visa

  1. FStiveb

    JamiiForums Tanzania Interview ya visa ubalozi wa Marekani

    Jamani naombeni msaada wa mawazo juu ya kufanya malipo online nahitaji kulipia visa ya Canada Leo siku ya nne. kila nikilipia sipati OPT code kutoka bank ili niingize kukomferm malipo, lingine nahitaji mwenye kujua nimaswali gani haswa wanauliza pale ubalozi wa Marekani maana Nina interview...
  2. Chief Kibonde

    JamiiForums Tanzania Kumchukulia mtu visa au pasport

    Habarini ndugu za leo na wakati huu. Naomba kujua kama kuna mtu mwenye experience na visa. MIMI NILI OMBA VISA MNAMO MWEZI WA 4 TATEHE 5 NA JANA NIMEPOKEA UJUMBE WA EMAIL, KUWA NIKA COLLECT MY PASPORT JE NAWEZA KUAGIZA MTU AKANICHUKULIA? MAANA NIPO NJE YA MJI KWA DHARURA KIDOGO. Asanten
  3. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania WHO yasema visa vya maambukizi vya Covid-19 vyaongezeka Afrika Kusini

    Shirika la Afya Duniani limesema bara la Afrika linashuhudia kuongezeka kwa visa vya COVID-19 vinavyotokana na kuongezeka maradufu kwa visa vya maambukizi vilivyoripotiwa nchini Afrika Kusini Benido Impouma, Mkurugenzi wa Magonjwa ya yasiyoambukiza WHO-Afrika, Aprili 28, 2022 alisema, ndani ya...
  4. K

    JamiiForums Tanzania CAG na Peter Madeleka wanapotosha umma, serikali ilikosa ushahidi kesi ya VISA- KIA na kuamua kuifuta; watuhumiwa walikaa Gerezani zaidi ya mwaka.

    Jamii forum Facebook account pamoja na Habari leo ni baadhi ya vyombo vya habari vilivyoripoti hoja ya visa bandia zilizokamatwa zikitokea afrika kusini; Kwa urahisi wa rejea wanajamvi tunaweza kupitia google kuuliza habari hizi na tutapata taarifa za ndani. Tukio hili linaonekana kuripotiwa Kwa...
  5. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Visa yafungua ofisi yao ya kwanza Afrika, hapa hapa Nairobi

    Kainchi ka Kenya rasmi kamekua kitovu cha Afrika, hauwezi kufanya lolote kwenye hili bara bila kubisha hodi Kenya kwanza..... Kampuni kubwa duniani ya malipo imegundua hili na kuwekeza Kenya... ========================== Global digital payments giant Visa has opened an innovation studio in...
  6. chawa wa mama

    JamiiForums Tanzania Katika kukosoa na kushauri viongozi tuwe na dhamira njema, sio chuki, visa, ukanda au udini

    Nimefuatilia kwa miaka mingi sana, kuna ukanda unahisi unatengwa, hawajatoa rais, na wana kiu sana ya kupata rais wa kutoka ukanda wao. wamesahau wamewahi toa mawaziri wakuu wawili. Ukanda mwingine, wao wamepata bahati ya kupata mtu wa ukanda wa kwao aliyekuwa anawapendelea kwa kupeleka miradi...
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwa 'Visa' ambavyo Kocha Nabi anawafanyia Yanga SC sasa niseme tu Kocha Pablo 'out' na Yeye 'Msimbazi' kunamkaribisha

    Kila kukitokea tu 'Break' ya FIFA Calendar Kocha Nabi atataka Kuondoka kwenda Kwao au Ubelgiji na huwa hahitaji Yanga SC imlipie Tiketi ball kuna Mtu Mmoja upande wa Pili ndiyo humgharamia. Mara kwa mara Kocha Nabi amekuwa akiombwa Kujikita zaidi na Yanga SC Kimafunzo ila Yeye kila ambapo Klabu...
  8. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania CVAC Client Service Assistant (Canada Visa Application Centre) at IOM

    POST DESCRIPTION I. POSITION INFORMATION SVN IOM/DAR/009/2022 Position title CVAC Client Service Assistant (Canada Visa Application Centre) Position grade G4 Duty station Dar es Salaam Durations Six (6) Months Special Short-Term with possibility of extension Position number N/A...
  9. Influenza

    JamiiForums Tanzania Visa, Mastercard zazuia Taasisi kadhaa za Kifedha za Urusi kutumia mifumo yao

    Kampuni za malipo ya kifedha za Marekani, Visa na Mastercard zimezifungia Taasisi kadhaa za Kifedha za Urusi kutumia huduma zake ikiwa ni sehemu ya vikwazo kwa Urusi Aidha, Kampuni hizo zimeahidi kutoa Dola za Kimarekani Milioni 2 kila moja kwa ajili ya kusaidia katika masuala mbalimbali ya...
  10. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dubai kuwapa Wakenya visa ya miaka kumi

    Ndio umuhimu wa kuwa na elimu bora na wachapa kazi, wanang'ang'aniwa kote, mara UK, mara Dubai, ukizingatia diaspora wetu wanatuma hela nyumbani kuzidi mataifa yote ukanda huu, vyuo vyetu vinazidi kuzalisha vichwa na akili kubwa. Waende tu wakapate maujuzi zaidi ili wakirudi wawekeze nyumbani...
  11. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Dar yaongoza kwa visa vipya corona

