viungo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Elsa Marie

    Viungo vya binadamu vinavyokatwa kwa sababu mbalimbali hupelekwa wapi?

    Leo nilikuwa hospitali moja kwaajili ya matibabu. Nikamuona mzee mmoja kwenye wheelchair, ana mguu mmoja mwingine umekatwa kuanzia kwenye goti. Hii ikapelekea nijiulize hivi viungo vinavyokatwa kwasababu ya magonjwa kama kisukari na mengine huwa vinapelekwa wapi. Ni mgonjwa anapewa kiungo chake...
  2. Gol D Roger

    Viungo vitatu vinavyoharibu maisha ya wanaume wengi

    Karibu... 1. MDOMO Jifunze ku-control mdomo wako, mdomo unaharibu mdomo unatengeneza, unatakiwa ujue kutofautisha kati ya muda sahihi wa kuongea na muda wa kunyamaza na kusikiliza wengine. Usijiongelee mambo mabaya hata kama mnataniana na washkaji, jifunze kuwatamkia watu mema na kuwaambia...
  3. BigTall

    Viungo vya Mtoto aliyepotea vyapatikana Monduli, Ripota wa Millard Ayo anyang’anywa kadi ya kamera wakati akirekodi

    Kuna tukio limetokea hapa mtaani kwetu Monduli, Arusha, kuna Watoto wawili walipotea katika mazingira ya kutatanisha siku kadhaa zilizopita. Leo tarehe 19, Septemba 2024 mmoja kati ya Watoto wale mwili wake umeonekana maeneo fulani, Mwandishi wa MillardAyo.com akafika hadi eneo la tukio kwa...
  4. M

    Msaada; Wapi naweza kupata kwa wingi Karafuu, Ufuta, Dengu na Pilipili Manga?

    Habari WanaJF! Nahitaji link, muhusika (supplier), mkulima au mwenye kufahamu ninapoweza kupata kwa wingi KARAFUU, UFUTA, DENGU na PILIPILI MANGA. Nina mnunuzi tayari mkononi. Naomba msaada tafadhali pa kuanzia na bei zilizo rafiki. Naweza kufika popote kufata mzigo kwa gharama zangu lakini...
  5. M

    Simba queens yasajili viungo kutoka Yanga princess

    kikosi cha timu ya wanawake simba queens kimesajili viungo wapya kutoka timu ya yanga princess. viungo hao washambuliaji ni Precius Christopher, kiungo mkabaji Saiki Atinuke na mlinzi wa kushoto Winkate Kaari. mambo ya ubaya ubwela
  6. USSR

    Polisi Tanzania: Hakuna watoto waliotekwa, kuuawa na kunyofolewa viungo, puuzieni wazushi hao

    Jeshi la polisi makao makuu limetoa taarifa ya kupinga taarifa za taharuki mitaani za watoto kutekwa ,kuuwawa na kunyofolewa viungo.
  7. Swahili AI

    Dodoma: Mtoto wa miaka minne akutwa amefariki baada ya kukatwa mkono na sehemu za siri

    Mtoto wa miaka minne jinsi ya kiume amekutwa ametekelezwa nyuma ya nyumba kwenye makazi ya watu Kisasa majumba 300 baada ya kukatwa mkono wa kulia na sehemu za siri na watu wasiojulikana na kutokomea navyo kusikofahamika. Siku kadhaa hapo nyuma yameshatukia matukio kama haya mawili ambayo...
  8. Southern Giant

    Imejitokeza sintofahamu ya watoto kupotea na kukutwa wakiwa wamefariki huku miili yao ikiwa haina baadhi ya viungo, mamlaka ichuke hatua stahiki

    Wakuu amani ya Mungu iwe nanyi. Kumekua na taharuki kwa wakazi wa Temeke, Tandika, Mbagala na Vikindu kwa ujumla wake. Imejitokeza sintofahamu ya watoto kupotea na kukutwa wakiwa wamefariki huku miili yao ikiwa haina baadhi ya viungo. Majuma kadhaa yaliyopita maeneo ya Mbagala Mgeni nani...
  9. Vincenzo Jr

    Karibu sana Jangwani Sekhwela Seroto, Mtaalam wa Tiba ya Viungo (Physiotherapist)

  10. Mkalukungone Mwamba

    Kwa hii safu ya viungo washambuliaji tutaona mengi msimu ujao 2024/2025

    Kwa hii safu ya viungo washambuliaji tutaona mengi msimu ujao 2024/2025 Leo Yanga imemtambulisha kiungo mshambuliaji Clatous Chama akitokea Simba ambapo amemaliza mkataba wake Ujio wake ndani ya Yanga ni jambo la furaha sana kwa mashabiki wa Yanga maana ni mchezaji ambaye aliibwa sana hati kutia...
  11. ndege JOHN

