vipi

Virtual Portal for Impaired Groups Interaction (ViPi) is a project partially funded by the European Union (EU) under the Lifelong Learning Programme 2007–2013, subprogramme KA3 ICT. The project commenced on 1 January 2011 and has 36 months duration (until 31 December 2013). The main vision of the project is to provide alternative and creative solutions for the employment of People with Disabilities (PwD) by delivering a "one-stop-shop" interactive portal and learning environment comprising: 1) a multilingual platform, 2) an embedded social community, 3) accessible content (WCAG 2.0) for PwD and trainers, etc. The project will bring together key stakeholders and gatekeepers (VET, target groups, umbrella organizations) in order to address the lack of specific training support or material for PwD and their trainers by providing a set of applications and services that will be available via a complete educational framework, taking into account interaction possibilities offered by web 2.0 and localised, tested and assessed with different end-user communities (GR, BE, LT, UK and CY).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Naibu Gavana wa Benki Kuu ni nani? Anapatikana vipi?

    Habari Wakubwa. waswahili wanasema kuuliza si ujinga Ningependa kufahamu Naibu Gavana wa Benki Kuu anapatikana vipi? Ni mteule tu wa Rais kama wateule wengine? Majukumu yake ni yapi? Naibu gavana wetu sasa anaitwa nani alikuwa wapi na wapi kabla ya kuwa Naibu Gavana. Nafahamu Gavana Luoga...
  2. JamiiForums Tanzania Ushauri: Niishi vipi na ndugu wa namna hii?

    Thread closed Reached the real goals
  3. JamiiForums Tanzania PATAPATA! Nitazuia vipi hizi sms kutoka Tigo?

    Habari wakuu… Mama anaupiga mwingi kuelekea golini kwake. Sasa Wakuu mimi sijajiunga na huduma zozote tigo kuomba hizi sms. Cha ajabu kila baada ya dakika kadhaa natumiwa sms "PATAPATA" Nimeajaribu kublacklist lakini sms hazina namba imeniwia vigumu.
  4. JamiiForums Tanzania Mikeka ya walioitwaa interview TRA na TPA vipi imeshatoka?

    Mikeka ya walioitwaa interview TRA na TPA vipi imeshatoka au
  5. JamiiForums Tanzania Kama Maximalipo anasimamia mfumo wa usafiri wa Jiji la Maputo, vipi hapa Bongo?

    Nimesikia Kampuni ya KiTanzania MAXIMALIPO ana simamia na kuendesha usafiri ktk jiji la MAPUTO nchini Msumbiji , sasa inakuwaje hapa Bongo tuna pwaya pwaya tu na usafir wetu wa UDART
  6. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Majirani Wakenya, bei za mafuta Tanzania zimepanda 157.6 - 168.3 petrol & 163.2 - 169.7 diesel. Kwenu vipi?

    hizi bei zimeanza kutuchoma kama pasi wenye vipato vya kawaida hali ipo vipi kwa Kenyatta huko? Petrol 3,148 tshs / 157.66 kshs >>> 3,361 tshs / 168.3 kshs Disel 3,258 tshs / 163.2 kshs >>> 3,390 tshs / 169.78 kshs
  7. JamiiForums Tanzania Pale mke anapofungwa miaka 30 jela na hurusiwi kuongeza mke, hii hali inatatuliwa vipi?

    Katika sheria za dini za kikiristo ni kwamba hurusiwi kuongeza mke na kifo pekee ndicho cha kuwatenganisha, kinyume na hapo ni nje ya sheria za ukristo. Sasa inapotokea mfano mke wako anafungwa jela miak 30 ama hata kifungo cha maisha na bado hamna hata mtoto, ndoa bado ilikuwa mbichi, hapo hii...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Edward Hosea, constructive engagement uliyonayo itaua TLS. Serikali ikiwanyima fedha mtajiendesha vipi?

    Nadhani TLS Ina wanachama wasio na akili na mawazo yakujitegemea;wanachama wengi wana mawazo kama yalivyo maono ya Watumishi wa Umma kwamba serikali ikupe posho,salary,nyumba,matibabu nk lakini pamoja na vyote hivyo mtumishi huyu anashindwa kujenga japo nyumba huku asiye na kazi aliyepo Kijijini...
  9. JamiiForums Tanzania Kuelekea Mei Mosi 2022. Yanayotarajiwa, yatakayojiri. Je, Rais Samia atatimiza alichoahidi mwaka 2021?

    Kwa watumishi wa Umma. Na wengine wasio kuwa watumishi. Zimebaki siku 11 kufika tarehe 1/52021 siku ambayo huitwa ya wafanyakazi. ikumbukwe mwaka jana raisi alitoa kauli na hapa ninanukuu " niwahakikishie watumishi wenzangu mwaka ujao tarehe kama ya leo nitakuja na "pekeji" (kwa lafudhi yake)...
  10. JamiiForums Tanzania Huruhusiwi kumuingilia 'mke mdogo' wa baba yako hata kama Baba yako alimuacha kwa talaka

    Iwapo ndoa baina ya baba yako na mama yako mdogo ilitimia kisheria, basi akawa mama yako wa kambo, huyo tayari anakuwa ni Mahrum (Mwanafamilia ambaye ni haram kwako kumoa). Maisha yote hata kama ataachwa baadae na baba yako. Hutakiwi kumuingilia wala kuonesha vishawishi vyovyote vya kumtamani.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Wabunge Kushangilia Bungeni kupewa Futari ya bure na CRDB je, kwa wenye Akili Watanzania wote tunaonekana vipi?

