viongozi wa dini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. benzemah

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Dini Wakoshwa na Bwawa la Nyerere

    Wakati mradi wa kufua umeme wa Bwawa la Julius Nyerere (JNHPP) ukifikia asilimia 90 ya ujenzi wake, viongozi wa dini wamesema watakwenda kuwaelezea waumini wao umuhimu wa kutunza mazingira ili mradi huo uwe endelevu. Viongozi hao kutoka Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT) na Baraza la Maaskofu...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Kuelekea chaguzi za 2024/2025, Viongozi wa Dini timizeni majukumu yenu

    Mimi naamini kuwa, Nchi yetu imefika hapa ilipo kutokana na viongozi wetu wa Dini kujisahau kidogo kutimiza majukumu yao vizuri kwa waamini wao. Viongozi wa Dini tumehubiri sana Amani, Utulivu na Upendo Makanisani na Misikitini tangu tupate uhuru mpaka sasa lakini hatujafanikiwa sana kwa sababu...
  3. F

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Dini wa Sadaka hawawezi kuliokoa Taifa

    Viongozi wa dini wa sadaka hawawezi kuliokoa taifa. Imeendelea kuthibitika kwamba viongozi wa dini hususan wa Kikristo wamejaa unafiki, tamaa ya sadaka, madaraka, publicity, ubinafsi na hivyo kuchangia pakubwa kuikwamisha nchi kwa kupigia makofi na kusifia mapito ya nchi. Viongozi wa dini wa...
  4. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Dini Wanasema: "Wabunge wetu hawategemei Kura za wananchi ndiyo Maana hawana heshima"

    Hii Ngoma bado mbichi kabisaa Maana viongozi wa Dini wamesema wameiskilza Serikali ila Wao watatoa matamko Yao baadae. Lakini hoja zao zimeonekana zenye akili na uelewa wa Juu wa mambo haya tofauti na wabunge wetu.. wanasema wabunge walio wengi hawategemei Kura, wanaamini iwe jua au mvua...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania NEMC na JMAT wawaelewesha Viongozi wa Dini juu ya Sauti zilizozidi. Waziri Mkuu Majaliwa atoa Maagizo 8

    Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) kwa kushirikiana na Jumuiya ya Maridhiano na Amani Tanzania (JMAT) leo 12 Juni 2023 wameendesha Kongamano la Kitaifa la Kujengewa uelewa kwa viongozi wa Dini na Kimila juu ya Athari za Sauti zilizozidi Viwango Katika Nyumba za Ibada...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Dini wanazungumza na Serikali kuhusu Mkataba wa Bandari kati ya Tanzania na Dubai

    Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa anazungumza na viongozi wa dini mbalimbali kuhusu mkataba wa ushirikiano wa kiuchumi na kijamii wa bandari kati ya Serikali ya Tanzania na Dubai. Mkutano huo unafanyika kwenye Ukumbi wa Kurasini Centre, TEC Jijini Dar es Salaam, leo Jumatatu...
  7. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Viongozi wa Dini kuunguruma kesho kuhusu suala la Bandari na DP World

    Ikiwa ni siku moja baada ya Bunge la Tanzania kupitisha Azimio la Serikali kuingia Makubaliano na Kampuni ya DP World kuendesha bandari za Tanzania, inadaiwa kuwa Viongozi wa Dini wamejiandaa kutoa tamko zito kuhusu suala hilo hapo kesho. Je, tutarajie nini kutoka kwa Viongozi hao? ====...
  8. I

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa dini nawasihi kuandaa siku maalum kuliombea taifa.

    Naomba kuwasihi viongozi wote wa dini nchi Tanzania kuandaa siku maalum kuliombea taifa na kuwashtaki kwa Mungu wahusika wote kwenye ubinafsishaji huu utakaolitumbukiza taifa shimoni hadi vizazi vijavyo. Kwa waislam zisomwe albadir na kwa wakristo zigongwe kengele mara3 kuashiria msiba na...
  9. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Dini susieni Mkutano wenu na RC Chalamila kwa kuwa ajenda yake ya Aibu imejulikana

    Ni aibu kwa viongozi wa dini kuhudhuria mkutano wa kumsaidia Samia apite bila kupingwa, hiyo inamaanisha mkutano huo mnaenda kuhongwa ili muegemee upande Mmoja. Ni aibu kuhudhuria mkutano wa kujadili namna ya kuisaidia CCM kubaki madarakani, ni aibu kwenu na ni aibu kwetu sisi waumini wenu...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Chalamila: Wiki ijayo nitakuwa na kikao na Viongozi wa Dini ajenda kubwa ni Tokomeza adui ili Rais Samia apenye bila kupingwa

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila ameyasema hayo akizingumza katika mapokezi ya ndege mpya ya mizigo aina ya BOEING B767-300F, mapokezi yanayoongozwa na Rais Samia katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) Dar es Salaam.
  11. S

