Dubai kuwapa Wakenya visa ya miaka kumi

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,759
48,407
Ndio umuhimu wa kuwa na elimu bora na wachapa kazi, wanang'ang'aniwa kote, mara UK, mara Dubai, ukizingatia diaspora wetu wanatuma hela nyumbani kuzidi mataifa yote ukanda huu, vyuo vyetu vinazidi kuzalisha vichwa na akili kubwa. Waende tu wakapate maujuzi zaidi ili wakirudi wawekeze nyumbani, maana mwisho wa siku unabaki kuwa raia wa Kenya, kile unachofanya ni kuongeza ujuzi huko na pia kutunisha mifuko kwa hela nyingi na uwekezaji nyumbani.

Nchi yetu hatuna madini au ardhi, ila tumebarikiwa ubongo...
===================

uhuru

President Uhuru Kenyatta delivers his remarks during the opening of the Kenya-Gulf Cooperation Council (GCC) States business forum in Dubai. PHOTO | PSCU

The United Arab Emirates (UAE) is wooing highly trained Kenyans among them doctors and scientists with a 10-year visa to support the development of its economy.

Through a plan developed in late 2021 that also targets foreigners globally, the Arab nation has set off an ambitious plan that may result in a fresh round of brain drain.

Long-term visas​

The long-term residence visa targets individuals in science and knowledge, such as doctors and inventors, nurses and healthcare officials and creatives in the fields of culture and art or those in real estate.

For investors, they must have a fund inside the UAE valued at Ksh61.9 million (2 million dirhams or $545,000) or more.

Entrepreneurs can build a company with capital or partner in an existing firm by giving a contribution of not less than the same amount.

The visas will allow foreigners, their family members and two of their business partners to settle in UAE and enjoy the benefits of a permanent resident.

The plan to attract top brains by the Middle- East comes as Kenya continues to export workforce into the country, especially in the sectors of health care, hospitality and tourism.

The country will also be giving UAE passports under the same requirements.

Trade and Industrialisation Cabinet Secretary Betty Maina said that Kenyans who will benefit must satisfy immigration conditions and undertake medical tests in UAE.

“They are willing to facilitate visas for business people. They have a framework for a golden visa which is a 10-year multiple entry visa and several Kenyans have benefited from these arrangements and more could benefit,” Ms Maina said on the sidelines High-Level Business Forum in UAE held by Kenya on Tuesday.

Currently, the country issues a work visa for two years which is renewable and mostly paid for by the employer.

A survey by the Central Bank of Kenya shows that UAE is the third-largest source of remittances into the country after the US and UK.

In July, UAE announced that Kenyan small and medium-sized businesses (SMEs) setting up in Dubai will get a two-year rent-free workspace in is part of a new support programme ahead of the Expo 2020 Dubai.

Trade with Kenya​

President Uhuru Kenyatta has also revived the discussion on the possibility of a free trade agreement (FTA) between the countries to deal away with bottlenecks around logistics and tariffs.

“We are keen on the establishment of an arrangement to simply trade between UAE and Kenya and Gulf countries,” President Kenyatta said during the forum.

“I guess the simple way is an FTA and I hope it is something the countries will agree on.”

Mr Kenyatta also called for increased business partnerships in the financial service and healthcare sector.

He further called on global investors to consider exploring the Kenyan market, saying his administration has put in place a legal framework to ensure the country is open and safe for business.

The head of state said Kenya is keen to build new trade relationships with other countries participating in the sim-month-long expo.

“We seek to harness the opportunities offered by this expo to build new business partnerships, attract new investments and bring tourists to Kenya to enjoy our world-renowned attractions,” the president said.

President Kenyatta also told participants that Kenya has political and economic stability, a large population that provides a wide domestic market, a youthful and skilled labour force, and modern infrastructural network that will make doing business convenient.

“These attributes have made Kenya the location of choice for multinational companies and a leading destination for foreign direct investment in the region,” Mr Kenyatta said.

- Additional reporting by Vincent Owino

That's clearly akin to intellectual slavery. Never be fooled by anything that glitters thinking it to be gold! Why not use the said ^experts^ within your own borders for maximum domestic benefit? Wake up!
 
Hizi ni nadharia za watu waliojichokea na wazembe.....
Mwanzo, Kenya hatuna upungufu wa watalaam, vyuo vinazalisha kila mwaka, kwa hivyo kunakua na imbalance kwenye supply and demand of labour, hivyo sio nadra umkute mtu amesomea astrophysics lakini bado anasaka ajira maana makampuni yanakuhtaji uwe na ujuzi wa walau miaka mitano.
Sasa watu kama hao wakiondoka kwenda kwenye mataifa kama hayo ambapo wataongeza maujuzi kwa kufanya kazi kwenye mazingira ambayo watakutana na kila aina ya vitendea kazi na equipments, watarudi kama wameiva pia wakiwa na hela za wao kuwekeza bila kutegemea kuajiriwa.
 
