viongozi wa dini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa dini wamekutana na madereva bodaboda zaidi ya 200 kufanya maombi na kuondoa pepo la ajali

    Jopo la wachungaji na viongozi wa dini mbalimbali wamekutana na madereva bodaboda zaidi ya 200 wa kijiwe cha Kilimanjaro ndani ya Halmshauri ya Mji Tunduma kwa lengo la kufanya maombi na kuondoa pepo la ajali zilizotokea mfululizo ndani ya mwezi Agosti na kusababisha vifo. Chanzo: East Africa...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini viongozi wa dini huwa hawakemei huu uonezi wa Polisi?

    Naamini hawa Viongozi wa CHADEMA ni waumini, tena asilimia kubwa ni wakristo kwa nini Viongozi wa Dini wamekaa kimya au wanaona walichofanyiwa walistairi?
  3. J

    JamiiForums Tanzania Kama Wabunge wanalipwa Mishahara sioni kwanini Viongozi wa Dini wasilipwe Mishahara na Serikali. Nakubaliana na Shehe Bombo

    Wabunge wetu Wana shughuli zao nyingine zinazowaingizia kipato kama Biashara, Kilimo n.k lakini wanalipwa mishahara minono na Serikali na Vyama vyao vinapewa Ruzuku kila mwezi. Sasa kwanini Viongozi wa dini ambao ndio Watengeneza amani ya Mwili na Roho wasilipwe mishahara na Serikali...
  4. Inevitable

    JamiiForums Tanzania Sheikh Bombo: Viongozi wa Dini tuingizwe kwenye payroll ya Serikali

    Sheikh Ibrahim Bombo kutoka Mkoani Mbeya amependekeza Serikali ianzishe utaratibu wa kulipa mishahara kwa Viongozi mbalimbali wa Dini kutokana na kazi nzuri wanayoifanya ya kulinda amani na kuhamasisha maendeleo Nchini Tanzania ambapo amependekeza kiwango chao cha chini cha mshahara kisipungue...
  5. tamsana

    JamiiForums Tanzania Kwanini kwenye Matukio ya Kiserikali Viongozi wa Dini hufanya maombi kwa kusoma karatasi kama risala?

    Salam! Nimekuwa najiuliza maswali kuhusu wanachofanya viongozi wa Dini wanapoalikwa kwenye matukio makubwa ya kitaifa hasa yanayomuhusisha Mhe. Rais. Moja ya swali ninalojiuliza ni namna viongozi hao wanavyofanya SALA/MAOMBI kwa kusoma kama wanasoma risala. Nauliza ndio utaratibu wa serikali...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa wameingia rasmi kwenye mwaka wa harambee kwenye nyumba za Ibada; viongozi wa dini changamkieni fursa

    Tupo kwenye mwaka mmoja na nusu ambapo kamati za miradi na ujenzi za makanisa na misikiti zinapanga mipango mingi ya kukusanya fedha kwa wanasiasa Ni kipindi ambacho taasisi za dini uacha kuangalia uchafu wa fedha na kupima vyanzo vya fedha husika. Ni kipindi cha wanasiasa kupokea mialiko...
  7. realMamy

    JamiiForums Tanzania Maendeleo ya Utandawazi mwiba kwa baadhi ya viongozi wa dini na Kiserikali

    Sasa hizi ni kawaida kwa matukio kuchukuliwa na vifaa mbalimbali ikiwamo Simu. Kibaya zaidi hata uongee mazuri kiasi gani watu watatoka na baya moja tu. Umakini unahitajika katika kipindi hiki ambacho kila mtu ni Mwanahabari.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Ujinga ni mtaji

    Anaandika Askofu Bagonza Tulizoea kusema UJINGA NI MZIGO lakini kwa sasa UJINGA NI MTAJI wa makundi mbalimbali: 1. Viongozi wa Dini: Wanahitaji wajinga wengi ili wawauzie wokovu, utajiri hewa, uponyaji nk. 2. Wanasiasa: Wanahitaji wajinga wengi ili wawadanganye bila kukamatwa na wawajaze...
  9. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kinana: Rushwa ni adui wa haki, Dini zote zinakataza na chama chetu kinakataza

    KINANA: MKITUMIA RUSHWA KATIKA UCHAGUZI MTAPATA VIONGOZI WABOVU Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Abdulrahman Kinana amesema uongozi unaopatikana kwa njia ya rushwa ni uongozi mbaya na viongozi hao hawawezi kuwajibika katika kuwatumikia Wananchi. Amesema hayo wakati...
  10. Escrowseal1

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa na viongozi wa dini ni tishio kubwa la ustawi wa jamii ya watanzania na Afrika

    Viongozi wa dini. Hili eneo wengi wanaliogopa ila ni eneo hatari sana linaloathiri ustawi wa watu wetu. Lina uhusiano mkubwa sana na politicians. Eneo la dini limekuwa hatarishi sana kukwamisha ustawi wa watu wetu. Viongozi wanajipatia ukwasi usiomithirika kwa kuwanyonya wananchi mafukara sana...
  11. E

