vipi

Virtual Portal for Impaired Groups Interaction (ViPi) is a project partially funded by the European Union (EU) under the Lifelong Learning Programme 2007–2013, subprogramme KA3 ICT. The project commenced on 1 January 2011 and has 36 months duration (until 31 December 2013). The main vision of the project is to provide alternative and creative solutions for the employment of People with Disabilities (PwD) by delivering a "one-stop-shop" interactive portal and learning environment comprising: 1) a multilingual platform, 2) an embedded social community, 3) accessible content (WCAG 2.0) for PwD and trainers, etc. The project will bring together key stakeholders and gatekeepers (VET, target groups, umbrella organizations) in order to address the lack of specific training support or material for PwD and their trainers by providing a set of applications and services that will be available via a complete educational framework, taking into account interaction possibilities offered by web 2.0 and localised, tested and assessed with different end-user communities (GR, BE, LT, UK and CY).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ningependa kuwa Software developer vipi nikisoma ICT?

    Wakuu mimi ni moja ya watu ninaopenda kuwa Software developing ninampango wa kusoma ICT je nitaweza kutimiza ndoto zangu? Nakama mtu anaconnection ya chuo cha hapa Dar itakuwa poa
  2. JamiiForums Tanzania Serikali imejipanga Vipi kuwahesabu Watoto wa Mitaani siku ya Sensa?

    Salaam Wakuu, Napenda kujua ni namna gani Serikali imejipanga kuwajumlisha Watoto wa Mtaani kwenye Sensa ya Taifa ili na wao wapate nafasi ya kuhudumiwa kama watu wengine. Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imepanga kufanya Sensa ya Watu na Makazi ifikapo mwezi Agosti 2022. Wizara ya...
  3. JamiiForums Tanzania Dunia inategemea vipi mafuta na gesi ya Urusi? Tanzania itaathirika vipi?

    Marekani, Uingereza na Umoja wa Ulaya umetangaza kuwa zitazuia uagizaji wa mafuta kutoka Urusi. Hatua hiyo ilichukuliwa baada ya Urusi kuonya kuwa inaweza kukata usambazaji wa gesi kwa nchi za Ulaya ikiwa marufuku ya mafuta itaendelea. Je, kuna vikwazo gani kwa mafuta na gesi ya Urusi...
  4. JamiiForums Tanzania Kaka zetu, hayo mabegi ni vipi kwani?

    Jamani najua mko poa! Hivi siku hizi kila kaka huku mjini naona kabeba begi mgongoni, hayo mabebi ni makubwaa sana, na yamekaa kishamba shamba hivi. Mengi Yao yameandikwa Biowang mengine Marcello, yaani unakuta mkaka mzuri, msafii kapendeza halafu kabeba li Biowang mgongoni, hivi mnawekaga nini...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Sawa TFF mmemfungia Shaffih, Je vipi kuhusu Haji Manara?

    Natumai kamati ya nidhamu itakuwa inajipanga na kutoa adhabu kama hii kwa Yule ponjoro Haji Manara kwa kauli yake ya sio kuchafua tu soka la Tanzania bali ilihatarisha usalama wa mchezo huo kwa kauli aliyopost kwenye account yake ya Instagram kama alivyofanya Shaffih. Tunasubiri kuona maamuzi...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Tanga tumepata mvua. Huko kwingine vipi?

    Tanga: Ukame ulikuwa unatishia maisha ya watu namifugo. Sasa hivi at 8. 30 inanyesha mvua kubwa ya kutosha kwa leo. Radi, ngurumo kama kawa. Hatujui kma itaendelea au ndiyo inachombeza tu. Huko kwenu vipi?
  7. JamiiForums Tanzania Morogoro: Mvua Kubwa Inaendelea Kunyesha

    Mungu ni mwema, ule ukame uliotutia hofu kwamba huenda mwaka huu kukawa na njaa imetoweka, kuna mvua kubwa sana inanyesha ikiambatana na radi, japo hofu ni kwa wale waliojenga mabondeni, usalama wao huenda ukawa mdogo sana, ilitokea siku chache zilizopita baadhi ya makazi ya watu yaliingiwa na...
  8. JamiiForums Tanzania Mbunge Mstaafu na Mtu Maarufu anahitaji Mchango wa matibabu, wewe unadhani uta survive vipi?

    Nimejiuliza hili swali sana si kwa nia mbaya. Kwa nia njema kabisa. Prof Jay. Joseph Haule amekuwa Mbunge kwa miaka 5 akilipwa mamimilioni ya pesa. Baada ya kumaliza kipindi chake amelipwa mamilioni mengine ya kiinuna mgongo. Leo ameumwa na kulazwa kwa mwezi mmoja anadai achangiwe. Je yule...
  9. JamiiForums Tanzania Waliokuwepo kwenye oral ya Mzinga corporation 29/12/2021 Morogoro vipi majibu bado jamani?

    Habarini za mda huu! Waungwana Kuna mwenye taarifa yoyote juu ya ile interview ya Mzinga tujuzane. Maana ni mwezi sasa au huwa wanachukua mda gani kutoa majibu ya oral? Kama Kuna mwenye experience na hizi ajira za utumishi tujuzane
  10. JamiiForums Tanzania Mnachukuliana vipi na marafiki wa aina hii?

