vijana

  1. Mpwayungu Village

    JamiiForums Tanzania Vijana tokeni Kariakoo nendeni kijijini mkalime

    Vijana wenzangu nipo hapa kuwapeni ushauri, jembe halimtupi mkulima shida yenu mpo dar kuokoteza miamia mnaacha kutumia fursa za ardhi yetu yenye rutuba. Huu ni msimu wa mvua njooni mashambani mlime. Kuna mapori kibao katavi huko. Ukilima ufuta, mahindi na arizeti hutajuta. Sasa mpo tu mjini...
  2. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Changamkieni fursa vijana mliohitimu advance masomo ya Sayansi. Njia ya mafanikio nyeupe

    Uzi tayari.
  3. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Mamia ya Vijana wajitolea kupigana na Waasi wa M23

    Mamia ya vijana wameitikia wito wa Rais Felix Tshisekedi kujiunga na Jeshi katika vita dhidi ya waasi wa M23 ambao wanadhibiti maeneo makubwa karibu na Mji wa Goma baada ya mfululizo wa mashambulizi yaliyofanikiwa. Kundi la M23, ambalo liliundwa Miaka 10 iliyopita, linadai kutetea maslahi ya...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Wale mnaopenda kuwatukana na kuwadharau vijana wa Arusha angalieni hii video muaibike

    Mzuka Wanajamvi! Kumeibuka na watu wa ajabu jamvin siku hizi. Wanadharau, kuwakebehi na kuwadhihaki sana vijana wachapakazi na wanaojituma wa Arusha. Angalieni iyo video hapo chini muabike nyie kina johnthebaptist Accumen Mo Juma1967 Mkaruka
  5. Idugunde

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kuna la kujifunza hapa. Hapi anapiga kilimo cha ukweli sio kilimo cha selfie. Vijana wa CCM wapo makini, wamefundwa

    Maana wanatambua kuwa uongozi ni dhamana na hiyo dhamana ikiondoka basi unatakiwa uwe makini Hiki sio kilimo cha selfie
  6. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Kulazimisha vijana wawe wajasiriamali/ wajiajiri ni kuzidi kuwapoteza zaidi. Sio wote wanaweza

    Naandika kwa masikitiko makubwa sana ikiambatana na huzuni. Hili tatizo la ajira ni karibu dunia nzima kwa sasa hasa Afrika. Ila tunachotofautiana ni namna ya kukabiliana na tatizo. Nchi nyingi za Afrika tunatumia mbinu za hovyo kukabiliana na tatizo la ajira kwa vijana. Wanasiasa, viongozi wa...
  7. MINESOPOTAMIA

    JamiiForums Tanzania Ni siku gani kubeti kulitaka kukutoa uhai?

    Kuna jamaa mmoja alikuta timu ipo dakika ya 67 na inaongoza goli tatu kwahiyo akaipa ishinde na akatia ada yake pale. Mchezo uliisha 3 - 3! Kuna maumivu makubwa sana kwenye kubeti, wewe kilikukuta nini mpaka ukaona roho itaacha mwili?
  8. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania Kuna kundi la vijana walamba asali wametumwa kumchafua na kumharibia Waziri Mkuu

    Kama heading inavyojieleza, Kwa siku hizi mbili nimeshuhudia nyuzi pamoja na post nyingi katika mitandao ya kijamii yenye malengo ya kumchafua Waziri mkuu Mh. Kassim Majaliwa Kassim wakimtuhumu kuwa ndiye anayemwangusha namba moja.Baadhi ya post zimekuwa zikimtuhumu kwamba amekuwa huchukui...
  9. britanicca

    JamiiForums Tanzania Chama changu CCM mkitaka tusiwe wapinzani groom Vijana wengi ila kwa sasa macho yenu yaweke kwa Vijana hawa

    Chama changu cha Mapinduzi Tukitaka kuendelea kuongoza nchi tubadili mbinu Hakikisha hatuweki mtu anayetumia nguvu kubwa kijibrand badala ya kazi kumbrand, kuna Vijana ambao kwakweli tuwe wakweli wanapiga kazi na wanakubali wanapokosea, wako humble Kwa wananchi , na ni wasafi Narudia ni wasafi...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) lakataa vijana 8 kutokana na kujihusisha na vitendo vya Ushoga

    Mkuu wa wilaya ya Iramba Selemani Mwenda amesema vijana hao nane kati ya thelathini waliyokosa sifa ya kujiunga na mafunzo ya JKT ni kutokana na vipimo kubaini kwamba wanajihusisha na vitendo vya ushoga. Kijana mmoja alioneka akikimbia kwa kukata viuno na jinsi alivyokuwa akiweka mikono na...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Asilimia 12 ya vijana tanzania hawana ajira

