Waziri Mkuu aunde tume ya kitaalamu Waichunguze AMCOS

AGROPRODUCT

JF-Expert Member
Apr 2, 2023
242
750
Nani yupo nyuma Ya VIONGOZI WA AMCOS

Wakulima wa Mji mdogo wa Matui Wilayani Kiteto Tunashanga. Nguvu na uhalali wa Viongozi wa AMCOS Matui,

Chama hichi Cha ushirika Matui, hakijawahi kuitisha Mkutano wa wanachama Wala kusoma Mapato na Matumizi, Kikubwa Zaidi hata Bodi ya Uongozi haipo , wajumbe karibu wote , Muda wa Mwenyekiti kuongoza ulishaesha , Wamejiongezea kinyemela,

Hata Mali za Ushirika Zinatumuka na hao viongozi Kuna Trekta wamejibinafisia Viongozi wanatumia kulimia mashamba Yao. AMCOS huo ushirika hawajulikani hata kama walimaliza Deni la Trekta Hilo kutoka Banki pamoja na Hela za kununulia Alizeti.

Pamoja na kutokuwa na Viongozi Hali Wala kutokuitisha Mikutano Wala Uchaguzi. Bado wamepewa nafasi ya Kusimamia MNADA Wa kwanza wazao la MBAAZI .

Je, hizi pesa za wakulima wa Mbazi ambao watapeleka Mnadani tarehe 05/09/2023 siku ya jumanne.

Wananchi wa Matui tunawasiwasi na Mashaka makubwa na Mbaazi zetu na Hela Zetu.

Kwa Hali ilivyo Kuna watu wazito ndio wanawabeba Hawa viongozi.

Tunaomba Waziri wa Kilimo na Waziri Mkuu waunde tumevya kitaalamu ya kuja kuchunguza hichi Chama Cha Ushirika Amcos Matui
 
Suala lako Lina sehemu husika za kupelekwa. Muone mrajisi wa vyama vya ushirika mkoa atawasaidia na sio kulalamika huku.
 
Mkuu jukumu hili la kusimamia Mnada unashauri apewe nani badala ya AMCOS?
 
Mkuu jukumu hili la kusimamia Mnada unashauri apewe nani badala ya AMCOS?
Wadau wakilimo na Wataalam wa kilimo ambao wapo. Kibaya zaidi wameita watu Kwa Siri bila kutoa Taarifa kuwa Kuna mnada na watu hawatuhusiwe kufanya biashara ya Mbaazi. Kuna kikao tunasikia kilifanyika wilayani alipewa taarifa mtu Moja ambae huwa anafanya biashara ya Ukarandasi wa madarasa, hawezi kuwabishia. Leo o ndio nasikia jioni walikuwa Matui kutoa Taarifa Kwa Wakulima na wafanyabiashara,
 
Mkuu jukumu hili la kusimamia Mnada unashauri apewe nani badala ya AMCOS?
Tunajiuiza Hii AMCOS inamiliki trekta , na hili trekta lipo tunasikia Kuna watu wanalitumia kulimia mashamba Yao, Chama hakina bodi, viongozi wamepitiliza muda wa Uongozi, hakuna Mkutano, watu wanaohoji wanatishiaa..Tunakao kujuwa nani yupo nyuma Yao kuwapa kiburi , majivuno, madharau
 
Back
Top Bottom