vipi

Virtual Portal for Impaired Groups Interaction (ViPi) is a project partially funded by the European Union (EU) under the Lifelong Learning Programme 2007–2013, subprogramme KA3 ICT. The project commenced on 1 January 2011 and has 36 months duration (until 31 December 2013). The main vision of the project is to provide alternative and creative solutions for the employment of People with Disabilities (PwD) by delivering a "one-stop-shop" interactive portal and learning environment comprising: 1) a multilingual platform, 2) an embedded social community, 3) accessible content (WCAG 2.0) for PwD and trainers, etc. The project will bring together key stakeholders and gatekeepers (VET, target groups, umbrella organizations) in order to address the lack of specific training support or material for PwD and their trainers by providing a set of applications and services that will be available via a complete educational framework, taking into account interaction possibilities offered by web 2.0 and localised, tested and assessed with different end-user communities (GR, BE, LT, UK and CY).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Dr. Mpango hapa umetupanga 100%, huwezi kuacha umakamu wa Rais ili uende kulima. Vipi umefukuzwa?

    Kuna vitu ukivisikia tu, hapo hapo akili inakataa. Dr. Philip Mpango, makamu wa Rais wa Tanzania ameamua kufunguka sasa kwa kueleza wazi yeye mwenyewe (sio kusemewa tena) kuwa, kwa sasa anakwenda kustaafu nafasi ya makamu wa Rais, hivyo kuanzia November baada ya uchaguzi mkuu kwisha hatarejea...
  2. JamiiForums Tanzania Ni vipi kama mwisho wa maisha yako kwenye sayari hii ndio mwanzo wa maisha kwenye sayari nyingine?

    Labda Mtu unaweza kujiuliza kama kuna sayari nyingine,na pia basi ujiulize kama ulitambua uwepo wa sayari hii kabla kuzaliwa?. Kuna wakati unaweza kudhani labda maisha ni mlolongo usioisha au kumalizwa.
  3. JamiiForums Tanzania Mlioko Dar es Salaam, vipi mmepata huu mwaliko?

    Ccm wanaendelea kufurahia Mema ya nchi huku shuleni kukiwa hakuna walimu na wanafunzi wanakaa chini bila ya madawati🤔🤔🤔
  4. S

    JamiiForums Tanzania CCM waliwanunua wabunge na viongozi wa juu wa chadema na wakaunga juhudi. Vipi washindwe kwa hawa wenyeviti/makatibu wa chadema wa mikoa na wilaya?

    Ukweli mchungu ni kwamba viongozi na wanachama wote wa chadema ni maskini (mafukara). Wenye fedha zao huwa wanaficha mbawa zao ccm ili biashara na ukwasi wao visibughudhiwe. Ndiyo maana hata Mbowe alikuwa anaitumia chadema kama jumba la sanaa kwa kujifanya mpinzani. Na ndiyo maana hata baadhi...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Hard disk ya laptop naitumia kwenye TV shida inapata joto kali, natatua vipi hili tatizo ?

    Hard disk ni ya laptop nimeiweka kwenye kasha limeandika Usb 3.0 ila waya wake ulikuwa mfupi, nikaunganisha huo waya na waya mwengine mrefu wa kuchomekea flash na external, waya nao umeandikwa usb 3.0. Shida inakuja hard disk inapata joto kali sana
  6. JamiiForums Tanzania Wakuu hapa nachomoka vipi

    Message kama hii unachomoka vipi
  7. JamiiForums Tanzania Yanga wamesahau vipi mapema hivi kuwa Amis Tambwe alishaifunga Simba kwa kutumia mkono?

    Yani Yanga wanavyolalamika utaweza kusema wao hawajawahi kubebwa hata siku moja. Tena mbaya zaidi wao bila aibu walibebwa kwenye derby. Ninaamin km ndio Simba angebebwa vile basi hawa Yanga wangeenda CAS. Hilo ni moja kati ya vituko vingi ambavyo Yanga wamefanyiwa na marefa ikiwemo magoli ya...
  8. JamiiForums Tanzania Jessica Magufuli, vipi kuhusu ambao hatukufanikiwa hata kuona maiti za ndugu zetu?

    Maumivu unayoyapata ndiyo maumivu tunayoyapata sisi ambao hatujaweza hata kuupata mwili wa Ben Saanane ili tumzike kimila na kwa taratibu zetu. Israel walipambana for 10 years kuupata mwili wa Eli Cohen one of the great Spy ever lived on this planet ili tu kumzika kimila za kiyahudi. Israel...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Hivi hizi njemba zinazoiga iga biashara mna deal nazo vipi, mtu anakuja kufungua biashara kama yako pembeni yako

    Umeumiza kichwa kuanzisha biashara yako, si kwa lelemama, si kwa bahati nasibu, umekesha sana usiku kwasababu ya kufanya research, ulichunguza location, ukapima mzunguko wa wateja, ukapanga jinsi bidhaa zako zitakavyokaa, ukafikiria bei ambayo inaweza kuvutia wateja, ukajifunza mbinu bora za...
  10. JamiiForums Tanzania Huwa mnaishi vipi Kwa kutegemea mishahara?