    CRDB mnatoaje Futari ya bure kwa Wabunge ambao tayari wana Posho ya zaidi ya Shilingi 350,000/= kwa Siku badala ya Kusaidia Makundi ya Watu wengi wenye Mahitaji hasa kwa Kipindi hiki na hata katika Maisha yao ya Kiujumla? Kilichonishangaza zaidi ni Kitendo cha Wabunge kutangaziwa na Spika wa...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya Africell inadai ukiweka hela ndani ya siku 3 unapata Mara mbili yake. Je, imesajiliwa TRA, BRELA?

    Kuna Kampuni inadai wao wanajishughulisha na biashara mbalimbali, ikiwemo kuuza na kununua Mafuta oil diesel duniani, kuuza bizaa mbalimbali, kununua Madini, usafirishaji wa meli. Wao wanadai wanesajiliwa TRA, Brella, staili yao ni Moja tu, ukiwekeza kuanzia laki moja Hadi milioni 50 ndani ya...
  13. JamiiForums Tanzania Niliagiza mzigo Kikuu, wanasema umefika Dar muda mrefu. Lakini bado hawajanitumia kuja mkoani, nifanyeje?

    Jamani mimi niliagiza mzigo kikuu nawanasema upo tayari Dar muda wowote utatumwa mkoani niliko. Ila naona kimya hadi saizi. Anaejua anielekeze nifafanyaje
  14. M

    JamiiForums Tanzania Vipi aendelee Kuupiga Mwingi au asubirie Kwanza mpaka Filamu izunduliwe kwa Biden Marekani.

    CAG: Mashine 89 za trafiki hazikuwahi kurekodi muamala wowote mwaka mzima. Taarifa: swahilitimes.
  15. JamiiForums Tanzania Nitajie tarehe yako na ya mwenza wako nikwambie mpo vipi na hatima yenu, siri yake n.k

    Habari zenu wana ndoa na wenye ndoto za ndoa, Yawezekana umewahi kusikia kauli maarufu sana inasema; "Kosea yote usikosee ndoa" Katika thread hii nitakupa maana halisi na siri iliyojificha nyuma ya kauli hiyo hivyo ukiweza kunitajia tarehe yako na ya mwenza wako na herufi zenu za...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Haya ndiyo yatakayotokea kabla ya New World Order. Vipi umejiandaaje?

    Haya ni baadhi ya mambo ambayo Wachambuzi wanaamini yatatokea kabla ya NEW WORLD ORDER. 1. Ubadilishwaji wa katiba nyingi Duniani kuendana na mfumo mpya wa utawala Duniani. 2. Upandaji wa bei za bidhaa muhimu 3. Mabadiliko katika sarafu( mfumo wa manunuzi Duniani kote) 4. Uwepo wa Dini mmoja...
  17. JamiiForums Tanzania Mkiachana unamuita takataka je, huyo Mwanamke aliyempenda na kumjali zaidi yako amuite nani?

    Yes he broke your heart. Naam yawezekana aliuchubua moyo wako ,mithili ya mchinjaji anayetayarisha nyama kwa ajili ya walaji wenye uchu. Na yawezekana kwa sababu umeonesha kila dalili ya mfadhaiko na malalamiko chungu nzima juu ya kile unachokiita ufedhuli kama sio unyama wake dhidi yako. Yes...
  18. JamiiForums Tanzania Serikali ilipaswa kutuambia imejipanga vipi na kudhibiti ongezeko la bei, si kusapoti kinachoendelea

    Kwema Wakuu! Kila mtu ni shahidi wa kinachoendelea katika upandaji wa bidhaa hapa nchini. Vitu vinapanda kila siku, hasa vitu vyeti kabisa kama Mafuta ya Kula, Michele, Sabuni, sukari miongoni mwa vitu vingine. Sikufurahishwa na Kauli ya Mhe. Rais, mama yetu Samia Kwa kusapoti na kukazia...
  19. JamiiForums Tanzania Hizi ajali za kila mara vipi tena, ni wapi tunakosea?

    Wimbi la ajali linaomgezeka, salamu za pole za Rais zinatolewa, watu tunahuzunika tunasahau Mara ghafla paaap, ajali nyingine tunahuzunika tunasahau. Miaka mitano iliyopita ajali zilielekea kupungua hasa zile zinazopoteza uhai wa watu mengi, ni wapi tumelegea, wenye dhamana mko wapi, hatutaki...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Hayupo mwenye kuridhia Katiba Mpya kwenye Mitano yake ya Mwanzo

    Ikumbukwe katiba iliyopo iliasisiwa kwa lengo la kuufanya utawala wa CCM kuendelea kudumu. Kidumu Chama cha Mapinduzi. Rais gani wa CCM ataafiki uwezekano wa mabadiliko ya katiba ndani ya awamu yake ya kwanza katika 2 anazopewa? Asijipende vipi mtu huyo? Inawezekana ni kwa mantiki hiyo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…