vituko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni kweli kwamba hatuna Software Developers, Web Developers, UX/UI Designers hadi tunatengeneza vituko?

    Yaan nimeduwaa sijaelewa una maanisha nini, sawa wewe umeijenga website kwa ajili ya desktop sawa sijakataa nakubariana na wewe lakini je huo muonekano wake UI umeangalia kwenye simu zetu hizi za smartphone inaonekanaje in accordance to UX umeuliza users wako kadhaa wanaonaje au ipo ipoje...
  2. JamiiForums Tanzania Ninanacheka sana nionapo vituko kama hivi

  3. D

    JamiiForums Tanzania Ila hii nchi hii sijui dunia inatuonaje sio kwa vituko hivi

  4. JamiiForums Tanzania Vituko Sudan: Omar Al Bashir hajulikani alipo

    Grereza la Kober analoshikiliwa aliyekuwa rais wa Sudan, Omar Albashir limevunjwa na mahabusu wote kukimbia. Vikundi vinavyopigana kila kimoja kinaonesha kutokuwa na uhakika wa sehemu alipo kiongozi huyo wa zamani anayetafutwa na ICC. Jeshi la Sudan chini ya generali Burhani limesema kiongozi...
  5. JamiiForums Tanzania Vituko vya Kigoma

    Aisee Kigoma kuna Mambo. Wanawake Ni mwendo wa ubishi na lugha ya ajabu tu. Nimjibuje huyu kwa mfano😅😅😅
  6. S

    JamiiForums Tanzania Mradi wa nguzo za umeme za zege umeishia wapi? Nchi ina vituko hii!!

    Bila shaka vita ilikuwa kubwa Sana. Na hatimaye wenye mashamba ya miti wameshinda. Siku hizi nguzo za zege siyo tu hazisambazwi bali pia haziongelewi tena. Yule bwana alikuwa na % yake kwenye viwanda vya nguzo hizo. Alipokufa kafa navyo. #Tanzania yangu!
  7. JamiiForums Tanzania Vituko na vimbwanga safarini

    karibu tufurahishane, na kushare visa mbalimbali ambavyo umewahi kukutana navyo ukiwa safarini. kuna siku nilipanda basi(kilimanjaro exp) tanga (kabuku) ikitokea arusha to dar mida ya saa3 usiku wakati tumeiacha msata maeneo ya mwetemo tukiwa tunaitafuta kiwangwa, basi ilipata hitirafu na...
  8. JamiiForums Tanzania Vituko vya Mwisho wa Mwezi

    Hatari sana. Asubuhi jamaa kaja na Uber kazini. Mwingine kaja na Bolt. Ila kuna tarehe zikifika hawa jamaa huomba hadi tsh 600 ya nauli. Mwisho wa mwezi english inapanda sana na bashasha ofisini ni kubwa. Husikii malalamiko kuwa mshahara ni mdogo au mwajiri anatunyonya. Gate man namsikia...
  9. JamiiForums Tanzania Vituko vya jikoni, ushawahi fanya kitu gani wakati unapika?

    Mko poa? Salaam, Jikoni kuna wakati yanatukia matukio jikoni wakati unapika mpaka unatamani unashangaa, mwenzenu nilimwaga mboga wakati napika ugenini kisa kapita panya na sikuwa najua kama nyumba ina panya. Nimeaza kupika ile naipuka mboga Panya kakatiza nikaona mkia tu nikadhani nyoka...
  10. JamiiForums Tanzania Stori na gumzo kutoka vijiwe vya kahawa

    Vijiwe vya kahawa nchi hii ni sehemu mojwapo maarufu ambayo mengi huzungumzwa na kujadiliwa yanayohusu siasa za ndani na nje ya nchi,historia mahusiano,dini, biashara, uchumi n.k. Mambo yanayojadiliwa mara nyingi huegemea katika nadharia za kinjama(consipiracies theories)...
  11. JamiiForums Tanzania Tupia hapa vibweka na vituko vya manabii wa nyakati za mwisho

