye chupa na kuvipqki kisasa. Maana nimekuwa nikiviuza kwa kuvifunga kwenyeji dukani kwangu. Wazoefu wanipe uzoefu biashara ikoje mikoa Gani ina wateja nitumie njia Gani kujipenyeza sokoni.
  3. Mr Q

    JamiiForums Tanzania Kwanini kucha, nywele huendelea kukua hadi uzeeni na sio meno na viungo vingine?

    Pengine elimu ya viumbe ilinipita kando au mwalimu wangu hakugusia hilo katika ufundishaji wake au mimi sikukumbuka kuulizia hilo enzi ninasoma. Sasa Nakuja kwenu nikiamini mnaweza kunipa jibu litakalo nisaidia kuelewa ni kwanini baadhi ya viungo vya mwili kama kucha na nywele huendelea kukua...
  4. Mwalimu wa tuisheni

    JamiiForums Tanzania Mauaji Afrika Kusini: Amuua mwenzake, amkata Kichwa na kula viungo vya ndani sehemu ya tumbo

    Kwa Madiba kuna mambo, Jamaa amefanya kitendo cha kinyama sana kuutoa uhai wa mtu mwingine bila hata chembe ya huruma Muuaji alikua na bifu na Marehemu na alimfuata mpaka sehemu ya kazi kulianzisha, aliingia na visu viwili kimoja kikubwa na kingine kidogo kwaajili ya kutekeleza mauaji hayo...
  5. Aaliyyah

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupika makange ya samaki bila kutumia viungo vingi

    Natumain wazima na weekend inaenda vizuri Niwaletee recipe ya kupika makange ya samaki Mahitaji Samaki aliekaangwa Kitunguu maji na kitunguu swaumu nyanya za.kawaida(saga) na nyanya ya pakti,chumvi Pilpilili hoho na karot ( kata shape upendayo ) Pilipili manga kama utapendelea Nazi Kama...
  6. Aaliyyah

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupika chapati za maji ambazo hazina viungo vingi

    Natumaini mkopoa Tujifunze namna ya kupika chapati za maji Kwa njia rahisi na haraka pia ni moja ya vitafunwa ambavyo havina mambo mengi Mahitaji Ngano robo au kias unachopenda Kulingana na familia Yako Iriki au vanilla Sukari /chumvi ni vile upendavyo Yai moja au mawili Maji ya baridi Hatua...
  7. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Chagua viungo watatu wa kuanza katika timu yako katika list hii

    Wewe ndio kocha unataka uanze na viungo watatu, wachague hapa katika orodha hii.
  8. The Boss

    JamiiForums Tanzania List ya viungo 70 Liverpool wamewafatilia

    Interesting... viungo 70 sio mchezo.. 1.macalister. 2. sobozlai 3.manu Kone 4jude Bellingham 5.moise Caisedo 6.Romeo Lavia 7.Enzo Fernandez 8.Declan Rice 9.nicola Barela 10.cheick Doucore 11.Kalvin Philips 12. boubacar Camara 13.ibrahim Sangare 14. matheus Nunez 15.Conor Gallagher 16.joao...
  9. R-K-O

    JamiiForums Tanzania Sheria za kutoruhusu Mapadre na Masista kushiriki tendo zinachukulia cheo kina zima viungo?

    Tumbo limeumbwa likipata njaa mtu anatafuta chakula apunguze njaa, Yes kuna kufunga lakini sio moja kwa moja, labda iwe ni muujiza wa nguvu za ziada nje ya uumbaji wetu. Hamu ya kutaka kusex kwa mwanaume asie hanithi huwa haipekiki bila kujali ni mkimya kiasi gani, ni mstaarabu kiasi gani. hii...
  10. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Uchunguzi wa mapacha njiti waliochunwa ngozi ya uso wakamilika. Wanne kufikishwa Mahakamani kwa Uvunaji wa Viungo vya Binadamu

    Mkuu wa Mkoa wa Tabora Balozi Dkt. Batilda Burian @batilda.burian amesema jalada la uchunguzi wa tukio tata la Watoto pacha waliozaliwa kabla ya muda katika Kituo cha Afya Kaliua na mmoja wao kunyofolewa jicho la kulia na ngozi ya paji la uso, limekamilika na Watumishi wanne wa Kituo hicho...
  11. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Msumbiji: Akutwa na kichwa na viungo vya siri vya mtu kwenye mfuko

    JESHI la Polisi nchini Msumbiji linamshikilia mwanaume mmoja baada ya kumkuta na kichwa na sehemu za siri za mwanaume ambaye amekiri kuuua mtu na kukata viungo hivyo. Msemaji wa kamandi ya polisi ya Sofala, Dércio Chacate, amesema Watoto waligundua sehemu za miili hiyo kwenye mfuko wa plastiki...
  12. Mzee Saliboko

    JamiiForums Tanzania Hivi watu hawa viungo vyao vinafanyakazi kweli?