    Kazi ambazo lazima uwe mtu wa mambo mengi

    1.sekta ya Madini - ukikutana na mwekezaji wa Madini huko machimboni wanakuwaga na wasiwas muda wote sijui wa kuibiwa yaani rahisi sana kuchanganyikiwa ukiwa sekta hio 2.sekta ya ufugaji - hawa wachunga ng'ombe wanakuwa na akili zinazowaza ng'ombe tu muda wote.
  12. Brain Kingdom

    Vipipi kifua, Colgate na Asali mpaka sasa ndio viungo vya ukweli kwa shoo za kibabe zinazoacha legacy kwenye mapenzi

    Shalom, Ninawajibu wa kuwapa taarifa, kuwasanua, na kuwakumbusha kuhusu umuhimu wa kuyaenzi mapenzi katika namna yenye ubora, tija, yenye kuacha Alama ama Legacy katika mapenzi. Unapoingia kwenye mapenzi hakikisha unafahamu nyenzo muhimu zenye kuacha Alama ama Legacy kwenye Mapenzi...
  13. Agri Acres farm

    INAUZWA Nauza miche ya matunda na viungo

    Kwa mahitaji ya Miche ya muda mfupi ;- *Miembe *Michungwa *Chenza *Parachichi *Passion *Pera *Apple Miche ya viungo -mdalasini -mchaichai -mint -rosemary -ukwaju -iliki n.k **Wasiliana nasi kwa namba 0683017311 call&Whatsapp **Pia unaweza kufika kwenye kitalu chetu Tunapatikana morogoro mjini...
  14. Edward Mwesongo

    Miche ya matunda, viungo, mbao na mingine mingi inapatikana

    Wapendwa wanna JF popote mlipo Tanzania karibuni mjipatie miche mbali mbali kutoka mkoani Morogoro na tuna kusafilishia popote ulipo Tanzania miche ipo ya kila aina na iko ya muda mfupi na ya muda mrefu pia Miembe aina zote. Parachichi aina zote za biashara na nyumbani. Mipera iko...
  15. M

    Inasemekana kutembeatembea kwenye Mawe au kokoto ni Tiba nzuri Ya viungo vya mwili

    Habari za mida wakuu, Penye wengi pana mengi katika pitapita zangu mtandaoni nikaona post MTU akielezea kuwa ...kusimama kwenye Mawe madogo madogo kama kokoto ni tiba nzuri ya maumivu ya miguu Na mgongo Na joints. Hilo zoezi unafanya kila siku asubuh Na jioni Kwa muda wa dk 15 mpaka 30...
  16. excel

    Mnatumia viungo gani kulainisha hii mboga wazee?

    Mimi huwa napendelea karanga.. sijui nyie😅😅
  17. A

    Nataka kuanza biashara ya viungo (spices)

    Nataka nianze kufanya biashara ya viungo kwa kuvifunga kisasa kwenye chupa na kuvipqki kisasa. Maana nimekuwa nikiviuza kwa kuvifunga kwenyeji dukani kwangu. Wazoefu wanipe uzoefu biashara ikoje mikoa Gani ina wateja nitumie njia Gani kujipenyeza sokoni.
  18. Mr Q

    Kwanini kucha, nywele huendelea kukua hadi uzeeni na sio meno na viungo vingine?

    Pengine elimu ya viumbe ilinipita kando au mwalimu wangu hakugusia hilo katika ufundishaji wake au mimi sikukumbuka kuulizia hilo enzi ninasoma. Sasa Nakuja kwenu nikiamini mnaweza kunipa jibu litakalo nisaidia kuelewa ni kwanini baadhi ya viungo vya mwili kama kucha na nywele huendelea kukua...
  19. Mwalimu wa tuisheni

    Mauaji Afrika Kusini: Amuua mwenzake, amkata Kichwa na kula viungo vya ndani sehemu ya tumbo

    Kwa Madiba kuna mambo, Jamaa amefanya kitendo cha kinyama sana kuutoa uhai wa mtu mwingine bila hata chembe ya huruma Muuaji alikua na bifu na Marehemu na alimfuata mpaka sehemu ya kazi kulianzisha, aliingia na visu viwili kimoja kikubwa na kingine kidogo kwaajili ya kutekeleza mauaji hayo...
  20. Aaliyyah

    Jinsi ya kupika makange ya samaki bila kutumia viungo vingi

    Natumain wazima na weekend inaenda vizuri Niwaletee recipe ya kupika makange ya samaki Mahitaji Samaki aliekaangwa Kitunguu maji na kitunguu swaumu nyanya za.kawaida(saga) na nyanya ya pakti,chumvi Pilpilili hoho na karot ( kata shape upendayo ) Pilipili manga kama utapendelea Nazi Kama...
Back
Top Bottom