viongozi wa dini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa dini zote nchini himizeni maombi ya kuiombea mvua msije kuhubiria watu 'wachafu' makanisani/misikitini

    Na tambueni mvua zisiponyesha ina maana hata maji ya kuoga, kunywa au kutawazia hayatokuwepo, na mtajikuta mnakosa kabisa waumini makanisani na misikitini kwani hakuna mpuuzi atakayependa kwenda ibadani kumuomba Menyezi Mungu huku akiwa mchafu na ananuka pia. Hivyo basi GENTAMYCINE nawahimiza...
  2. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Dini wakemee pia Uharibifu wa Mazingira wanapohimiza watu waache dhambi ili mvua zinyeshe

    Pichani ni mti niliokuta umekatwa sehemu ambayo hakuna miti kabisa na kuna shule ya sekondari. Na pia eneo ambalo mti ulikuwepo sio hata uwanja wa mpira. Mimi kama mpenda mazingira nikajiuliza maswali mengi sana yanayoweza kuwa sababu ya kukata huu mti nikakosa sababu yenye mashiko. Nimepanga...
  3. P

    JamiiForums Tanzania Kuombea mvua wakati ni huu viongozi wa dini sauti zenu zisikike

    Mwaka jana ukame ulikuwa wa kutisha kanda ya kaskazini nzima. Basi linasimama pale Bombo na ukitazama wauza matunda hali ni mbaya ya kile wanachokiuza. Nakumbuka niliuziwa machungwa ya kuvundikwa hakukuwa na matunda mengine zaidi. Mwezi kama huu mwaka jana. Hali naiona haina tofauti sana na...
  4. F

    JamiiForums Tanzania Askofu wa Katoliki Jimbo la Bukoba atetea uwepo wa kiti cha Rais Kanisani

    Wapendwa, nimeona mjadala juu ya kiti cha Rais na nikaonelea nitoe maelezo kidogo. Kanisa katika protocol zake inatambua na kuwaheshimu viongozi katika hadhi zao mbali mbali. Hii protocol siyo ya sasa au jana ni ya miaka mingi. Rais ni kiongozi wa nchi hivyo hadhi yake ni hadhi ya nchi siyo...
  5. JF Member

    JamiiForums Tanzania Hii nchi inateketea, Viongozi wa dini saidieni

    Hii nchi iko kwenye mkwamo unaohitaji nguvu ya Mungu kabla mambo hayajafika pabaya. Bahati Mbaya viongozi wa dini hawafanyi tena makongamano ya kumtukuza Mungu. Kwa sasa ajari ni nyingi mno, kila siku kuna majanga ya kila aina, watu kuuwawa, watu kujiua, ajari za magari, milipuko ya matanker...
  6. TODAYS

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 NAIROBI: Viongozi wa Dini wamuangukia Raila kabla hajalianzisha!

    Viongozi wa dini wamekutana na ndg Raila Odinga ili kujadiliana kwa suala la amani, katika kikao hicho ajenda kubwa ilikuwa suala la AMANI kuliko HAKI. Baadhi ya wanachama wa Azimio wamesema kuwa, wao hawapingani na Amani bali wanapinga Dhuruma, pia wameendelea kusema hawataki Amani ya...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Watanzania na Viongozi wa Dini tufunge na kuliombea hili Taifa

    Sitaki kunyoosha kidole kwa mamlaka maana nina imani kila mamlaka inawekwa na Mungu. Iwe mbaya au nzuri ila anaye isimika ni Mungu pekee iwe kwa wizi wa kura ama kwa namna yoyote bado Mungu ndie anaye ziweka mamlaka nakuzipa ridhaa kuwaongoza watu. Yes kama Mungu angakuwa sio anaye bariki mambo...
  8. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Sabaya komaa mpaka mwisho, usitume viongozi wa dini kuomba msamaha

    Mwamba wa Chadema alijifanya nunda lakini mwisho wake alituma viongozi wa dini ili wamchomoe na akalia sana kwa hudhuni ya huruma. Sasa hivi habari ya katiba mpya na kudai haki za wanyonge amesahau amebaki kuhudhuria live concert sababu yeye ni Deejay
  9. N

    JamiiForums Tanzania Taasisi za dini, zinazoomba zisitozwe kodi ni wezi, Serikali msikubali kwa hilo

    Mara kwa mara, taasisi za kidini zimekua zikiomba serikali kutowatoza kodi kwenye huduma wanazotoa, wakidai kwamba wao hawafanyi biashara bali wanatoa kusaidia jamii, Huu ni wizi fatilia shule, hospitali na vyuo vya kidini wanatoza gharama kubwa kuliko hata vya watu binafsi, vyuo vingi vya...
  10. Mwanamayu

    JamiiForums Tanzania Hivi viongozi wa dini wanavaa kweli ndani?