You talking, even? Imagine the same work-force contributing to the immediate economy of the country. Don't be mad when confronted with real, hard facts! I already said wake-up, didn't know you're fully unconscious! Sorry!
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Waangalie tu wasije kunyofolewa figo maana matajiri wengi wa Dubai figo zimeharibika wanazinunua kwa gharama yoyote ile duniani, kwahiyo wasione ni deal
 
That's clearly akin to intellectual slavery. Never be fooled by anything that glitters thinking it to be gold! Why not use the said ^experts^ within your own borders for maximum domestic benefit? Wake up!

Aliepandikiza ujamaa kwa watu kama wewe alikosea sana, na sio peke yako wajamaa wengi huishi kwa woga woga usio na kichwa wala miguu na huogopa ushindani na wamejawa unafiki sana.HONGERENI Wakenya endeleeni kupeperusha bendera ya Afrika mashariki huko ughaibuni,
 
You talking, even? Imagine the same work-force contributing to the immediate economy of the country. Don't be mad when confronted with real, hard facts! I already said wake-up, didn't know you're fully unconscious! Sorry!
Hapa Kenya hakuna kazi ya kuajiri hawa watu wote. Isitoshe huko nje watalipwa mshahara mara nne au tano ya kile wanacholipwa hapa Kenya. Punguza wivu wakati mwingine.
 
Pamoja na rasilimali nyingi Tanzania uvivu umetawala, mahotel ya kitalii yalipokua na mameneja wakenya yalifanya vizuri mlipowafukuza kwa wivu mahotel yalianguka wewe mtanzania hujui hata kunegotiat kibiashara wala customer care hujui utarajie hospitality industry itakua, hardworking pays wakenya wanajituma na sii waoga, mataifa mengi niliyokwenda nimewakuta wanapambana
 
Kenya haikubarikiwa na madini, gesi, almasi wala ardhi kubwa yenye rutuba kama Tanzania. Sasa hatuna budi ila kujituma ikiwa tunataka kusurvive.
 
jirani wameona mnafaa kwa domestic cores, nendeni mkachambishe watoto wa Kiarabu.
Ongea tu matope na huyo unayemcheka baada ya mwaka mmoja ameshanunua kiwanja Kenya na baada ya miaka miwili ameshasimamisha jumba la ghorofa. Baada ya miaka mitano amesha-save pesa ya kutosha hadi anarudi nyumbani kuanzisha biashara kubwa na kuishi maisha mazuri kushinda yako. Wewe cheka tu kwamba anakwenda kufanya domestic chores.
 
Huyo anaelewa sana wa hayo mambo hapo anatania tu, mbona mabinti wa Tanzania wengi hukusanywa kama kumbikumbi na kupitia ama mombasaa au zanzibar kwenda kua mahousehold lakini mishahara yao hua midogo sababu ya mtu kati, mabinti wa Tanga, lindi, mtwara, kondoa, wamejaa Dubai, Oman kama ma households au housegirls wanavoitwa
 
Pamoja na rasilimali nyingi Tanzania uvivu umetawala, mahotel ya kitalii yalipokua na mameneja wakenya yalifanya vizuri mlipowafukuza kwa wivu mahotel yalianguka wewe mtanzania hujui hata kunegotiat kibiashara wala customer care hujui utarajie hospitality industry itakua, hardworking pays wakenya wanajituma na sii waoga, mataifa mengi niliyokwenda nimewakuta wanapambana
Duh!!umenikosha bro..pewa mbili moto naja kulipia
 
You talking, even? Imagine the same work-force contributing to the immediate economy of the country. Don't be mad when confronted with real, hard facts! I already said wake-up, didn't know you're fully unconscious! Sorry!

Tatizo unatumia maneno bila kujua maana yake, neno fact usilitumie kizembe hivyo, nimekuambia kuna madogo wengi mtaani wamesomea vitu vikubwa na sio rahisi kuwaajiri wote kwa mpigo, hivyo kama kuna namna wanapata fursa za kwenda kuongeza maujuzi huko Ulaya mbona wazuiwe.
 
Ongea tu matope na huyo unayemcheka baada ya mwaka mmoja ameshanunua kiwanja Kenya na baada ya miaka miwili ameshasimamisha jumba la ghorofa. Baada ya miaka mitano amesha-save pesa ya kutosha hadi anarudi nyumbani kuanzisha biashara kubwa na kuishi maisha mazuri kushinda yako. Wewe cheka tu kwamba anakwenda kufanya domestic chores.
Sisi Tanzania tunajenga maghorofa kwa pesa ya maparachichi, tuna ardhi hatuihonga kwa Mzungu.
 
Back
Top Bottom