    Rais Samia Suluhu alisema kuna asilimia 12 ya vijana hawana ajira na yeye yupo kazini ya kuhakikisha asilimia hii ya vijana wanapata ujuzi na wananjiajiri haya yalisema alipokua anazindua chuo cha VETA mkoani Kagera “Utafiti uliofanywa na Idara ya Takwimu ya Serikali 2021 inaonesha asilimia...
  12. MK254

    JamiiForums Tanzania Afrika tumerogwa: Vijana barubaru kutoka Morocco wanavyoteseka kuingia uzunguni

    Halafu Morocco ni Waarabu kiaina, ukizingatia namna ambavyo tunapenda kuponda Wazungu na ambavyo Waafrika wanateseka wakijaribu kuingia uzunguni, vijana kama hawa kwenye hii video wanafikirisha sana, nguvu kazi tena vijana barubaru!
  13. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Tatizo la vijana waliosomea mafuta na gesi kuzagaa mtaani wakati kila siku tunasikia miradi ya mafuta na gesi inazungumziwa na Serikali

    Nimeona hili leo niliseme pengine viongozi wetu hawalifahamu swala hili: Kweli kumekua na tatizo la vijana wetu waliosomea fani za mafuta na gesi kuzagaa mtaani tangu fani hizi zilipo anzishwa mwaka 2013. Asilimia 80 ya vijana waliosomea fani hizo hawaja ajiriwa mpaka sasa. Na walianza kuhitimu...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Bi. Jutta Urpilainen Kamishna wa Umoja wa Ulaya aongea na kuwaasa vijana wa Tanzania

    26 October 2022 Dar es Salaam, Tanzania Bi. Jutta Urpilainen Kamishna wa Umoja wa Ulaya aongea na kuwaasa vijana wa Tanzania Video courtesy of Azam TV Kamishna wa EU akizungumza baada ya kundi la 26 la vijana kutoa mikoa mbalimbali ya, Tanzania kuonesha uvumbuzi wao pamoja na kazi za...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Zitto na vijana wako acheni kuwananga CHADEMA kisa tu kufungua ofisi ya makao makuu

  16. Tengeneza Njia

    JamiiForums Tanzania Wimbi kubwa la vijana kuanzisha NGOs ajenda zile zile

    Ndugu zangu, Kabla ya wiki kuisha nimeona niwashirikishe hili. Wiki hii nimehudhuria warsha kadhaa hapa mjini na nimeona kitu ambacho naweza kusema ni wimbi la uwepo wa vijana wengi wasomi ambao nadhani wamevutiwa na idea nzima ya kuitwa/ kujulikana kama waanzilishi au ma-ceo katika makampuni...
  17. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Vijana UVCCM watakiwa kuacha kuwa ombaomba

    Mwenyekiti wa Jumuiya ya umoja wa vijana wa chama cha Mapinduzi (UVCCM) wilayani Chato Frank Kunzenza amewataka vijana wanaounda jumuiya hiyo kuacha tabia ya kuombaomba vitu badala yake waanzishe miradi ya kujiingizia kipato ili waache kulaumu watu wanaoshindwa kuwapa wanachohitaji. Kunzenza...
  18. kaligopelelo

    JamiiForums Tanzania Jinsi siasa za Tanzania zinavyodidimiza ustawi wa vijana

    Ndugu zanguni, Hawa wanasiasa hawana nia njema na watu wa kawaida hata siku moja. Siku zote mwanasiasa anaanza kuangalia masilahi yake binafsi then atawaangalia jamaa zake wa karibu,ndugu na marafiki. Ndiyo,lazima niseme hivyo...hatuna kiongozi wa kisiasa aliyepita,aliyopo madarakani wala...
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwanini ajali nyingi zinazotokea mataa Mbezi Beach huwa zinaua tu Vijana walioanza kufanikiwa kimaisha na kiutajiri?

    Karibia 85% ya Ajali mbaya zinazotokea hapo Mataa ya Mbezi Beach Jirani na Kanisa la KKKT huwa zinachukua tu Uhai ( Zinaua ) Vijana ambao Wameshaanza Kutusua ( Kutoka ) Kimaisha. Na kwanini zote ziwe ni eneo hilo hilo na hapo hapo Mataa upande wa Barabara ya Kuelekea Rainbow au pale kwa CDF...
  20. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Vijana watembea kilometa 1000 kwa miguu kuonesha uzalendo

    Vijana wameonesha uzalendo kwa kutembea kwa miguu kutoka Dar es Salaam hadi Kagera kuhudhuria kilele cha mbio za Mwenge na kumuenzi Baba wa Taifa. Vijana hao wametumia siku 30 kufika Kagera na wametambulisha mbele ya Rais katika maadhimisho ya siku ya kumbukizi ya kifo cha Mwalimu Nyerere...
Back
Top Bottom