PATAPATA! Nitazuia vipi hizi sms kutoka Tigo?

aise

JF-Expert Member
May 16, 2018
4,112
11,841
Habari wakuu…

Mama anaupiga mwingi kuelekea golini kwake.

Sasa Wakuu mimi sijajiunga na huduma zozote tigo kuomba hizi sms. Cha ajabu kila baada ya dakika kadhaa natumiwa sms "PATAPATA"

Nimeajaribu kublacklist lakini sms hazina namba imeniwia vigumu.
 
Habari wakuu, mama anaupiga mwingi kuelekea golini kwake,
Sasa Wakuu mimi sijajiunga na huduma zozote tigo kuomba hizi sms.
Cha ajabu kila baada ya dakika kadhaa natumiWa sms "PATAPATA"
NImeajaribu kublacklist lakini haina namba imeniwia vigumu.
Block tu mkuu
 
Habari wakuu…

Mama anaupiga mwingi kuelekea golini kwake.

Sasa Wakuu mimi sijajiunga na huduma zozote tigo kuomba hizi sms. Cha ajabu kila baada ya dakika kadhaa natumiwa sms "PATAPATA"

Nimeajaribu kublacklist lakini sms hazina namba imeniwia vigumu.
Achana nazo...
 
Nenda sehemu ya message, usiifungue hiyo SMS halafu i hold kwa muda hadi iweke kivuli kisha nenda juu upande wa kulia kuna dots tatu, click hapo utaona option ya BLOCK.

Karibu!
 
Unablock vipi mkuu wakati sms inakuja bila namba?
Ujanja wangu wote umenishinda nielekeze.
Screenshot_20220510-191206.png
 
Unablock vipi mkuu wakati sms inakuja bila namba?
Ujanja wangu wote umenishinda nielekeze.
Nenda kwenye setting utakutana na block number hapo ni chaguo lako haijalishi Ina number au la. Ikifika msg anzia hapo hapo, hutaziona tena Ila uki restert cm zitarudi nawe ziminye tena.
 
Back
Top Bottom