Mikeka ya walioitwaa interview TRA na TPA vipi imeshatoka?

Batch iliopita nilipigwa MILIONI kwa ahadi ya kupata nafasi TRA na sikuwahi hata kuomba so jamaa walisema nitoe M nipate kazi ila kila nikiwacheki sikuwapata maana jina langu halikuwepo
 
Back
Top Bottom