    Habarini za asubuhi wana jamvi, Msaada wa mawazo kidogo. Ni mda wa miezi zaidi ya miwili sasa nakaa na rafiki yangu, Tulikutana eneo la kazi mimi na yeye tukiwa ndo wanawake io hali ikatufanya tuwe marafiki, tunasaidiana katika mambo mengi na ni mtu mzuri. Miezi miwili iliopita mambo yake...
  11. JamiiForums Tanzania January vipi huko kwenu?

    Wasalaam, Eti jamani huko kwenu vipi January imesha tayari?sie huku ndio tunafika ukingoni. Huku kwetu kila mtu analalamikia huu mwezi,yaani full lawama, eti ni mwezi mgumu sana,watu Ni mwendo wa ndondo mixer kabeji ukiuliza kuna nini kwani mbona ratiba za mezani hazieleweki majibu Ni yaleyale...
  12. JamiiForums Tanzania Zanzibar kukodisha/kuuza visiwa vyake: Iko vipi?

    Habari zimetapakaa kuwa Zanzibar inauza visiwa vingine 9 mwaka huu, baada ya mwaka jana kuuza 10 kwa thamani ya $ 261.5 milioni! Kuna utatanishi ikiwa visiwa hivyo vinauzwa au vinakodishwa, kiasi wana habari wametumia istilahi zote mbili hizo. Wakuu wanasema wanakodisha. Kwa uzoefu wangu...
  13. JamiiForums Tanzania Juhudi za Rais Samia kuwarejesha waliotenguliwa wa Hayati Magufuli tuzitafsiri vipi?

    Ukiangalia kwenye wizara ya nishati kampa januari aliyekua anamsengenya na kumwita jpm mshamba. Katibu wake mkuu ni mramba aliyetumbuliwa tanesco kwa kutaka kupandisha bei ya umeme wakati lengo la jpm ni kushusha bei ya umeme. Huku kwenye habari kamrudisha nappe. Huyu alitumbuliwa na jpm kwa...
  14. JamiiForums Tanzania Je, mkopo wa tril 1.3 wote umetumika kujengea madarasa? Vipi kuhusu madarasa yaliyokuwa yanajengwa kwa tozo za miamala? Ukaguzi ufanyike tupate ukwel

    Ni suala ambalo watanzania bado linawaumiza kichwa maana kwa tozo tunazokamuliwa alafu tukaambiwa na Ummy Mwalimu kuwa tozo zinatumika kujenga madarasa, zahanati vituo vya afya na kununua vifaa tiba. Ghafla bin vuu tukasikia ili kukabiliana na uhaba wa madarasa mkopo wa Uviko upatao tril 1.3...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Mhe. Majaliwa amesema viongozi wanatoka Kwa Mungu, najiuliza hata akina Sabaya walipewa mamlaka na Mungu? Vipi kuhusu viongozi wa uchafuzi 2020?

    Kwa sisi Mawakili wasomi kuhoji ni jadi yetu. Nimesikia Mhe. Waziri Mkuu akizungumzia kuhusu madaraka yanatoka Kwa Mungu. Nikajiuliza tunao wabunge wa bunge la Sasa ambapo wapo waliopita bila kupingwa na wengine walipitishwa na tume kuipitia uchafuzi, je hawa wote wanatoka kwa Mungu? Tuna...
  16. F

    JamiiForums Tanzania Legacy ya Magufuli Haiwezi Kufutika kwa Siasa Uchwara

    Haya ni maoni yangu na mtu yeyote halazimishwi kuyapokea. Sihitaji kurudia mazuri ya Magufuli. Tunajua alikuwa Rais wa watu aliyeongoza kwa ajili ya watu wa chini kabisa. Wazalendo wa Nchi hii hatuwezi kubabaishwa na kelele za wachache waliomchukia kwa sababu tunazozijua (e.g. u-puppet...
  17. JamiiForums Tanzania Vipi na hii mtaigomea nayo?

  18. JamiiForums Tanzania Kwa nchi yenye matatizo makubwa ya maji, tunaruhusu vipi swimming pools?

    Kuna hili suala nimeliwaza kwa muda mrefu sana. Inakuwaje katika nchi ambayo hata maeneo ya mijini tu kuna changamoto kubwa za maji tunaruhusu ujenzi wa swimming pools? Najua wengine mtanishambulia kwa kuleta usukuma wangu hapa ila kuna mambo inabidi utafakari kwa maslahi ya taifa. Kama ni...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Lwaitama: Samia anaaminika vipi kesi ya Mbowe ikiendelea?

    Maneno ya hekima na busara kutokea kwake Mwalimu Lwaitama: Kwa hakika hayupo asiyejua kuwa kesi ya Mbowe ni ya kubumba. "Sasa anapohitaji kuaminiwa, labda kama ni kuaminiwa anataka kumnyazisha Mh. Mbowe?" -- Lwaitama. Barikiwa sana Mwalimu Lwaitama. Hekima na busara zako ni inspirational...
  20. JamiiForums Tanzania Mtoto wa shangazi ana kiburi kwenye kufata sheria zangu nyumbani kwangu, nitatue vipi?

    Nyumbani kwangu ikifika wakati wa chakula cha usiku (dinner) ni lazima tule pamoja kwenye chumba kimoja, Sasa kuna mtoto wa shangazi ni kama miaka 20 hivi hapendi kufata sheria ya mda wa dinner. Sheria ya muda wa mlo wa usiku ni kwamba simu hazitakiwi kutumika, simu inabidi ziachww vyumbani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…