    Waumini wa Kanisa la Legio Maria: "Tunatoa meno 6 ya chini ili kumsaidia Mungu atutambue (identify) kwa urahisi"
  12. JamiiForums Tanzania Huku kwetu jitu zima lingekimbia kuliko hata Fuso

    Kwa kukutana na hiki kiumbe mtu mzima anaweza kutoka mpera mpera mpaka na haja kuu juu
  13. JamiiForums Tanzania Vifahamu vituko vya rapa 50 cent

    Salaam wakuu,Leo katika historia ningependa tuvijue baadhi ya vituko vya rapa 50 cent. Anaitwa Curtis james Jackson japo wengi tunamfahamu kwa jina lake la kisanaa 50 cent. Amezaliwa 6/7/1975 ndani ya jiji la new York City. Ambapo nyimbo iliyomtambulisha zaidi ni in da club ilikuwemo kwenye...
  14. JamiiForums Tanzania Vituko ulivyowahi kusikia/kuona kwenye Daladala

    Kuna siku asubuhi, nilisikia mtoto alimuliza mama yake "Mama tunaenda wapi, mbona hatujaoga?" Wewe umesikia/kuona nini?
  15. M

    JamiiForums Tanzania Mwendelezo vituko IFM Mwanza Campus, TV yawashwa chumba cha mtihani

    Hii kampasi majanga yanazidi kuongezeka na wahusika msipo chukua hatua hamtutendei haki wanafunzi. Leo jumapili sisi wanafunzi wa BIRM 3 tukiwa tunafanya mtihani wa strategic management lecture 7, tukiwa dakika za mwishoni ghafla aliingia mfanyakazi wa computer lab Mr Swai huku kashika remote...
  16. JamiiForums Tanzania Trilioni 1.5 Bwawa la Nyerere limepotelea wapi

    Rais Dk. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kushuhudia uzinduzi wa zoezi la kuingiza maji kwenye Bwawa la Julius Nyerere Disemba 22, 2022 badala ya Novemba 2021 iliyokuwa awali. Mheshimiwa Rais pamoja na hatua hiyo muhimu bado kuna mambo ya msingi sana ambayo Waziri wako wa Umeme hajayaweka wazi...
  17. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nini ufanye mkeo anapoanza vituko ndani ya ndoa?

    Kwa moyo wa dhati, naomba tulijadili hili kiutu uzima, huende tukaokoa maisha ya mtu mmoja.
  18. JamiiForums Tanzania Tetesi: Job Ndugai anajipanga kuliachia Jimbo la Kongwa kwa mkewe Bi. Fatma

    Aliyekuwa Spika wa Bunge, Job Ndugai anajipanga kumuachia jimbo la Kongwa mkewe Bi. Fatma Mganga ambaye ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Dodoma. Ndugai ameanza kampeni na figisu hizi kwa kupanga safu ya viongozi wa CCM ambapo, amemlazimisha aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM Wilaya Bwana Abed Mussa...
  19. JamiiForums Tanzania Matukio na vituko ulivyokutana navyo kwa waganga wa kienyeji

    Tujuzane matukio au vitu tulivyoona au kukutana navyo kwa waganga wa jadi au Kienyeji vya kutisha na kuchekesha, Na hii itawafunza Wengine ambao wanategemea kwenda au ambao hawajui kinachoendelea huko Mimi kama mwana siasa na mfanyabiashara haya mambo kuna wakati unataka kuyakwepa lakini kundi...
  20. JamiiForums Tanzania Matukio, vituko, shuhuda na taarifa zoezi la sensa!

    Nawasalimia kwa jina la Tanzania. Bila shaka kila mdau anaelewa zoezi la sensa kama aina ya utafiti ilivyo ni nyeti na lina makorokoro mengi hadi ya kiimani. Kuna mambo mengi ambayo tunaweza kushirikishana kabla, wakati na baada ya zoezi. Binafs niliwai kushiriki utafiti mkubwa kuhusu watu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…