    Hapa sizungumzii wale watu wenye kazi kubwa walau kuanzia million 2 kwenda juu, ambao najua hawa ni wachache mno Hapa nazungumzia hizi kazi za kati kama manesi, polisi, walimu, bank teller nk, ambazo hizi ndo kazi za watu wengi Yaani unakaa mwezi mzima unangoja 500k na kila siku upo kazini na...
  11. A

    JamiiForums Tanzania Mwenye uzoefu mishahara ya TPSC INARANGE VIPI

    Habari wakuu mwenye uzoefu wa mishahara na benefit nyingine za TPSC zipoje atleast hint kidogo
  12. JamiiForums Tanzania FT: Fountain Gates FC 0-4 Young Africans SC | NBC Premier league | Kwaraa Stadium | 21-04-2025

    🔰𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇𝐃𝐀𝐘🔰 🏆 #NBCPremierLeague ⚽️ Fountain Gate FC🆚Young Africans SC 📆 21.04.2025 🏟 Tanzanite Kwaraa 🕖 10:00 Jioni #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko KIKOSI CHA FGFC kinachoanza. Kikosi cha Yanga Kinachoanza. Updates Kipindi cha Kwanza. 00' Mpira umeanza Yanga ndio wameanza mpira uko...
  13. C

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nahitaji kuchukua mkopo wa milioni 30 kwajili ya biashara ya mahindi

    Habar mimi naishi Dar nataka niombe mkopo wa million 30 kwajili ya biashara ya mahindi, nikachkue vijijini tani 32 nilete Dar kuuza kwani kwenye tani nyingi ndo faida ilipo. Mnashaurije wadau? Hilo la kwanza. La pili : Soko nimepata nasikia Kibaha kwa wachina ukipeleka ni fasta tu na malipo ni...
  14. JamiiForums Tanzania Utajibu vipi ukiombwa hela ya pasaka weekend hii

    Mshahara bado haujaingia, akaunti hazisomi ila ni uhakika kuwa Yesu anafufuka keshokutwa na tutasherehekea. Unamjibu vipi boyfriend au girlfriend wako akikuomba hela weekend hii?
  15. JamiiForums Tanzania Sikukuu ilikuwa April 21, Mh Rais akatoa agizo kuwa mishahara ilipwe kuanzia April 14 2023 na ikawezekana vipi Pasaka mwaka huu, wamelipwa?

    Mwaka 2023 uko Zanzibar Mh Rais alitoa agizo mishahara ilipwe kuanzia April 14 Ili sikuu ya Eid watu wawe na pesa na kuweza furahia sikuu kwani sikuu ilikuwa April 21, 2023 na ikawezekana wakalipwa Je mwaka huu pasaka inadondokea tarehe 20 je wamelipwa
  16. JamiiForums Tanzania Wazee wa no reform no election tusaidieni kutengeneza picha ya serikali yenu ili tujue tunawaunga mkono au vipi

    PICHA YA SERIKALI YA CHADEMA Rais: Tundu Lissu Makamu wa Rais: John Mnyika Waziri Mkuu: Heche Waziri wa Michezo: Sugu Naibu Waziri wa Michezo: ( ) Mkurugenzi wa Wizara ya Michezo: (. ) Waziri wa Mambo ya Ndani: Boni Yai Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani: ( ) Mkurugenzi wa...
  17. JamiiForums Tanzania KERO Mbagala Chamanzi Umeme unakatika siku Mbili Mfululizo. TANESCO Vipi?

    Hali Ya Umeme Mbagala Chamanzi ni zaidi ya neno "KERO", Tanesco hawajali wanakata umeme masaa 18 mfululizo mda mwingine mpaka siku mbili mfululizo kwa madai kwamba wanafanya maboresho. Maboresho ambayo wanaporudisha tu umeme hauwi sawa, Mara Line hii ifanye kazi Nyingine Zigome! Hawana ratiba...
  18. JamiiForums Tanzania Shilingi ya Tanzania imefaidika vipi wakati dola imeporomoka sana

    Vita vya kibiashara vya Trump vimepelekea kuporomoka kwa sarafu ya dola vibaya sana tangu miaka 10 iliyopita. Tayari Trump ameshafedheheka na vita vyake hivyo vya kibepari hata hivyo dola bado haijakaa sawa hasa kwa vile wafanyabiashara wengi wakubwa wamezihofia bidhaa kutoka nchini Marekani...
  19. JamiiForums Tanzania China na Xi Jinping vipi tena?

    Kiwango cha kodi za bidhaa zitokazo China kwenda Marekani sasa ni 145%. Kiwango cha kodi za bidhaa zitokazo Marekani kwenda China ni 84%. Naona Mchina kashindwa kwenda sambamba Mnyamwezi 🤣. Nyie Wachina wa Kiuruwi na Tabata Sanene kujeni hapa mtoe maelezo [visingizio] yenu ni kwa nini...
  20. JamiiForums Tanzania Viatu na tabia za watu: We viatu vyako ni vipi?

    Just for 😁😂😀🤣
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…