    Hapa kiongozi huyu wa dini yupo ndani ya nyumba ya ibada anasali. Ila, kwenye dakika ya 17:40-17:43 inaonekana kama ndani hakuna kitu. Hivi huwa awavai ndani?
  11. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa dini Tambueni, Tume Huru itapatikana ktk Katiba Mpya. Sisitizeni Katiba Mpya kabla ya 2025

    Tupate Katiba Mpya ambayo itaweka wazi kuwa viongozi wa Tume ya Uchaguzi kuanzia mwenyekiti wa taifa mpaka wasimamizi wa uchaguzi wawe watu huru wasiofungamana na upande wowote na wasiwe na vinasaba vya kufungamana na chama chochote. Huu ndio utakuwa msingi wa kisheria wa kuwa na tume huru...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Dini Kilimanjaro wakanusha kumpokea kiongozi yeyote wa kisiasa Machi 19, 2022

    Sisi viongozi wa Dini wa Mkoa wa Kilimanjaro tumeshangazwa na ujumbe unaosambazwa mitandaoni kwamba tutahusika na mapokezi ya Kiongozi wa Kisiasa . Tunatambua kwamba ujumbe huo ni wa Wanasiasa na wala haujatoka kwetu sisi viongozi wa Dini. Sisi kama viongozi wenu wa Dini tunaendelea kujikita...
  13. Memento

    JamiiForums Tanzania Wito: Waliomrekodi na kusambaza video ya Mbunge mstaafu Prof Jay akiwa ICU wachukuliwe hatua

    Hiki kitendo kimefanyika si Cha kiungwana hata kidogo na kimefanywa na watu ambao huwezi kutegemea. Inadaiwa kuwa madaktari na wauuguzi waliokua ICU wakimhudumia Prof J wamechukua video na kwenda kumuuzia yule dada ili aisambaze mtandaoni. Sio uungwana hata kidogo. Serikali kupitia hiyo video...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Dini wamenikwaza sana! Rais Samia na Mamlaka zake zisikubali huo mtego

    Jana Jumatano Machi 02, 2022 Viongozi wetu wa Dini walikutana na Rais Samia Suluhu Hassan na kufanya nae mazungumzo mbalimbali pale Ikulu. Katika hali iliyonishangaza Mimi na nadhani hata kwa Watanzania wengine wengi ni hatua ya Viongozi wa Dini kuomba Rais Samia na Mamlaka zake zitumie busara...
  15. Tajiri Tanzanite

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa dini msitumie taasisi za kidini kumtetea mhalifu

    Hapo vipi! Jana nimesikia maombi ya viongozi wa dini kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kiukweli kinachoonekana hapo nikwamba baadhi ya viongozi wa dini ni wanasiasa wenye mrengo fulani, lakini namuona kiongozi mmoja wa dini ambaye ndio, aliyepanga huo makakati kwa lengo la kumuombea...
  16. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa dini waliokutana Rais Samia Wamemshauri kuifuta kesi ya Mbowe

    Hivi ndivyo Mwananchi walivyoeleza kwenye tovuti yao jioni hii . Hoja hiyo iliwasilishwa mbele ya Rais na Shehe Mkuu (BAKWATA) Mufti Aboubakar Zuberi ======= VIONGOZI WA DINI: BUSARA ITUMIKE KUMALIZA KESI YA MBOWE Viongozi hao wameomba Mamlaka husika kutumia busara na kuangalia namna ya...
  17. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Viongozi wa dini waguswa na mauaji yanayotokea nchini

    Kamati ya viongozi wa dini mkoa wa Mwanza imefanya mkutano wa kukemea hali ya mauaji yanayoendelea hapa nchini ambao wamekutana kwa ajili ya kujadili hali ya mauaji yanayoendelea. Mbali na kamati ya viongozi wa dini mkoa pia wameshirikishwa viongozi wote wa dini wa mkoa wa Mwanza. Katika...
  18. Stroke

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa dini fanyeni maombi ya kitaifa kuondoa hali mbaya ya mauaji iliyokithiri nchini

    Kwa hali iliyopo sasa ya kuamka na kusikia vitendo vya mauaji kila mahali Kama Taifa ipo haja ya viongozi wa dini kufanya maombi ya kitaifa ili kulinusuru na hali hii mbaya. Vile vile ipo haja ya wazazi katika level za kifamilia kuboresha makuzi ya watoto wao katika misingi ya Tabia sahihi Na...
  19. Suley2019

    JamiiForums Tanzania TRA yawaomba viongozi wa dini kuhamasisha ulipaji kodi

    MKURUGENZI wa Huduma na Elimu kwa Mlipakodi (TRA), Richard Kayombo amewaomba viongozi wa Dini kuhamasisha ulipaji wa kodi nchini huku akidai asiyetoa risiti ana nia ya kijidhulumu yeye na Serikali yake na wananchi wenzake na atawachelewesha kwenye masuala ya upatikanaji wa huduma za kijamii...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Watu wanapotea, wanakufa lakini wanasiasa na Viongozi wa dini kwao siyo agenda

    Kuna taarifa zakupotea vijana watano zinasambaa mitandaoni Lakini hakuna kiuongozi wa serikali aliyetia Beno, wote wapo kimya kama vile waliopotea siyo watu. Viongozi wa dini nao wapo kimya utadhani Hawa siyo waumini wao. Ni lini mliopewa dhamana mtachukulia haya mambo kwa uzito wake? Six years...
Back
Top Bottom