Vifahamu vituko vya rapa 50 cent

Intelligent businessman

JF-Expert Member
Sep 6, 2022
26,179
52,892
Salaam wakuu,Leo katika historia ningependa tuvijue baadhi ya vituko vya rapa 50 cent.

images (1).jpeg

Anaitwa Curtis james Jackson japo wengi tunamfahamu kwa jina lake la kisanaa 50 cent.

Amezaliwa 6/7/1975 ndani ya jiji la new York City. Ambapo nyimbo iliyomtambulisha zaidi ni in da club ilikuwemo kwenye album inayoitwa get rich or die trying.

Unajua kila mtu duniani iwe star, kiongozi wa dini,wafanyabiashara huwa wana vituko ambavyo ukivisikia unaweza shangaa au kubaki kujiuliza maswali??
Basi nakuletea vituko vya rapa 50 cent

01- bifu lake na rapper ja rule, unajua imekuwa si Jambo geni kwa marapa duniani kote kuingia kwenye mizozo, hii husababishwa na chuki tu.
Hapa kitakachokushangaza ni style ambayo rapa 50 cent aliitumia dhidi ya rapa the game ambapo rapa huyo aliamua kununua ticket zaidi ya 200 seat za mbele, zilizokuwa zimeandaliwa katika tamasha la rapa ja rule.

Yaani Ni sawasawa na mwalimu ukafundishe darasa tupu, ja rule kajiandaa kwa ajili ya show ila Cha kushangaza alipofika ukumbini alikuta watu wachache Sana, kuuliza anaambiwa tiketi zimeisha na zote zimenunuliwa na mtu mmoja nae ni 50 cent, hii ilikuwa dhaidi ya dharau.

02- aliahidi kulipa zaidi ya bilioni1
endapo bondia mayweather angesoma kitabu cha Harry Potter, ile kauli ya ukimwaga mboga mi namwaga ugali basi hapa ndo ilithibitishwa.
Hawa jamaa walikuwa ni marafiki damu damu kabisa, kila mmoja alikuwa anamkubali mwenzie kupita kiasi, sijui nini kilitokea ghafla Mayweather akaanza kumshambulia rapa 50 cent kwa maneno machafu na dhihaka.
Alidiriki kumuambia 50 cent kuwa ni mtu asiyejielewa Wala kujitambua, ni rapa mchovu anaebebwa na ngozi nyeusi,
Basi mr 50 cent akaona isiwe tabu, aliitisha mkutano wa waandishi wa habari na kuwaeleza ya kwamba yupo tayari kumlipa Mayweather zaidi ya bilioni 1 endapo angesoma kitabu Cha Harry Potter.
wapenda umbea wakamfata Mayweather ndugu yetu si usome hicho kitabu ili upige pesa lakini mpaka leo ni kimya.. sijui ni kweli

03-aliwaambia waandaaji wa tuzo za Emmy wayabusu makalio yake, waandaaji wa tuzo hizo ni Kama walikuwa wanambagua au kujaribu kumpuuza rapa 50 cent kutokana na kitendo chao Cha kutomtaja au kuorodhesha uwepo wake au tamthilia yake ya power katika tuzo zao,
basi jamaa akaona isiwe tabu kwa kuwa tamthilia yake inafanya vizuri na ina mauzo makubwa basi haina haja ya kuwaogopa wakandamizaji hawa, aliwatusi kwa kuwaambia wayabusu makalio yake .

04- alijaribu kuuza tisheti zenye picha ya tumbo la Rick Ross, jamaa yeye kila kitu ni fursa, Sasa baada ya kuona rapa Rick Ross ananenepeana hovyo basi akaamua kutengeneza tisheti zenye picha ya tumbo la mchizi dah
50-cent-rick-ross-shirt-instagram.jpg

till next time guys💪
 
Acha uwongo show ilikuwa ya ja rule
Salaam wakuu,Leo katika historia ningependa tuvijue baadhi ya vituko vya rapa 50 cent.

View attachment 2467710
Anaitwa Curtis james Jackson japo wengi tunamfahamu kwa jina lake la kisanaa 50 cent.

Amezaliwa 6/7/1975 ndanj ya jiji la new York City. Ambapo nyimbo iliyomtambulisha zaidi ni in da club ilikuwemo kwenye album inayoitwa get rich or die trying.

Unajua kila mtu duniani iwe star, kiongozi wa dini,wafanyabiashara huwa wana vituko ambavyo ukivisikia unaweza shangaa au kubaki kujiuliza maswali??
Basi nakuletea vituko vya rapa 50 cent

01- bifu lake na rapper the game, unajua imekuwa si Jambo geni kwa marapa duniani kote kuingia kwenye mizozo, hii husababishwa na chuki tu.
Hapa kitakachokushangaza ni style ambayo rapa 50 cent aliitumia dhidi ya rapa the game ambapo rapa huyo aliamua kununua ticket zaidi ya 200 seat za mbele, zilizokuwa zimeandaliwa katika tamasha la rapa the game.

Yaani Ni sawasawa na mwalimu ukafundishe darasa tupu, the game kajiandaa kwa ajili ya show ila Cha kushangaza alipofika ukumbini alikuta watu wachache Sana, kuuliza anaambiwa tiketi zimeisha na zote zimenunuliwa na mtu mmoja nae ni 50 cent, hii ilikuwa dhaidi ya dharau.

02- aliahidi kulipa zaidi ya bilioni1
endapo bondia mayweather angesoma kitabu cha Harry Potter, ile kauli ya ukimwaga mboga mi namwaga ugali basi hapa ndo ilithibitishwa.
Hawa jamaa walikuwa ni marafiki damu damu kabisa, kila mmoja alikuwa anamkubali mwenzie kupita kiasi, sijui nini kilitokea ghafla Mayweather akaanza kumshambulia rapa 50 cent kwa maneno machafu na dhihaka.
Alidiriki kumuambia 50 cent kuwa ni mtu asiyejielewa Wala kujitambua, ni rapa mchovu anaebebwa na ngozi nyeusi,
Basi mr 50 cent akaona isiwe tabu, aliitisha mkutano wa waandishi wa habari na kuwaeleza ya kwamba yupo tayari kumlipa Mayweather zaidi ya bilioni 1 endapo angesoma kitabu Cha Harry Potter.
wapenda umbea wakamfata Mayweather ndugu yetu si usome hicho kitabu ili upige pesa lakini mpaka leo ni kimya.. sijui ni kweli

03-aliwaambia waandaaji wa tuzo za Emmy wayabusu makalio yake, waandaaji wa tuzo hizo ni Kama walikuwa wanambagua au kujaribu kumpuuza rapa 50 cent kutokana na kitendo chao Cha kutomtaja au kuorodhesha uwepo wake au tamthilia yake ya power katika tuzo zao,
basi jamaa akaona isiwe tabu kwa kuwa tamthilia yake inafanya vizuri na ina mauzo makubwa basi haina haja ya kuwaogopa wakandamizaji hawa, aliwatusi kwa kuwaambia wayabusu makalio yake .

04- alijaribu kuuza tisheti zenye picha ya tumbo la Rick Ross, jamaa yeye kila kitu ni fursa, Sasa baada ya kuona rapa Rick Ross ananenepeana hovyo basi akaamua kutengeneza tisheti zenye picha ya tumbo la mchizi dah View attachment 2467804

till next time guys
 
Kwangu hakuna wimbo mkali aliowahi kuimba kama Ayo technology fi justin Timberlake na Baby by me ft Neyo.
 
Back
Top Bottom