    MKOA wa Dar es Salaam umetajwa kuongoza kwa idadi kubwa zaidi ya waliothibitika kuwa na maambukizi ya virusi vya corona vinavyosababisha ugonjwa wa UVIKO-19 ukiwa na wagonjwa wapya 184 kati ya visa vipya 252 vilivyoripotiwa. Visa hivyo vimeripotiwa katika kipindi cha Januari 29 hadi Februari 6...
  12. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Australia: Mahakama yatupilia mbali rufaa ya Djokovic kupinga Visa yake kufutwa

    Mahakama ya Shirikisho la Australia siku ya Jumapili Januari 16 ilikataa rufaa iliyoletwa na Bingwa wa Tennis duniani Novak Djokovic dhidi ya kufutwa kwa visa yake na kufukuzwa nchini. Mahakama inaamuru kwamba rufaa itupiliwe mbali kwa gharama ya mlalamikaji," umebaini uamuzi huo ulioidhinishwa...
  13. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Nchi ya Australia, kwa mara ya pili imesitisha Visa ya Novak Djokovic kwa kutokuchoma Chanjo

    Nchi ya Australia, kwa mara ya pili imesitisha kibali cha kuingia nchini humo cha mchezaji maarufu wa tenesi, Novak Djokovic, kutokana na utata kuhusu haki ya kuendelea kubaki nchini humo bila ya kuwa amechoma chanjo dhidi ya UVIKO-19. Uamuzi huu uliotangazwa na waziri wa masuala ya...
  14. vnn

    JamiiForums Tanzania Nimefuatilia mtiririko wa visa, ni wazi kuwa Ndugai aliota mapembe na alikuwa akimdharau sana Rais Samia

    Ukweli ni kwamba, Ndugai amekua mbabe kwa muda mrefu sana kwa wabunge kule mjengoni lakini alikua mtiifu namba moja wa Rais John Magufuli (R.I.P). pamoja na mapungufu yote ya serikali ya JPM ikiwa ni pamoja na bajeti hewa mfano kuna baadhi ya wizara zilikua zinapewa hela ya bajeti 18% tu ya...
  15. Fbn

    JamiiForums Tanzania Hivi ndiyo visa vya waganga wa kienyeji wapenda pesa!

    Waganga wa kienyeji ni watu wenye mchango mkubwa upande wa pili ndani ya ulimwengu. Hapa kuna watu povu na maneno ya kejeli yata watoka kwa sababu hizi: *Wengi wanawatumia kwa ajili ya mabaya! *Wengi ni walonzi ,wanga na wachawi. *Wengi humu mtaki kujionesha kuogopa kuwa mnatatua matatizo yenu...
  16. Frumence M Kyauke

    JamiiForums Tanzania Je Harmonize atahimili visa alivyofanyiwa Alikiba?

    Mimi binafsi ni binadamu ambaye nikifika mwisho au nikisema inatosha, jua ama zako au zangu. Hakuna suluhu. Tafuta chaka lako la kujificha. Moja ya sifa za msanii King Kiba ni kuhimili mikikimikiki. Ni kuhimili nyakati ngumu na kukimbilia kusema kwa mama yake. Lakini ukweli msanii Harmonize...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Visa na Mikasa ya Ethiopian Airlines - Waafrika Kulikoni?

    Kama sinema vile madege ya Ethiopian airlines hutua viwanjani kwa hisia huku yamebeba abiria: Ethiopian Airlines Airbus A350 Suffers Wing Tip Strike During Landing Mtu anaweza vipi tua dege kwa kusikiliza wazimu wake tu? Siyo case 1 bali ni case baada ya case na katika kipindi kifupi. Haya...
  18. HaMachiach

    JamiiForums Tanzania Msaada: Jinsi ya kupata visa ya England bila vikwazo

    Habari za asubuhi wakuu naamini mmeamka salama kabisa. Ninaomba msaada namna nitakavyo weza kupata visa ya kwenda kwa Malkia ni process zipi nizifuate na pia gharama inaweza kuwa shilingi ngapi? Na nyaraka zipi niziandae kwajili ya hili zoezi na mda gani inaweza kukamilika.
  19. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania Ghana: Kitambulisho cha Taifa kitawawezesha wananchi kusafiri bila Visa

    Makamu wa Rais wa Ghana ametangaza kutambulika ramsi kwa Kitambulisho cha Taifa cha nchi hiyo kama hati ya kusafiria kuanzia robo ya pili ya mwaka 2022. Hatua hiyo ya Ghana inatokana na kutambuliwa kwake kama mwanachama wa Taasisi ya Kimataifa ya Usafiri wa Anga (ICAO), ambapo Kitambulisho...
  20. PromiseLand

    JamiiForums Tanzania Visa vya wanandoa/wapenzi kuuana vinaongezeka kila kukicha

    Niende moja kwa moja kwenye mada, nipo mkoa wa Geita kikazi na leo nimefanikiwa kufika sehemu inayoitwa Nyarugusu visa nilivyovikuta vinashangaza na hizi hapa ni simulizi nilizozikuta kwenye msiba uliovuta hisia za watu wengi. Ilikuwa ni msiba wa mama mmoja aliyeuawa na...
Back
Top Bottom