ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 16,829
- 39,752
Hapa sizungumzii wale watu wenye kazi kubwa walau kuanzia million 2 kwenda juu, ambao najua hawa ni wachache mno
Hapa nazungumzia hizi kazi za kati kama manesi, polisi, walimu, bank teller nk, ambazo hizi ndo kazi za watu wengi
Yaani unakaa mwezi mzima unangoja 500k na kila siku upo kazini na sare zako au na kalamu mfuko wa shati,
Hizi ni akili au matope
Wengi wanataka job security yaani ule uhakika kuwa Utaipata hiyo pesa
Harakati za kufanya mjini na vijijini ni nyingi mno na kupata zaidi ya hicho kiduchu unachopata
Acheni huo utumwa wa hiari acheni kazi mje mtaani tupambane hadi serikali iamue kuongeza maslahi ya kuwapa heshima watumishi wa umma
Wabunge, mawaziri wao wanalipana mamilion Kwa vikao vya kupiga makofi meza, nyie mpo mnalipwa pesa nyanya
Tuambizane ukweli huwezi ukalipwa hako ka pesa
Ukasomesha watoto shule Bora
Ukatibiwa hospital nzuri
Huwezi kufanya utalii hata Mikumi
Huwezi kumiliki hata ICT
Utaishi Kwa mikopo na msongo wa mawazo