Kuna haja kubwa ya kutaka kufanya uchunguzi ili kubaini katika elimu ya vijana wanayo pata hapa nchini inawasaidia kitu gani?
Kwakuwa swala la katiba ni swala ambalo vijana kama vijana wangekuwa na ari kubwa kulipigania ili kukomboa nchi na kujenga katiba isiyo na ubagudhi kwa mustakabali wa...
Wengi wamepokea barua wahudhurie usaili, ila kunao wasiokua na ujuzi wowote wa kijeshi amba pia wamepokea, na ni hatia kutotii hiyo amri. Kunao wameapa bora wajijeruhi hata kama itabidi kujivunga ungo lolote mguu au mkono.
Kuna mapolisi yanazunguka mlango kwa mlango kufuata wote waliotumiwa...
Kila mmoja anaona mwenendo mbovu w serikali na Bunge letu. Mijadala haieleweki. Serikali haina msimamizi kabisa
Kwa ninavyoona upinzani msilambe asali mkatusaliti 2025 naomba mtupe nafasi tuende bungeni.
Najua mmepigwa stop mikutano ya hadhara lakini tunawasubiri Kwa hamu 2025 mkiliamsha...
Ripoti ya Utafiti wa Mchango wa Elimu ya Uraia Shule za Sekondari na Ushiriki wa Vijana katika Michakato ya Kidemokrasia imezinduliwa rasmi Dar es Salaam, leo Alhamisi Septemba 22, 2022
Kamishna wa Elimu Tanzania Dkt. Lyabwene Mtahabwa akiwa na baadhi ya wanafunzi wa shule za sekondari...
Hayati mmoja mwanasiasa akiwa waziri wa fedha aliongea kwa jeuri sana kauli iliyomfuata hata baada ya kifo chake, pale aliposema ndege ya Rais ni lazima itanunuliwa ikibidi hata wote tule majani!. Kauli ile ilileta mijadala mingi miongoni mwa wafuatiliaji wa siasa za nchi hii.
Ilikuwa ni jeuri...
Katibu wa Baraza la Mawaziri upande wa Elimu anaye maliza muda wake George Magoha ameishauri Serikali kuzifungia tovuti zote zinazo jihusisha na maudhui ya ngono nchini Kenya ili kuwanusuru vijana hasa wanafunzi dhidi ya athari hasi za tovuti hizo.
Amebainisha kuwa pamoja na kuwa dunia...
Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) kwa kushirikiana na Ubalozi wa Uholanzi na JamiiForums kinazindua Mradi wa Kuimarisha Ushiriki wa Vijana katika Michakato ya Kisiasa na Chaguzi.
Bernadetha Kafuko, Mkurugenzi Mtendaji TCD
Vijana wetu ni nguzo yetu, tuna wajibu wa kuwaandaa. Kipaji lazima...
Mkuu wa wilaya ya Temeke, Jokate Mwegelo amesema ndani ya siku mbili zaidi ya wahalifu 100 wamekamatwa wakiwemo vijana wanaojiita ‘panya road’ ambao wamekuwa wakijihusisha na vitendo mbalimbali vya uhalifu wa kuvamia nyumba na kupora mali pamoja na kuwajeruhi watu
Source:
#EastAfricaRadio
MY...
Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki nchini (TEC) Padri Charles Kitima amewaasa wanasiasa kujirekebisa kwani ipo siku vijana wataleta mapinduzi miaka michache ijayo. Ameyasema haya kwenye mjadala wa maadhimisho ya siku ya Kimataifa ya Demokrasia Septemba 15, 2022.
"Msipo jirekebisha ninyi...
VIJANA NA AFYA YA AKILI
Kijana anatakiwa awe na afya ya akili kwa ustawi wake na jamii kwa ujumla. Afya ya akili nii hali ya kuwa sawa kiakili na kisaikolojia au kutokuwepo kabisa kwa usumbufu wa akili ya mtu, mfano msongo wa mawazo.
Kuwa na afya ya akili itakuwezesha kuhimili mabadiliko...
MAWAZO BIRIANI CHANZO CHA KUCHELEWESHA MAENDELEO KWA VIJANA
Biriani ni kati ya chakula maarufu kinachotumia viungo vingi ili kuweza kukamilisha pishi lake na vinapo changanywa viungo vingi ndio utamu unaongezeka. Lakini katika maisha ya vijana ni tofauti, kupata maendeleo kwa kufanya vitu vingi...
Habari ndugu mwana Jamii Forum, haswa wa Jukwaa la ‘Stories of Change’ ni matumaini yangu u mzima wa afya, karibu katika chapisho hili. Andiko hili litajikita katika kuelezea jinsi gani matumizi mabaya ya mitandao ya kijamii yameweza kuleta athari pamoja na matokeo hasi katika jamii zetu, bila...
Ufugaji wa Samaki ni fursa kubwa sana kwa mikoa ya Shinyanga na Tabora kwa kutumia maji ya ZIWA victoria.
---
UFUGAJI WA SAMAKI(Sato) UNAWEZA KUTATUA HALI NGUMU YA KIUCHUMI KWA VIJANA WA MIKOA INAYOPITIWA NA MRADI WA MAJI TOKA ZIWA VICTORIA (Hasa SHINYANGA Na TABORA)
Ufugaji wa Samaki aina ya...
Uchumi ni nini? kumekuwa na maana nyingi kuhusiana na dhana nzima ya uchumi. Kamusi ya uchumi inafafanua uchumi kama "utafiti wa uzalishaji, usambazaji, na matumizi ya utajiri katika jamii ya wanadamu."
Na tukiangazia uchumi kama taaluma ni maarifa ya matumizi mazuri ya rasiliamali ili...
TUWEKEZE ZAIDI KWA WATOTO NA VIJANA KWA MAENDELEO YA TANZANIA YA BAADAE
Nianze na methali maarufu ya samaki mkunje angali mbichi,hivyo ndivyo tunavyotakiwa tufanye nchini kwa kutumia rasilimali watu tukiegemea zaidi kwa watoto na vijana kwa ajili ya Tanzania ya baadae. Kwanini watoto na vijana...
VIJANA TUJITUME KULALAMIKA HAKUNA FAIDA
Vijana wengi wa Wakitanzania wanaonekana kulalamka zaidi kuliko kujituma. Kama utafuatilia kwa umakini vijana wanalalamika kuwa serekali haitowi ajira, au hawana ajira, au kulipwa kidogo, huku wakitumia muda mwingi katika mitandao ya kijamii na maskani...
Utangulizi.
Nimekuwa maarufu sana katika karne hii ya ishirini na moja(21). Kila mahali napokelewa kwa shangwe na walio wengi, sio vijana tu bali watu wa kila umri wananikubali na Kunipenda. Mamlaka za utawala nazo zimenipokea kwa mikono miwili na kunipatia mazingira rafiki ya kuishi...
Kijana kama unataka kufanikiwa maishani, epuka tabia zifuatazo:
1: KUKOSA UAMINIFU KAZINI
Vijana wengi sio waaminifu kabisa, wengi wana tamaa ya mali nyingi ndani ya muda mfupi, hata kama ni kwa njia isiyo halali. Kuna vijana kila wakipewa kazi wanawaza namna ya kupiga madili tu kama vile...
Naandika kwa kujiamini kwasababu ni mzima wa afya, na natumai hata msomaji wangu u mzima.
Pamoja na changamoto nyingi za maisha, lakini yatupasa kumshukuru M /Mungu maana yeye ndiye atupaye akili za kufikiri.
Baada ya UTANGULIZI huo, ngoja nijikite kwenye mada.
Bila shaka, Kama wewe no...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.