Kamati ya amani ya viongozi wa dini imfukuze sheikh Alhad Mussa, kadhihirisha hafai kwa lolote

chiembe

JF-Expert Member
May 16, 2015
11,983
20,634
Nashauri Kamati ya Amani ya Viongozi wa dini imfukuze Alhad Mussa katika nafasi yake katika kamati hiyo, amekataliwa Kila sehemu, nadhani hata kwa familia yake. Chochote atakachofanya hakitaungwa mkono na Bakwata.
 
Nadhani huo ujumbe aliupata kutokana na nafasi aliyokuwa nayo, kama ni hivo basi atakuwa amepoteza na huko pia!.
 
Huyo Musa, Malasusa na Pengo ni vitendea kazi vya CCM hivyo
@chiembe
Kumbe na wewe unaendekeza visasi visivyo na tija?
Akifukuzwa au asipofukuzwa!
Wewe chiembe unaongezewa au kuoungukiwa nini?

Mwenyezi Mungu pekee ndie mwenye mamlaka ya kumkataa Binadamu hapa Duniani.

Wewe pambania Roho na Familia yako!

Unachowaombea wenzako huenda kikakirudi wewe binafsi.
Au uzao wako ukiwa wewe ushaondoka Duniani.

Tuache kutumika kwa maslahi ya wengine!

Nadhani umenielewa.....
 
Nashauri Kamati ya Amani ya Viongozi wa dini imfukuze Alhad Mussa katika nafasi yake katika kamati hiyo, amekataliwa Kila sehemu, nadhani hata kwa familia yake. Chochote atakachofanya hakitaungwa mkono na Bakwata.
Ateuliwe tu kuwa RC ama Balozi kwa kazi nzuri ya kuitetea serikali ya CCM
 
@chiembe
Kumbe na wewe unaendekeza visasi visivyo na tija?
Akifukuzwa au asipofukuzwa!
Wewe chiembe unaongezewa au kuoungukiwa nini?

Mwenyezi Mungu pekee ndie mwenye mamlaka ya kumkataa Binadamu hapa Duniani.

Wewe pambania Roho na Familia yako!

Unachowaombea wenzako huenda kikakirudi wewe binafsi.
Au uzao wako ukiwa wewe ushaondoka Duniani.

Tuache kutumika kwa maslahi ya wengine!

Nadhani umenielewa.....
Mpumbavu kabisa wewe kaelewane na Sukuma Gang wenzako
 
Huyo Musa, Malasusa na Pengo ni vitendea kazi vya CCM hivyo
Mkuu usisahau kwamaba askofu mkuu wa KKKT Shayo na yule aliyekuwa Kijitonyamama na yule wa Kagera nao ni vitendea kazi vya Chadema achia mbali askofu uchwara Mnyakyusa wa kanisa ambalo hata usajiri halina
 
Nashauri Kamati ya Amani ya Viongozi wa dini imfukuze Alhad Mussa katika nafasi yake katika kamati hiyo, amekataliwa Kila sehemu, nadhani hata kwa familia yake. Chochote atakachofanya hakitaungwa mkono na Bakwata.
Bakwata ndo nini
 
Mizengo Pinda amependekeza apewe PhD ya heshima,sasa soma katikati ya mistari
 
Back
Top Bottom