viongozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Raila Odinga anaelekea kushinda vita dhidi ya corona iliyomuathiri, hongera viongozi wetu kwa kuweka kila kitu wazi

    Huu ni mfano mzuri sana kiuongozi, corona sio gonjwa la aibu hadi ufiche fiche mara sijui changamoto la kupumua na pumba zote.... ODM leader Raila Odinga is out of danger, having tested negative for Covid-19. The news was announced on Wednesday, March 31, by the ODM party on social media...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Viongozi na wanasiasa, ninyi ni wafungwa na mahabusu watarajiwa. Wekeni mazingira safi huko selo

    Kwa mfumo wa siasa za Tanzania zilipofikia kila mtu ni mahabusu au mfungwa mtarajiwa isipokuwa kwa wale wenye kinga. Naomba kwa nafasi zeni wekezeni kutengeneza mfumo wa kisheria unalazimisha vyombo vya dola visirundike watu mahabusu na gerezani bila ushahidi. Wekezeni kutengeneza mfumo...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu, Makamu wa Rais Dkt. Mpango viongozi wapya matumaini mapya

    Mabibi na mabwana safu ya juu kimsingi imekamilika. Sura zote mbili hizi ni mpya: 1. Samia ni mtaka maridhiano, muungwana na aliyedhamiria kupambana na wapigaji. 2. Dr. Mpango ni muungwana aliyeonja uhalisia wa Corona, mchumi ambaye kwa hali yoyote yeye kama mwenye uamuzi, hawezi kukubaliana...
  4. Mzee Mwanakijiji

    JamiiForums Tanzania CCM Inakabiliwa na Changamoto ya Kukosa Viongozi Wawili... Litaathiri Utendaji wa Samia?

    Na. M. M. Mwanakijiji Pamoja na kuwa Taifa limepoteza Rais wake kufuatia kifo cha Rais John Pombe Magufuli Chama cha Mapinduzi kinakabiliwa na changamoto ambayo kama chama hakijawahi kuipitia. Kwa mara ya kwanza Chama cha Mapinduzi hakina Mwenyekiti wake na hakina Katibu Mkuu wake. Ikumbukwe...
  5. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Viongozi wetu hizi sura za kukata tamaa zitawavunja mioyo wananchi

    Kiongozi ni kioo cha jamii, anatakiwa ajiamini na kuwapa matumaini anao waongoza.
  6. Jacobus

    JamiiForums Tanzania Ombi: Viongozi wa dini wasioongea kiswahili wasialikwe Kitaifa

    Hapa nchini tuna dini kuu mbili kubwa, Wakristu na Waislam. Dini hizi zina lugha zao rasmi kwa mfano 1. Wakristu Wakatoliki wao ni Kilatini japo hapa kwetu ni majanga. 2. Waislam wote ni Kiarabu. Nimesema lugha rasmi kwa maana ya sala ila kwenye mahubiri hutumia lugha za Taifa au mama sasa...
  7. The Khoisan

    JamiiForums Tanzania Chama cha wake wa Viongozi Tanzania kinawahusisha akina nani?

    Wakati wa kuweka mashada ya maua leo kwenye ratiba kulikuwa na mwakilishi wa chama cha Wake wa Viongozi. Hivyo hicho chama kinahusisha wake wa viongozi wa ngazi zipi na malengo yake hasa ni nini. Wajuaji tu naomba mtujuze.
  8. J

    JamiiForums Tanzania Wanafamilia 5 waliokufa uwanja wa Uhuru kuzikwa leo. Mchungaji Mastah aongoza ibada

    Wanafamilia 5 waliokufa wakati wa kumuaga hayati Magufuli uwanja wa uhuru wanazikwa leo nyumbani kwao Kimara. Ibada ya kuwaombea marehemu inafanyika katika Kanisa la KKKT Kimara na inaongozwa na mchungaji kiongozi wa Kanisa hilo. Mkuu wa wilaya ya Ubungo na mbunge wa Kibamba wamehudhuria...
  9. Mzanzibari Huru

    JamiiForums Tanzania Aliyoyafanya Hayati Magufuli kwa miaka 6 ni makubwa zaidi ya yaliofanywa na serikali nyengine za Afrika kwa miaka 60

    Ndugu Wanajukwaa Kumpenda na kutokumpenda Hayati Magufuli ni chaguo binafsi la mtu. Pamoja na kwamba yeye alikuwa ni binadamu kwahivyo hakukosa kufanya makosa lakini ukweli ni bora usemwe tu. Mambo ya maendeleo aloyafanya ni makubwa sana. Ni kweli kwamba marehemu alikuwa na ujasiri mkubwa wa...
  10. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa viongozi wa Umma kuepuka kutumbuliwa na Rais Samia Suluhu

    Viongozi wa umma nawapa ushauri wa bure kuepuka kutumbuliwa na Raisi Mpya Samia 1. Spidi mliyokuwa nayo kipindi cha Rais Magufuli msiache mkiacha wananchi watatungua kilio kumlilia kumkumbuka Magufuli kuwashtaki kwa Raisi mpya kuwa angekuwepo tungepata huduma kwa wakati na spidi nk hivyo Raisi...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Ni miujiza? Mbona viongozi hawazimii?