    Wapendwa poleni na majukumu. Kwaajili ya kuelimisha nahitaji kufahamu vizuri kuhusu kundi la binadamu ambao wanajinsia 2 (hymophroditism) kama sijakosea na binadamu wenye muonekano wa kike lakini wanauume bila uke. Wanahisia kweli za kimapenzi? Karibuni.
  13. mama D

    JamiiForums Tanzania Mama na binti yake wahukumiwa kwa kuuza viungo vya miili ya wafu

    Mmiliki wa zamani wa Chumba cha kuhifadhu maiti na mama yake wamehukumiwa kifungo cha jela huko Colorado baada ya kupasua mamia ya miili na kuuza sehemu za mwili. Waendesha mashtaka walisema Megan Hess, 46, na Shirly Koch, 69, walikata maiti 560 na kuuza viungo vya miili bila idhini kati ya...
  14. Kichina44

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Mashine ndogo ya kusaga na kukoboa (2 in 1) mahindi, mpunga, viungo vikavu

    MASHINE NDOGO YA KUSAGA NA KUKOBOA (2 in 1) mahindi, mpunga, viungo vikavu nk Mashine MPYA Bei 1,500,000/= Mashine ipo DAR ●Mashine ina pande mbili, upande mmoja ni wa kusaga na upande wa pili ni wa kukoboa. ●Inaweza koboa mpunga, mahindi, n.k ●Inaweza saga mahindi, mchele, manjano, kahawa...
  15. C

    JamiiForums Tanzania Ishara za viungo vyangu

    Wanajamii wa jukwaa hili, naombeni wenye utaalam mnipe muongozo katika hili. Mwaka juzi mwezi wa sita nilikuwa niki-experience kitu cha tofauti sana. Ilikuwa inatokea tu automatically ninakunja vidole viwili yaani dole gumba na kidole kinachofuatia baada ya dole gumba halafu vinabaki vidole...
  16. MK254

    JamiiForums Tanzania Putin atafuta mbinu nyingine kwa kutuma viungo vya wanyama kwenye balozi 5 za Ukraine Ulaya

    Urusi baada ya kuishiwa mbinu na kupoteza wanajeshi wengi wamekosa njia wameamua kujaribu vitisho vya kijinga, wanatuma viungo vya wanyama hususan macho kwenye vifurushi kwenda kwa balozi za Ukraine kwenye mataifa ya huko Ulaya, ila na huko watapigwa tu.... Ukrainian embassies in at least five...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Kiteto: Wamuua bodaboda na kunyofoa viungo vya mwili

    Watatu wakazi wa Kiteto mkoani Manyara akiwemo mwalimu wa sekondari Lesoiti, wamefikishwa katika Mahakama ya wilaya ya Kiteto, kwa tuhuma za kumuua dereva bodaboda na kunyofoa baadhi ya viungo vyake kwa imani za kishirikina. Watuhumiwa hao wamefikishwa mahakamani leo Novemba 28, 2022, baada ya...
  18. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Simba yatambulisha Kocha Mpya wa Viungo

    Klabu ya Simba imemtambulisha Kelvin Mandla kutoka Afrika Kusini kuwa kocha wa viungo (Fitness Coach) wa timu hiyo.
  19. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Kaburi lafukuliwa Mbeya, mwili wanyofolewa viungo

    Jeshi la Polisi Mkoani Mbeya linawasaka watu waliohusika kufukua kaburi na kunyofoa baadhi ya viungo vya mwili wa Neema Enock (24) uliozikwa kwenye kaburi hilo wilayani Rungwe. Akizungumza na Mwananchi leo Jumanne Novemba 8, 2022 Kamanda wa Polis Mkoa wa Mbeya, Benjamin Kuzaga amesema tukio...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Mwenyekiti wa CCM, Diwani, Afisa Mtendaji washikiliwa kwa tuhuma za mauaji kisa wizi wa mihogo

    David Shilime (Diwani), William Nengo (Mwenyekiti wa CCM Kijiji cha Ikoni B) na Tiluloza Alfonce (Afisa Mtendaji) wote wa Kata ya Buzilasoga Wilayani Sengerema ni kati ya watuhumiwa 14 wanaoshikiliwa kwa tuhuma za mauaji ya Getruda Dotto mkazi wa kijiji hicho wakimtuhumu kwa wizi wa mihogo...
Back
Top Bottom