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa dini nchini wasingekuwa wategemezi wa sahani za watawala nchi ingeponywa

    Viongozi wa dini acheni kupenda fedha kutoka mifukoni mwa watawala, wenzenu wameshashtukiwa huko Kenya sasa vijana wameamua kujisimamia Siku ikitokea madai na maandamano ya vijana nchini hamtakuwa na nguvu ya kukemea maana mmechagua kula makombo kwenye sahani za watawala. Hizo warsha...
  12. Pdidy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Viongozi wa dini Kenya siyo wa kuaminika kabisa

    Wakati vijana wameingia mtaani waliitisha mkutano wakasema Rais Ruto asikilize hao vijana wanateseka wanahitaji ajira na mengineyo. Mh Ruto akagoma kusaini akaamua kuwasikiliza. Hawakurudi kumpongeza Ruto waliitisha tena mkutano wakasisitiza akae nao, Ruto akaagiza anataka kuonana na viongozi...
  13. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Nini lengo la viongozi wa dini kufanya sala kwenye matukio ya kitaifa?

    Nchi yetu Haina dini, hilo linafahamika. Lakini karibia kila tukio la kitaifa, lazima viongozi wa dini wawepo kwa ajili ya sala. Hiyo inamaanisha nini? 1. Watawala wanaamini sana katika maombi? Sidhani, kwa sababu kama ndivyo, kwa nini wawaalike wa dini zenye maarufu pekee? Mara nyingi...
  14. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Umma wa watanzania hasa VIONGOZI wa DINI, kemeeni Rushwa ya waziwazi ya Pikipiki za Rais Samia

    1. Nimewasikia mkijinadi kukemea maadili kwenye Idd Al Adha, . Kumomonyoka kwa maadili si ushoga na ngono. and the like 2. Wizi, Rushwa , ukatili , uongo na vitu kama hivyo ni mmomonyoko wa maadili tena mkubwa 3. Samia anagawa pikipiki za rushwa ya wazi hammkemei, halafu mnasema nyie ni...
  15. Abdul Said Naumanga

    JamiiForums Tanzania Kwanini mtandao wa X (Twitter) unapigwa vita nchini Tanzania?

    Katika miaka ya hivi karibuni, Tanzania imekuwa ikishuhudia mijadala mikali kuhusu matumizi ya mitandao ya kijamii, hasa Twitter, ambayo imekuwa ikichukuliwa kama mtandao wenye nguvu katika kuhamasisha mabadiliko na kutoa maoni. Hata hivyo, kumekuwa na upinzani mkubwa kutoka kwa baadhi ya...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa dini mbioni kukosa uhalali machoni pa waumini wao

    Kumekuwa na tabia sugu ya viongozi wengi wa Dini kusoma aya zinazohamasisha tu kutoa SADAKA. Lakini pia wamekuwa wakibuni mbinu za kila aina za kuwakamua Waumini wao Makanisani. Mambo ya ovyo yanayofanywa na viongozi wengi wa serikali hawana habari nayo kwa sababu wao wanashibishwa kwa...
  17. Heparin

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya ya Mafia: Watoto 15 wamelawitiwa na Ustadhi wa Madrasa Kisiwani Mafia

    Licha ya Serikali kupambana kupiga vita dhidi ya vitendo vya ukatili wa kijinsia lakini bado Wananchi na wakaadhi wa Kisiwa cha Mafia baadhi yao wameonekana kutia pamba masikio na kupelekea kuongezeka kwa vitendo hivyo hasa kwa watoto wakiume Akizungumza kwa hisia kali kwenye mkutano wa hadhara...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Je! Viongozi wa dini na wao wanaapa baada ya kuchaguliwa?

    Naomba kuuliza? hivi Viongozi wa dini baada ya wao kufanya uchaguzi ndani ya taasisi zao na wao huwa wanaapa kwa kutumia vitabu Vitakatifu Kama ilivyokwa Viongozi wa Serikali ?
  19. NostradamusEstrademe

    JamiiForums Tanzania Kila kitu sio kumsingizia shetani sasa sisi waumini tumwamini nani sasa kati ya shetani na viongozi wa dini tunaowategemea.

    HAYA NI MATUKIO MAWILI TOFAUTI YALIYOTOKEA WIKI ILIYOPITA Askofu Mkuu wa Makanisa ya Methodist, Joseph Bundala amejinyonga ofisini kwake kwa kutumia waya wa simu Chanzo mwananchi 17th May 2024 xxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxx . Inadaiwa, kabla ya kujinyonga Frateri...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa dini, iepukeni dhambi hii

    Kwa kipindi hiki tunapoelekea kwenye chaguzi za serikali za mitaa na uchaguzi mkuu mwaka unaofuata kumekuwa na tabia ya viongozi wa serikali kuwaalika viongozi wa Dini kwenye matukio mbalimbali. Lakini pia kumekuwa na kawaida ya viongozi wa serikali kutoa mamilioni ya shilingi kama michango ya...
Back
Top Bottom