Naibu Gavana wa Benki Kuu ni nani? Anapatikana vipi?

mngony

JF-Expert Member
Jul 27, 2012
5,193
6,381
Habari Wakubwa.

waswahili wanasema kuuliza si ujinga

Ningependa kufahamu Naibu Gavana wa Benki Kuu anapatikana vipi? Ni mteule tu wa Rais kama wateule wengine? Majukumu yake ni yapi?

Naibu gavana wetu sasa anaitwa nani alikuwa wapi na wapi kabla ya kuwa Naibu Gavana. Nafahamu Gavana Luoga alikuwa Mhadhiri Chuo Kikuu Dar es Salaam( UDSM) na kama sijakosea alikuwa TRA kabla ya kuwa Gavana

Ahsanteni sana
 
Habari Wakubwa.

waswahili wanasema kuuliza si ujinga

Ningependa kufahamu Naibu Gavana wa Benki Kuu anapatikana vipi? Ni mteule tu wa Rais kama wateule wengine? Majukumu yake ni yapi?

Naibu gavana wetu sasa anaitwa nani alikuwa wapi na wapi kabla ya kuwa Naibu Gavana. Nafahamu Gavana Luoga alikuwa Mhadhiri Chuo Kikuu Dar es Salaam( UDSM) na kama sijalosea alikuwa TRA kabla ya kuwa Gavana

Ahsanteni sana
Luoga jhakuwahi kuwa TRA kama mtumishi bali alikuwa mwenyekiti wa Bodi ya TRA na wakati huo alikuwa tayari ni Gavana wa BOT,alitokea Chuo Kikuu,kulikuwa na M Nyirabu Mungu amrehemu,Rutihinda Mungu amrehemu,Rashid,Ndulo Mungu amrehemu na sasa Luoga.
 
Luoga jhakuwahi kuwa TRA kama mtumishi bali alikuwa mwenyekiti wa Bodi ya TRA na wakati huo alikuwa tayari ni Gavana wa BOT,alitokea Chuo Kikuu,kulikuwa na Mzee Edwin Mtei Gavana wa kwanza, Nyirabu Mungu amrehemu,Rutihinda Mungu amrehemu,Rashid,Ndulo Mungu amrehemu na sasa Luoga.
 
He is the deputy vice chancellor of the University of Dar es Salaam and the chair of the Tanzania Revenue Authority. He has been appointed to be the next governor of the Bank of Tanzania, the country's central bank
Chairman wa TRA ni board member sio mwajiriwa wa TRA kusema aliwahi kufanya kazi TRA sio sahihi

Anyway mleta mada kachanganya kitu sababu kichwa chake kiko sifuri kichwani

Kulikuwa na Plasdius Luoga ambaye alikuwa naibu kamishina Mapato ya ndani mwajiriwa wa TRA ambaye kabla kuwa naibu kamishina alikuwa mhadhiri chuo cha wasimamizi wa fedha yaani IFM kamchanganya na gavana!!
 
Benki kuu taasisi kubwa mno ina manaibu gavana wengi sio mmoja

Swali lako liko kama vile kuna gavana mmoja na Naibu gavana mmoja wako wengi
Ahsante si unaona sikuwa nalijua hilo Mkuu, Ahsante kwa kunijuza. Elimu bahari
 
Luoga jhakuwahi kuwa TRA kama mtumishi bali alikuwa mwenyekiti wa Bodi ya TRA na wakati huo alikuwa tayari ni Gavana wa BOT,alitokea Chuo Kikuu,kulikuwa na M Nyirabu Mungu amrehemu,Rutihinda Mungu amrehemu,Rashid,Ndulo Mungu amrehemu na sasa Luoga.
Ahsante sana
 
Chairman wa TRA ni board member sio mwajiriwa wa TRA kusema aliwahi kufanya kazi TRA sio sahihi

Anyway mleta mada kachanganya kitu sababu kichwa chake kiko sifuri kichwani

Kulikuwa na Plasdius Luoga ambaye alikuwa naibu kamishina Mapato ya ndani mwajiriwa wa TRA ambaye kabla kuwa naibu kamishina alikuwa mhadhiri chuo cha wasimamizi wa fedha yaani IFM kamchanganya na gavana!!
Duh Mkuu kwa kukosea tu ndio nimekuwa sifuri kichwani?
 
Gavana hajawahi fanya kazi TRA mjinga wewe
Chadema vichwa vyenu hopeless kabisa
Mimi sio Chadema Mkuu, mimi ni mwanaCCM na hata CCM inanitambua kama Mwanachama wake Hai na Halali.

Hata ukifatilia post zangu utagundua japo tunaweza kuwa tusikubaliane katika baadhi ya mambo na ndio Demokrasia.

Ahsante nimejifunza kitu kuhusu mada hii
 
Back
Top Bottom