viti maalum

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. PreGE2025 Tume yateua madiwani wanawake wa viti maalum watano

    Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Mhe. Jaji (R) Jacobs Mwambegele (kushoto) akiongoza kikao cha Tume jijini Dodoma ambapo pamoja na mambo mengine kiliteua madiwani watano (5) wanawake wa viti Maalum. Pamoja nae ni Katibu wa Tume na Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya...
  2. Mbunge Norah Waziri Mzeru (Mbunge Viti Maalum Mkoa wa Morogoro) Atembelea Katika Shule ya Sekondary Lupanga Mkoani Morogoro

    Mbunge Norah Waziri Mzeru (Mbunge Viti Maalum Mkoa wa Morogoro) Atembelea Katika Shule ya Sekondary Lupanga Mkoani Morogoro Mbunge Viti Maalum Mkoa wa Morogoro, Mhe. Norah Waziri Mzeru amewaasa wahitimu wa Kidato cha Nne Katika Shule Ya Sekondary Lupanga Mkoani Morogoro wasome kwa bidii kwa...
  3. Meatu: Aliyekuwa Mbunge wa CCM ahamia CHADEMA

    Taarifa kutoka kwenye Oparesheni 255, ambayo iko Shinyanga zinaeleza kwamba, Mbunge wa Viti Maalum na Mkuu wa Wilaya wa zamani wa Meatu amehamia CHADEMA. Usajili huo Mpya umefanyika katika Mkutano Mkubwa wa hadhara uliofanyika Meatu . TOA MAONI YAKO
  4. Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Mkoa wa Mbeya Bahati Ndingo Ajiuzulu, Ili Kugombea Nafasi ya Ubunge wa Jimbo la Mbarali

    Spika wa Bunge Mheshimiwa Dkt. Tulia Ackson (Mb) amemwandikia Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Jaji Jacob Mwambegele barua ya kumuarifu kuwepo kwa natasi moja wazi ya kiti cha Ubunge Viti Maalum Chama Cha Mapinduzi (CCM). Mheshimiwa Spika ameandika barua hiyo kufuatia kupokea barua...
  5. Nimeambiwa jirani yetu yupo mbunge wa viti maalum anaishi hapo

    Habari wana jf Ndio hivyo. Huwa naona Landcruiser moja (v8 bila shaka) inapita sehemu na inaingia mjengo fulani hivi. Sasa juzi hapa katika stori za mtaani ndio nikathibitishiwa anaishi mbunge wa viti maalum. Huwa pia namsikia akitajwa kwenye masuala ya jumuiya (dini) ila sijawahi kumwona...
  6. Mbunge Zuena Bushiri CCM Viti Maalum Kilimanjaro ashindwa kujibu maswali ya Mkataba wa DP world na Serikali kwenye mkutano wa UWT

    Kuna kundi la Wabunge wanawake wanapita wakiitisha mikutano ya UWT kule Kilimanjaro. Changamoto inayowapata ni kubwa na wanaonewa huruma. Wanachapwa maswali na wanashindwa kujibu. Kwa hali hii CCM ijitafakari na inatumie mbinu Chagua na nyingi ila kufanikiwa ni ziro. Jana tarehe 30.7.2023...
  7. Milioni 29 Zatolewa na Mbunge wa Viti Maalum Katavi Kuwainua Wanawake Kiuchumi

    MBUNGE MARTHA MARIKI ACHANGIA MILIONI 29 VIKUNDI VYA WANAWAKE KATA ZOTE ZA KATAVI ILI KUJIKWAMUA KIUCHUMI Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Katavi, Mhe. Martha Festo Mariki tarehe 03 Julai, 2023 ameanza ziara rasmi kutembelea Kata zote za Mkoa wa Katavi na kuzungumza na wananchi. Katika ziara...
  8. Mbunge Viti Maalum CHADEMA Ammwagia Sifa Rais Samia Bungeni

    Mbunge wa Viti Maalumu, Esther Matiko amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuendeleza miradi mbalimbali ya maendeleo aliyoikuta pamoja na kuanzisha miradi mipya huku akipendekeza maslahi ya askari magereza yaboreshwe. Hayo ameyasema leo Alhamis Juni 22, 2023 wakati akichangia mjadala wa...
  9. Mbunge wa Viti Maalum Kundi la Vijana anayetokea Zanzibar Mhe. Latifa Juwakali Wakati Akichangia Hotuba ya Bajeti Wizara ya Elimu

    MBUNGE LATIFA JUWAKALI AKICHANGIA HOTUBA YA BAJETI WIZARA YA ELIMU 2023-2024 BUNGENI JIJINI DODOMA Mbunge wa Viti Maalum Kundi la Vijana anayetokea Zanzibar Mhe. Latifa Juwakali amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kwa maono makubwa na jinsi...
  10. Mbunge wa Viti Maalum, Bupe Mwakang'ata: Naomba Serikali ianzishe Mashamba ya Mbegu hapa nchin

    MBUNGE BUPE MWAKANG'ATA AKICHANGIA HOJA YA BAJETI YA WIZARA YA KILIMO Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Rukwa Mhe. Bupe Mwakang'ata tarehe 09 Mei, 2023 alichangia hoja ya Bajeti ya Wizara ya Kilimo iliyosomwa Bungeni na Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe. "i. Mfano, sisi Mkoa wa Rukwa Mbegu...
  11. TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) yateua watatu viti maalum vya udiwani

    TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imefanya uteuzi wa Madiwani watatu (3) Wanawake wa viti maalum kuziba nafasi zilizoachwa wazi katika Halmashauri tatu za Tanzania bara. Uteuzi huo umefanyika kwa mujibu wa kifungu cha 86A (1) cha Sheria ya Uchaguzi ya Serikali za Mitaa, Sura ya 292 kikisomwa...
  12. Sylivia Francis Sigula - Mbunge Viti Maalum kupitia kundi la Vijana

    Mhe. Sylivia Francis Sigula - Mbunge Viti Maalum kupitia kundi la Vijana Mhe. Sylivia Francis Sigula, Mbunge Viti Maalum kupitia kundi la Vijana tarehe 05 Mei, 2023 alipata nafasi ya kuchangia suala la Tanga Cement na Twiga Cement wakati wa kuwasilishwa kwa hoja ya bajeti ya Uwekezaji, Viwanda...
  13. Jackline Ngonyani: Nashauri mchakato wa Twiga Cement kuinunua Tanga Cement uanze upya

    Mhe. Jackline Ngonyani, Mbunge Viti Maalum Mkoa wa Ruvuma Mhe. Jackline Ngonyani, Mbunge Viti Maalum Mkoa wa Ruvuma tarehe 04 Mei, 2023 alipata nafasi ya kuchangia suala la Tanga Cement na Twiga Cement wakati wa kuwasilishwa kwa hoja ya bajeti ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara iliyosomwa na...
  14. CHADEMA wamesahau suala la wabunge wao feki viti maalum

    Nchi hii hakika ina vioja. Wabunge wametemwa na chama chao kwa kugushi na kujiteua viti maalum. Ajabu mwaka wa tatu umeanza na kesi yao ndio kwanza mbichi serikali ndio mtetezi kwa bunge wanaolimiliki kuwakingia kifua. Ni kitu cha ajabu sana. Watu wanakula mishahara na posho huku hawana chama...
  15. Ziara ya Rose Tweve Mbunge Viti Maalum mkoa wa Iringa

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Iringa Rose Tweve ameendelea na ziara yake katika Wilaya ya Mufindi, Kata ya Saohill ambapo ameshiriki kikao cha Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Kata ya Upendo, Mufindi. Ziara hiyo ni muendelezo wa kazi za Mbunge Tweve maeneo mbalimbali Mkoa wa Iringa kukagua...
  16. Juliana Shonza afanya ziara ya kimkakati

    MHE. JULIANA SHONZA, MBUNGE (UWT) CCM VITI MAALUM MKOA WA SONGWE AFANYA ZIARA YA KIMKAKATI Katika ziara yake iliyoanza mnamo tarehe 18 Februari, 2023 Mhe. Juliana Daniel Shonza alifika Wilaya ya Ileje na kubisha hodi kwa Katibu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Ileje komredi Hassan...
  17. Mbunge wa Viti Maalum UWT Mkoa wa Pwani Hawa Mchafu amekabidhi vifaa vya michezo kwa vijana wa Raja Sports Academy

    Mbunge wa Viti Maalum (UWT) CCM Mkoa wa Pwani Hawa Mchafu amekabidhi vifaa vya michezo (Mipira na Jezi) kwa vijana wa Raja Sports Academy iliyopo Kata ya Mtongani Wilaya ya Kibaha Vijijini Mkoa wa Pwani. Hawa Mchafu(Mb) katika ziara yake ameungana na timu ya Madiwani wa Viti Maalum wakicheza...
  18. M

    SI KWELI CHADEMA kupeleka majina mengine ya wabunge Viti Maalum Bungeni

    MADAI Taarifa zinaenea mitandaoni kuwa CHADEMA watapeleka majina ya wabunge Viti Maalum Bungeni pamoja na kuanza kuchukua ruzuku ambayo wameigomea kwa zaidi ya mwaka mmoja sasa. Zaidi ya hayo inadaiwa Bunge litaridhia Halima Mdee na wenzake kuondolewa bungeni baada ya kikao cha Baraza kuu...
  19. Wakili wa kina Halima Mdee aelezea kwanini Spika hajawaondoa Bungeni Wabunge hao wa Viti Maalum

    Wakili Edson Kilatu anayesimamia suala la Halima Mdee na wabunge wenzake 18 amenukuliwa akisema: “Baada ya kesi ya wateja wangu Halima Mdee na wenzake kutupwa, tulirudi kufanya marekebisho, alfajiri ya jana (Juni 23, 2022) tukawasilisha nyaraka Mahakamani kwa njia ya mtandao, hivyo Spika...
  20. Kitila Mkumbo awakosoa CHADEMA juu ya kuwafukuza wabunge wa viti maalum

    Mbunge wa Ubungo Kitila Mkumbo amekosoa hatua ya CHADEMA ya kuwafukuza wabunge 19 wa viti maalumu walioteuliwa kwa tiketi ya chama hiko. Amesema "Inaogopesha kuona njia pekee ya CHADEMA kutatua migogoro ya ndani ni kufukuzana. Duniani kote vyama vya upinzani vinaongoza kuwa na utamaduni wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…