    JamiiForums Tanzania SoC03 Serikali ianzishe utaratibu wa kuwashughulikia viongozi wa dini wanaohatarisha maisha ya watu

    Kutokana na madhara yanayoendelea kuwapata watu kutokana na mafundisho au maelekezo ya baadhi ya Viongozi wa Dini kwa ajili ya kutimiza haja zao au kutimiza mahitaji yao na matamanio ya mioyo yao, imepelekea kuathiri maisha ya watu kwa namna moja au nyingine. Kutokana na athari hizo zinazo...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Nchi hii imepitia madhira makubwa sana. Eti na hawa ni viongozi wa dini

    Kanisa la TAG wakitafuta kupendwa na Magufuli enzi hizo. Ujinga mtupu , eti nao ni Maaskofu. Leo Malasusa na Pengo eti shatani Musiba asamehewe! Rubbish!
  13. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Kama viongozi wa dini ndio Hawa je Dunia tuiache mikononi mwa wanasiasa?

    Kwa Sasa Dunia yetu inapitia mengi sana sana ...tuanze na la ushoga na usagaji....Kisha vita ya wenyewe kwa wenyewe ....tatu ugaidi ukiongozwa na makundi mbalimbali ya wanamgambo...ukame ukosefu wa chakura duniani ..matukio ya makanisa kugeuzwa vituo vya mauaji na upotofu mkubwa wa Imani kiasi...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini viongozi wa Dini Tanzania hawajakemea mauaji yaliyosababishwa na Mchungaji Kenya? Wanaogopa nini kukemea Imani potofu?

    Tulitegemea viongozi wa Dini wakemee mauaji huko Kenya, lakini wamekaa kimya means wanaona ni sawa alichofanya mwenzao? Soon wachungaji wa Tanzania nao wataleta crisis kama ya Kenya kutokana na kukosekana Kwa udhibiti wa mahubiri. Hiki alichofanya mchungaji Kenya, alikifanya kibwetere Uganda...
  15. D

    JamiiForums Tanzania Membe waonee huruma Hawa wake wawili wa Musiba kama umewakatalia viongozi wa dini

    Naomba niseme kwa ufupi sana, Mwera Bernard Membe ana hasira na chuki ya wazi kwa mtukanaji Ciprian Musiba. Hali hii Sasa ni Tete. Yono anatangaza mnada wa mali za Musiba Ijumaa na wanunuzi wameshajaa ofisini kwa Yono na miongoni mwao ni waliotukanwa na Musiba. Membe amekataa ushauri wa kila...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Miaka 20 ya Maranatha: DC Jokate ashiriki ibada, aomba viongozi wa dini kuombea serikali

    MIAKA 20 YA MARANATHA DC JOKATE ASHIRIKI IBADA, AOMBA VIONGOZI WA DINI KUOMBEA SERIKALI. Na Miko Luoga Tanga Mkuu wa wilaya ya Korogwe mkoani Tanga Jokate Mwegelo amewaomba viongozi wa dini na waumini wilayani humo kuwaombea viongozi wa serikali na ardhi ya Tanzania ili Taifa liendelee kuwa...
  17. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania Pongezi viongozi wa dini kwa kukemea ushoga, Ndoa za jinsia moja

    Nilipohudhuria ibada kuanzia Alhamisi Kuu, Ijumaa Kuu mpaka Jumapili ya Pasaka nimeona jinsi viongozi wetu wa dini walivyojipanga katika kukemea maovu haya. Siku ya Ijumaa kuu, Askofu alitumia muda mwingi kukemea tabia za ushoga na ndoa za jinsia moja (sikuelewa kwanini alitilia mkazo sana), Pia...
  18. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Madai ya Zitto ya vijana wa Usalama wa Taifa kuua viongozi wa dini msikitini ni mazito sana. Ukweli ujulikane isijekuwa anataka sifa za kiha

    Hizi tuhuma ni nzito sana. 👇
  19. chiembe

    JamiiForums Tanzania Kamati ya amani ya viongozi wa dini imfukuze sheikh Alhad Mussa, kadhihirisha hafai kwa lolote

    Nashauri Kamati ya Amani ya Viongozi wa dini imfukuze Alhad Mussa katika nafasi yake katika kamati hiyo, amekataliwa Kila sehemu, nadhani hata kwa familia yake. Chochote atakachofanya hakitaungwa mkono na Bakwata.
  20. Mung Chris

    JamiiForums Tanzania Udhaifu wa miili ya viongozi wa dini wasio ruhusiwa kuoa je vinahusiana na magonjwa

    Wadau naomba mnijuze, je wadhifa wa mtu unaweza kumfanya achoke mapema na kuanza kujisikia kuumwa sana hadi kufikia kuachia kiti. utakuta kiongozi wa dini haruhusiwi kuoa ila anapofikia umri wa 80 bas anakuwa mgonjwa na magonjwa makubwa ambayo humfanya aachie ngazi kuendelea na majukumu. Sisi...
Back
Top Bottom