    Kwenye kuuaga mwili wa hayati Hayati Magufuli tunaona wananchi wa kawaida tu ndio wanazimia, kudondoka na baadhi hata kufa. Mbona sasa hatuoni haya yakiwapata viongozi, hasa waliokuwa karibu zaidi na hayati? Au ni kweli kuwa wananchi wanyonge tu ndio walimpenda, wengine walipenda matumbo yao?
  12. K

    JamiiForums Tanzania Walinzi wa viongozi kutofumba macho wakati wakusali ni lazima kwa mujibu wa kazi yao au hiari yao?

    Ukiangalia maeneo mengi walipo viongozi hata kwenye nyumba za ibada huwa awafungi macho na baadhi hawafuatilii hata misa japo wapo nyumba ya ibada, Je, desturi hii inatokana na maelekezo ya kazi yao au ni utamaduni wa mtu mmojammoja?
  13. Fantastic Beast

    JamiiForums Tanzania Nakazia, viongozi chukueni tahadhari ya Corona

    Naombeni kuwakumbusha viongozi wetu pamoja na wasaidizi wa viongozi, MSIICHUKULIE POA CORONA, CHUKUENI HATUA MADHUBUTI KIPINDI HIKI CHA MKUSANYIKO WA MSIBA WA KUMUAGA HAYATI JPM. Nanyi wasaidizi wa Rais mteule wa sasa Mh. Samia Suluhu, hakikisheni mnamlinda kwa gharama zozote na maambukizi ya...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Viongozi mjisahihihe; Kuongoza siyo kupiga marufuku bali ni kuleta suluhisho

    Chuki hupandwa, huchipua na hukua na huenea! Chuki ni kama harufu mbaya ambapo bila kutoa uozo harufu inaendelea kuwepo! Viongozi wengi hasa awamu hii wamekosa maono, wamegeuka wanyampala! Viobgozi wengi siku hizi Wanazani kuongoza na udanganya, kuficha, kupiga marufuku au kuzalilisha! Huwezi...
  15. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania Nchi za Afrika zilizowahi kuongozwa na Viongozi Wakuu wanawake

    Mama Samia Suluhu Hassan ameapishwa leo kuwa Rais wa Sita wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kufuatia kifo cha Dkt John Magufuli hapo Machi 17. Rais Samia anakuwa mwanamke wa kwanza Tanzania kushika nafasi hiyo. Wafahamu wanawake wengine walioshika nyadhifa za juu kabisa katika nchi zao barani...
  16. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania Wakuu wa nchi za Afrika waliofariki wakiwa madarakani kuanzia mwaka 1960 - 2021

    Mwaka 2021, Tanzania inaomboleza kifo cha kiongozi wake wa nchi aliyefariki akiwa madarakani, John Pombe Magufuli aliyefariki kwa ugonjwa wa moyo. Hii hapa orodha ya Wakuu wengine wa nchi za Afrika waliofariki wakiwa madarakani kuanzia mwaka 1960 hadi 2021. Mwaka Nchi Kiongozi Sababu 2021...
  17. This is...

    JamiiForums Tanzania Orodha ya viongozi ambao Rais Samia anatakiwa kuwafuta kazi haraka

    Kuna watu/viongozi ambao kwa namna moja au nyingine wameonekana kuwa sumu ktk nchi yetu wakati wa utawala wa Magufuli. Hivyo watu hawa wanastahili kuondolewa ktk ofisi za umma. Wapo wengi lkn mimi nitataja wachache. Tuanzie ngazi ya kitaifa hadi ngazi ya wilaya. Mimi napendekeza wafuatao...
  18. BAK

    JamiiForums Tanzania Askofu Mwamakula: Mpendwa Mama Samia Suluhu Hassan, mambo yafuatayo ni muhimu

    Mpendwa Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan! Kama nilivyoandika hapo awali, ninapenda kuchukua tena nafasi hii kutoa salaam zangu za pole kwako wewe binafsi kufuatia kifo cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli. Hakika, hiki ni kipindi kigumu sana kwako wewe binafsi na...
  19. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Wito kwa Viongozi wengine na watanzania kwa ujumla

    WITO KWA VIONGOZI WENGINE NA WATANZANIA KWA UJUMLA Na, Rpbert Heriel Kwanza namshukuru Mungu, yeye aliyemuweza wa yote, mwenye mamlaka atupaye mamlaka, mwenye nguvu atupaye nguvu, mwenye elimu atupaye elimu, Huyo mwenye kila sifa njema ndiye namshukuru. Baada ya hapo, niwape pole wote...
  20. A

    JamiiForums Tanzania Viongozi waliofariki tangu kuibuka kwa hili gonjwa la COVID-9

    Ndugu waTanzania wenzangu, Bila shaka taifa letu linapitia katika kipindi kigumu kabisa katika historia yake baada ya kumpoteza Rais wetu Mh. John Magufuli. Nimeungana na waTanzania wenzangu kuomboleza kifo cha rais wetu na bila shaka kwa walio na wajibu kikatiba (mama Samia na wenzake)...
Back
Top Bottom